mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mhandisi mshauri mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanzania akutwa kafariki

    Mhandisi mshauri wa mradi wa Bomba la Mafuta toka Uganda- Tanga (Tanzania) amekutwa amefariki Hotelin huko Jijini Tanga. Abraham Jacobus raia wa Africa kusini alikuwa mhandisi mshauri wa mradi uo kwa upande wa Tanzania,Kaimu Kamanda wa police mkoani Tanga amethibitsha kutokea kwa tukio hilo.
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mwenye private car anaetoka arusha kwenda dsm nichangie hela ya mafuta

    Habari wakuu naomba msaada kwa mwenye private car anaesafiri kesho kutoka Arusha kwenda dar es salaam 22/5/2022 nitachangia hela ya mafuta
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tajiri mwenye gari aina ya Fuso number T.891 CBK unaibiwa mafuta na wafanyakazi wako maeneo ya Chinangali Dodoma

    Nimepita hapo, nimeona jamaa wako na madumu wananyonya mafuta kutoka kwenye Tank la gari. Chukua tahadhari.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wapinzani simameni na Rais sakata la Bomba la mafuta; Mabadiliko ya tabia nchi hayasababishwi na Bomba la mafuta pekee, wanaharakati wanatumika

    Kuna clip inatrend baada tu Mhe. RAIS kutoka nchini Uganda ikionyesha kikundi kidogo Cha watu wakipinga uwekezaji kwenye Bomba la mafuta eti Ufaransa Kuna joto Kali kutokana na mabadiliko ya tabia nchi. Hawa wazungu Sasa wamekosa hoja, kwamba tuache kufanya maendeleo kisa kwao Kuna joto. Mbona...
  5. JamiiForums Tanzania Ni watu gani wanajaribu kuzuia mradi wetu wa Bomba la mafuta (EACOP)

    Naomba tujadili ndugu zangu. Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta. Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini. Huu mradi kwanini wanauzuia. Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili. Ni wakati wasisi kujadili ni nani anasababisha huu mradi wetu...
  6. JamiiForums Tanzania Angalizo: Mafuta ya kuotesha nywele na mafuta ya kuotesha ndevu ni vitu viwili tofauti

    Baada ya kutumia muda mwingi kutafiti [kigooglegoole] masuala ya nywele na upara na mambo yanayohusiana na hayo, basi leo nimehamishia udadisi wangu JF. Katika kupitiapitia baadhi ya nyuzi nimegundua kuna watu hasa kwa kutojua wamekuwa wakishauri vitu kuhusiana na upara katika namna...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia amechagua njia sahihi kushusha bei mafuta

    RAIS Samia Suluhu Hassan, ameamua kulikabili sakata la mgogoro wa mafuta kwa kutoa maelekezo ya kujibana katika matumizi ya ndani ya Serikali. Kwa nini hii ndio njia sahihi? Nitaeleza; Wapo waliopendekeza kuondoa tozo mbalimbali kwenye mafuta ili bei ipungue. Ni mawazo lakini msaada wake upo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Pata Mafuta ya Best choice kwa afya yako kwa bei nafuu kabisa.

    Ni mafuta safi kabisa yanayozaliswa na kiwanda cha QSTEK FARMING LTD kilichoko mjini manyoni mkoani singida. Mafuta ya best choice yametengenezwa kwa kutumia mbegu halisi za alizeti zinazozalishwa hapa hapa Tanzania. Mafuta ya best choice hayajaongezwa kemikali yoyote hivyo ni salama kwa afya...
  9. JamiiForums Tanzania Maoni ya Ishomile juu ya kupanda kwa mafuta

    MAONI YA ISHOMILE JUU YA KUPANDA KWA MAFUTA;- Mtangazaji:Habari Mh,tupe maoni yako juu ya kupanda kwa mafuta. ISHOMILE:let me abruptly regurgitate my point of view vis a vis fuel increase,I absquatulate using my perspicacity and ratiocination as a composimentis homo sapiens and as an erudite...
  10. JamiiForums Tanzania Ruzuku ya serikali ya bilioni mia moja kwenye mafuta ni kituko katika kupunguza bei ya mafuta

    Hakika serikali inacheza na akili zetu ni afadhali ingekaa kimya kuliko kutoa matumaini ya unafuu wa maisha ambao haupo. Ni ukweli uliowazi kuwa serikali imehusika kwa kiasi kikubwa kupanda kwa gharama za maisha kwa sababu ingewezekana kabisa serikali kuchukua hatua za kuzuia kupanda kwa bei za...
  11. JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kushuka kwa Shilingi 29, Mnaelewaje hapa?

    Hii hapa ni summary ya hotuba ya Waziri kuhusu Mafuta. Mnaonaje? Mnaielewa ama tumechezewa tu?
  12. JamiiForums Tanzania Hivi hii nchi yetu yote hakuna sehemu kuna mafuta tuchimbe?

    Uganda wana mafuta ghafi, wanafanya uzembe wanauzia Total. Hivi sisi nchi yote hii haina sehemu kuna mafuta kweli?
  13. JamiiForums Tanzania Hivi watawala wetu wapo "serious" kweli Katika kujibana na kujinyima Ili kukabiliana na kupanda Sana kwa bei ya mafuta Duniani?

    Nimeisikiliza hotuba ya Rais Samia, aliyoitoa jana, kuhusiana na kilio cha wananchi kuhusu kupanda Sana kwa bei ya mafuta Duniani. Katika hotuba hiyo nime-highlight, jambo muhimu Sana aliloliongelea, anasema kuwa ni LAZIMA watendaji wa Serikali, TUJIBANE na KUJINYIMA, Katika kipindi hiki...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Je, ruzuku ya bilioni 100 kwenye mafuta itapunguza bei ya mafuta kwa kiasi gani? "Jambo letu hatarini"

    Ndugu zangu, Leo siku ya jumanne tarehe 10.05.2022 Ndugu Januari Makamba, Waziri wa Nishati akiwa bungeni ametangaza uamuzi wa serikali kutoa ruzuku ya takribani bilioni 100 za kitanzania. Nikirejea uamuzi wa Waziri Makamba miezi michache iliyopita wa kuondoa tozo ya shilingi 100 kwenye mafuta...
  15. JamiiForums Tanzania Safari za ndege kuahirishwa kutokana na uhaba wa mafuta Afrika Kusini

    Uhaba wa mafuta katika uwanja wa ndege wa OR Tambo wasababisha Safari 14 kuahirishwa na kuathiri zaidi ya abiria 3,000, huku mamlaka ikisema inajitahidi kukabiliana na uhaba huo. Maafuriko ya Mwezi uliopita KwaZulu Natal yanatajwa kuharibu reli ambayo ndio miundombinu ya usambazaji mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kodi kwenye mafuta haiepukiki

  17. JamiiForums Tanzania G7 yapiga marufuku ununuzi wa mafuta Urusi

    Mataifa yenye uchumi mkubwa Duniani yanayounda Kundi la G7 yametoa kauli ya pamoja ya kupiga marufuku au kutonunua mafuta ya Urusi ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa vikwazo kwa taifa hilo lililoivamia Ukraine kijeshi tangu Februari 24, 2022. Wamechukua maamuzi hayo baada ya mkutano wao wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  19. JamiiForums Tanzania Mafuta kwa Zanzibar bei nafuu, mishahara yapandishwa kwa asilimia 15. Zanzibar ni kama mkoa?

    Hali ndivyo ilivyo hapo.. Wana raisi wao na huku pia ni lazima (sio ombi) aidha awepo raisi au makamu wa raisi wa Zanzibar mwenye kitambulisho cha uraia wa Zenji. Achana na bei za mafuta kwa zanzibar kuwa 2600 huku kwetu yakiwa 3,300. Hii ya ongezeko la mihahara kwa asilimia 15.6 bado zanzibar...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hali mbaya ya mafuta, wasafirishaji wasibughudhiwe

    Bei ya diesel kwa mara ya kwanza duniani (hapa kwetu) ipo juu kuliko petrol. Bila shaka lengo ni kuwapa wepesi boda boda na wenye vi IST waache kumpigia mbuzi kelele. Ngoma ipo kwa wasafirishaji bidhaa na watu. Tulipo sasa, kwa hakika tunauhitaji sana ubinadamu wa kila mtu akiwamo serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…