mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Kitu hatari zaidi ni sukari na wanga. Ataka watu kula wakihisi njaa kwani mwili hauendeshwi na ratiba ya chakula

    Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye chakula ni kitu kingine. Janabi amesema kitu hatari zaidi kwenye mwili ni sukari na wanga na wala si...
  2. JamiiForums Tanzania EWURA tuambieni ukweli ni upi kuhusu upungufu wa mafuta ya petrol wiki ijayo

    Mod usifute huu uzi na upaste kama ulivyo andikwa kigogo media Kiburi cha rushwa ,uhuni na ujeuri wa EWURA na waziri wa nishati wafikisha mgogoro wa upungufu wa mafuta ngazi za juu serikalini, chanzo chetu ndani ya EWURA kinatujulisha asubuhi na mapema leo hii. Baada ya kuona nchi inaingia...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Boniventura Destery Kiswaga (CCM) Aishauri Serikali Kuongeza Kodi Mafuta Yanayozalishwa Nje

    MBUNGE BONIVENTURA KISWAGA AISHAURI SERIKALI KUONGEZA KODI KWENYE MAFUTA YANAYOZALISHWA NJE Mbunge wa Jimbo la Magu (CCM), Mhe. Boniventura Destery Kiswaga ameishauri Serikali kuongeza kodi katika mafuta ya kula yanayoagizwa kutoka nje ya nchi na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Waarabu kwa nini wanaibomoa Somalia na Yemeni? Ni mafuta!

    Wanao fund al shabab ni Saudi Arabia, anaye bomb kuuwa na kutesa watu wasio na hatia Yemeni ambao > 98% ni Waislamu ni Saudi Arabia, Somalia na Yemeni wana one thing in common, mafuta, oil rich Arab Countries hawataki Somalia ichimbe mafuta yao kwa maana ni competitor wamemeamua ku destroy...
  5. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuchanganya mafuta

    Habari za leo wadau wa jukwaa hili, leo kwa bahati mbaya nimechanganya mafuta, nina gari aina ya hiace ambayo inatumia Petroli, nimekwenda kituo cha mafuta muuzaji bila kuuliza akashindilia diesel kama lita 4 hivi na ndani ya tank kulikuwa kama na lita 7 za petroli nilipoondoka tu umbali...
  6. JamiiForums Tanzania Chakula kuchanganywa na Mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike Sekondari

    Moja kwa moja kwenye mada. Wana JF hii ya kuchanganywa chakula na mafuta ya taa kwa wanafunzi wa kike waliopo boarding school kwa kisingizio wasipate au kupunguza hamu ya kufanya mapenzi imekaaje? Wazazi wanajuwa wako kimya? Walezi nao kimya? Wanajamii kimya? Kulikoni? Madhara kwa watoto wetu...
  7. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mafuta karibu na ikulu ya Putin chapigwa bomu ya drone

    Ukraine wanapiga ndani ndani karibu na ikulu ila pia wanakomboa maeneo nyumbani................. 'Ukraine drone' strike hits oil refinery just 80 miles from Putin's palace: Major explosion on tyrant's doorstep as Russia also loses another general amid surging Kyiv counteroffensive Video...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wakija ghetto kwa kazi maalumu wakiona mafuta ya kila aina wanafurahia sana

    Hello hello JF! 👇👇👇 Katika hali ya kuduwaza na kufurahisha, kitambo sasa nashuhudia wanawake wanaokuja ghetto kwangu kwa kazi maalumu ya kitume na kimaombezi nimeona kuna jambo linawafurahisha sana hasa tu wakiona mafuta ya aina nyingi ya kupaka kwenye dressing table. 1.Lotion aina 4 2. Mafuta...
  9. JamiiForums Tanzania Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Ya Nywele

    NATURAL SKIN SOLUTION IMANI YETU Tunaamini kazi kubwa ya msimamizi wa biashara (CEO) ni kuunganisha sera, mipango , rasilimali pamoja na miundombinu kuhakikisha biashara inapata faida kubwa kwa kadri inavyowezekana Katika kufikia lengo hili , CEO atajikita kufanya maamuzi ya aina mbili; Moja...
  10. JamiiForums Tanzania EACOP Wanatoa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji wa miundombinu ya bomba la mafuta

    Kampuni ya EACOP imeanza usajili na mafunzo ya online kwa wiki 8 yatakayofwatiwa na mtihani wiki ya 9 kwa ajili ya kupata vijana 140 wenye umri kati ya miaka 18-28 watakaoshiriki katika mlolongo wa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji (operation &...
  11. D

    JamiiForums Tanzania January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi

    January Makamba amepeleka wapi mabilioni ya pesa za ruzuku ya mafuta? Amchonganisha Rais na wananchi Rais Samia Suluhu Hassan alimuagiza Waziri wa Nishati, January Makamba, kuweka ruzuku ya mafuta kiasi cha shilingi Bilioni 100 kwa mwezi ili kutoa ahueni kwa wananchi kwenye bei ya mafuta na...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini bei ya Mafuta Isiwe Moja kama Bei ya Umeme Nchini?

    MHE. KILUMBE NG'ENDA - AHOJI KWANINI BEI YA MAFUTA ISIWE MOJA KAMA UMEME NCHINI Mbunge wa Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda amehoji bungeni kwa nini serikali isiwezeshe bei ya mafuta aina ya petrol, dizeli na mafuta ya taa iwe moja nchi nzima kama ilivyo kwa bei ya umeme kwa unit. Ng’enda ametoa...
  13. JamiiForums Tanzania Faidika na Darsa la FaizaFoxy 2: Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa.

    Orodha ya nchi zilizo na hifadhi ya mafuta iliyothibitishwa Akiba ya mafuta iliyothibitishwa ni zile kiasi cha mafuta ya petroli ambayo, kwa uchanganuzi wa data ya kijiolojia na uhandisi, inaweza kukadiriwa, kwa uhakika wa hali ya juu, kuweza kurejeshwa kibiashara kuanzia tarehe fulani kwenda...
  14. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kwimba mfanyabiashara ya mafuta anajiwakilisha Bungeni

    Hawa jamaa zetu wenye kupenda wabunge matajiri pengine hawatusaidia sana. Unakuta mfanyabiashara anachomeka hiki na hiki cha wakulima na wafugaji halafu anamgeukia waziri wa nishati na ku declare interest halafu anaeleza shida zake binafsi hadi speaker kumjulisha kwamba aongee na yeye sio...
  15. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) Urusi chalipuliwa na drones

    Russian authorities say Ukraine drone strike responsible for oil refinery fire; governor of Belgorod accuses Kyiv of shelling region. --- Russian security council deputy chairman Dmitry Medvedev said on Wednesday that Britain was Moscow’s “eternal enemy” and that any British officials who...
  16. JamiiForums Tanzania Dakika chache baada ya kuapishwa, Rais wa Nigeria afuta Ruzuku ya Mafuta

    Rais mpya wa Nigeria, Bola Tinubu ametumia hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kutoa tangazo kuu la kuondoa ufadhili serikali kwenye mafuta ikiwa ni sera zake mpya ili kupunguza shinikizo la kiuchumi. "Ruzuku ya mafuta haipo," aliuambia umati uliojaa katika mji mkuu, Abuja. Alishinda...
  17. JamiiForums Tanzania Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  18. JamiiForums Tanzania Ukraine wapiga mabomu bomba la mafuta ndani ya Urusi

    Supapawa anaendelea kupigwa ndani kwake....tena ndani ndani kule alikosema siku kukiguswa atafanya kitu....na kweli alijaribu kufanya kitu kwa kutuma mizinga ya hypersonic yote ikashushwa na Patriot. =================== Ukraine struck oil pipeline installations deep inside Russia on Saturday...
  19. JamiiForums Tanzania Mradi wa bomba la mafuta EACOP watoa ajira 3,000 Tanzania

    Mradi wa Bomba la mafuta ghafi unaojengwa kutoka Hoima nchini Uganda kupitia Tanznaia hadi Chongoleani mkoani Tanga umetajwa kutoa ajira zaidi ya 3,000 ikiwemo 300 za kudumu hapa nchini Mradi huo utakaokuwa na urefu wa zaidi ya Kilometa 1147 mbali na ajira utatoa pia fursa mbalimbali za ajira...
  20. JamiiForums Tanzania Tuwawezeshe JKT hatutaagiza tena mafuta ya kupikia

    MBUNGE COSATO CHUMI - TUWAWEZESHE JKT HATUTAAGIZA TENA MAFUTA YA KUPIKIA Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini, Mhe. Cosato Chumi akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa iliyosomwa na Waziri Mhe. Innocent Bashungwa bungeni jijini Dodoma "Narudia tena, wawezesheni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…