Mradi wa pamoja wa mafuta kati ya Tanzania na Uganda, maarufu kama Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), umekumbwa na changamoto za kifedha. Mradi huu, unaotekelezwa kwa ushirikiano na kampuni za kimataifa TotalEnergies na China National Offshore Oil Corporation (CNOOC)...