mafuta

The Mafuta is a diamond-mining ship owned and operated by De Beers in the western coast of South Africa. Built in 1983 as Dock Express 20 for Dock Express Shipping (later Dockwise), the semi-submersible multirole heavy lift vessel was converted to the world's largest cable layer in 1993. In 2005 she was purchased by De Beers, converted to a subsea diamond mining ship by A&P Tyne over the course of 11 months. The ship's new name, Peace in Africa, may imply that it is providing an alternative to blood diamonds. In 2013, still under ownership of De Beers Marine Namibia, the vessel was renamed to MV Mafuta.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

    Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea. Hii ni taarifa njema kwa Tanzania Huu ni msiba kwa CCM Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM: Punguzeni gharama za Mafuta ya Kupikia, bei zinapanda kwa kasi!

    Hivi, serikali inayowajali watu inaowaongoza na kuwasimamia, kweli inakosa mbinu za kuhakikisha bidhaa muhimu kama mafuta ya kupikia inashuka bei ili kupunguza gharama za maisha? Sababu kuu ya kupanda kwa gharama za vyakula mitaani ni mafuta ya kupikia kuwa juu mno. Kwa mfano, maeneo ya mama...
  3. JamiiForums Tanzania Rwanda yapata Mafuta kwenye Lake Kivu

    Uganda tayari ina mafuta, South Sudan inayo, Kenya inayo, Zanzibar nayo inayo (hata yawe kinibu ni mafuta ya Zanzibar) na sasa Rwanda nayo imepata mafuta yake. Je Tanganyika vipi? https://www.youtube.com/watch?v=0g7af_f469Y
  4. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara aloingiza Mafuta yalowaathiri zaidi ya watu 200, Awalipe fidia waathirika wote , na achukuliwe hatua za kisheria

    Haya mambo yanatakiwa yawe yanapelekwa hivihivi. Huwezi kuathiri watu zaidi ya 200 , alafu wao ndio wawajibike kujitibia. Hata hivo tunachokiona ni Athari ya Nje, vipi huko Ndani?. Soma Pia: DAR: Zaidi ya Watu 200 wadhurika ngozi wakidaiwa kula Chakula chenye Mafuta yenye Simu huko Temeke...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yaelekea kuachana na mafuta ghafi ya Saudi Arabia kuanzia mwaka huu wa 2025

    Mwaka jana, Riyadh ilifunga ofisi yake ya mafuta New York - ishara ya kuelekea kutoweka kwa mafuta ghafi ya Saudi huko nchini Marekani. Shukrani kwa mapinduzi ya shale na kuongezeka kwa tasnia ya mafuta ya Canada, uagizaji wa mafuta ghafi kutoka Marekani ulishuka hadi chini kabisa katika karibu...
  6. JamiiForums Tanzania Watanzania ni wasahaulifu sana, baada ya lori kupata ajali, watu wanachota mafuta

    Kuna ajali ya lori la mafuta imetokea hapa Mzambarauni , Morogoro. Kitu kilichonishangaza ni uwepo wa watu ambao wamejiandaa kabisa kwa kuchota mafuta wakati si miaka mingi naeneo hayo hayo palitokea vifo halaiki kutokana na moto August 2019.
  7. JamiiForums Tanzania BBC: Mapinduzi ya mafuta Tanzania yamekwama kutokana na ukosefu wa vituo vya mafuta

    Mapinduzi ya nishati ya magari yanazidi kushika kasi nchini Tanzania, lakini ukosefu wa vituo vya kujazia gesi unalifanya mchakato huo kusuasua. Kama ilivyo kwa Nigeria na baadhi ya nchi nyingine barani Afrika, Tanzania imeanza kukumbatia gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) kama mbadala wa...
  8. JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza swali, Endapo waafrika weusi tungepewa utajiri wa mafuta kama ilivyo kwa waarabu je tungeudumisha kama kinachoendelea UAE?

    Jana nimemaliza safari yangu ya kikazi ya siku 4. Nilianzia Dubai nikakaa siku 1 kisha nikaelekea Abu Dhabi nikakaa siku 2. Nikamalizia Qatar siku 1. Na kila mara nikiwa kwenye ndege narudi bongo kutokea UAE huwa najiuliza hilo swali, hivi sisi waafrika weusi tungepewa huo utajiri wa mafuta, je...
  9. JamiiForums Tanzania Dondoo 11 za Utunzaji wa Ngozi za Watoto na Umuhimu wa Mafuta ya Watoto ya Grace My Baby Gardener

    Kama mzazi, moja ya wajibu wako mkubwa ni kuhakikisha afya na ustawi wa mtoto wako. Ngozi ya watoto ni nyororo na nyeti, ikihitaji utunzaji wa kipekee ili kuepusha matatizo ya ngozi kama vile muwasho, ukavu, na mapele. Kupitia makala hii, tunawaletea dondoo 11 muhimu za utunzaji wa ngozi za...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi gari kama hii inatakiwa mafuta ya Tsh ngapi uweze kula nayo misele mjini hasa kipindi hiki cha holiday

  11. JamiiForums Tanzania Uzalishaji wa Mafuta Duniani, bado USA kaziacha by Far nchi za Gulf States

    Watu wengi wamejidanganya Sana eti Marekani anaiba mafuta Uarabuni bila kujua Marekani ni kinara wa Uzalishaji wa crude oil duniani USA anazalisha pipa million 21 kwa siku na kumuacha Saudi Arabia, Russia kwa mbali Sana. Bado USA ni kinara kwenye Uzalishaji wa gesi duniani. Ukijumlisha na...
  12. JamiiForums Tanzania Pump ya mafuta petrol station

    Hivi ukienda kujaza mafuta sheli iwe diesel au petrol au mafuta ya taa,hivi kwenye ile mashine[pump yenye mpira na gang anayowekwa kwenye chombo ili akipress mafuta yatoke,hapa Swali ni je! Yale mafuta yako kwenye mpira pale au yako kwenye gang pale kichwani kabisa au ukipress yanatoka kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Mradi wa Bomba la mafuta limeishia wapi?

    Habari niweza ule mradi mkubwa wa serikali wa bomba la mafuta kutokq Uganda mpka Tanga ,Tanzania umefikia wapi maana naona kimya. Awali mwanzo kabisa wakati Magufuli yupo wakati anazindua mwaka 2017 ilikuwa mradi umalizikie 2021 ila mpaka sasa 2024 sijaoata update yeyote. Mwenye majibu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Trump aziambia nchi za umoja wa ulaya zinunue gesi na mafuta zaidi kutoka Marekani au ataongeza ushuru kwa bidhaa za kutoka jumuiya hiyo

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka Marekani. Trump alitoa taarifa hiyo kupitia post katika mtandao wa Truth aliyoichapisha Alhamisi usiku...
  15. JamiiForums Tanzania SHIVYAWATA: Mafuta ya Ualbino yaondolewe kundi la vipondozi

    Wanachama wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) wameiomba serikali kupitia Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kutambua mafuta yanayotumiwa na watu wenye ualbino kama tiba badala ya kuyajumuisha kwenye kundi la vipodozi, kama ilivyo sasa. Ombi hilo limetolewa...
  16. JamiiForums Tanzania Jipikie cabbage,carrot,hoho,mayai,chunvi na mafuta

    HAtua Kata cabbage kama inavyokwatwa vipande ndogondogo ya mboga changanya carrot na hoho na chunvi kidogo kisha pasua yai mbili koroga mchanvanyo huo na mayai Baada ya hapo weka mafuta kwa flampen ikichemka mafuta weka huo mchanganyo kama vile tunavopika chapati za kumimina Aisee utatoa kitu...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Unywaji wa mafuta gari ndogo

    Gari nyingi kama 1st, vitz ,ractis na gari zingine ndogo Kiupande wangu gari ndogo nimeendesha na kumiliki kama tatu ractis vits na ist kwa kipindi tofauti ila utofauti na watu wanavosema hazinywi mafuta au kama google wanavosema au madalali wanavouza gari wanavozisifia zinatembea mpaka km...
  18. JamiiForums Tanzania Tunamuomba rais kushirikiana na kitengo cha hali ya hewa Tanzania ili kupunguza ukali wa jua la Dar

    Wakuu habari, Tunamuomba rais, aweze kushirikiana vyema na kitengo cha hali ya hewa Tanzania, Ili kuweza Kupunguza ukali wa jua la hapa dar. Hapa dar jua ni Kali sana na linachoma angel zote za mwili. Tutamshukuru rais kama atafanikiwa kupunguza au kuzuia kabisa uwakaji wa jua. Maana wananchi...
  19. JamiiForums Tanzania PBPA yashauri ujenzi wa matenki ya mafuta bandari ya mbamba bay

    Bodi ya Wakala wa Uagizaji Mafuta kwa Pamoja (PBPA) wameishauri Mamlaka ya Bandari Tanzania kuangalia uwezekano wa kujenga maghala ya kuhifadhia mafuta Bandari ya Mbamba Bay kwa ajili ya kurahisisha usafirishaji wa mafuta nchi jirani za Malawi na Msumbiji. Akizungumza baada ya kutembelea eneo...
  20. JamiiForums Tanzania Orodha ya matajiri duniani imenichanganya. Elon siyo namba moja, sijaona mwarabu wa mafuta hata mmoja

    Amani iwe nanyi ndugu zangu Mimi huwa najua waarabu ndo watu matajiri zaidi duniani nikiamini Mansour wa Man City atakuwa hata tajiri wa tatu au nne duniani kumbe hata kwenye matajiri mia mbili duniani hayupo nimeshangaa sana. Lakini nilichokutana nacho huko Forbes sijaamini macho yangu kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…