mafuriko

  1. O

    Mafuriko Yakata Barabara ya Nairobi-Garissa, Wasafiri Wakwama Mwingi

    Usafiri kwenye Barabara kuu ya Nairobi-Garissa umekatizwa kufuatia mafuriko makubwa katika eneo la Daraja la Baharini (Mbakini), Mwingi, Kaunti ya Kitui. Mvua zinazoendelea kunyesha zimesababisha maji kufurika na kufanya barabara hiyo kutopitika, huku magari yakikwama na kusababisha foleni...
  2. Bwawa la Tarbela Nchini Pakistan Lakumbwa na mafuriko makubwa

    BWAWA KUBWA LAKUMBWA NA MAFURIKO NCHINI PAKISTAN Picha za kutisha zimeripotiwa kutoka Islamabad, Pakistan, zikionyesha bwawa la Tarbela likikumbwa na mikondo mikubwa ya maji na mafuriko. Bwawa hilo lilijengwa kwa ushirikiano na China, kwa gharama inayokadiriwa kuzidi dola bilioni moja za...
  3. Mvua kubwa zimesababisha mafuriko makubwa katika kisiwa cha Rhodes nchini Ugiriki

    Mvua kubwa zinazoambatana na radi na ngurumo zimesababisha mafuriko makubwa katika kisiwa cha Rhodes nchini Ugiriki. Kwa mujibu wa taarifa za eneo hilo, tahadhari ya dharura ilitumwa kwa wakazi na wageni mapema Jumatatu, Novemba 2, baada ya kina cha maji kuongezeka na kusababisha mafuriko...
  4. Masauni Akagua Maeneo Yaliyoathirika Na Mafuriko Kigoma Ujiji, Aahidi Hatua za Haraka

    Kigoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Yusuf Masauni, amefanya ziara katika maeneo yaliyoathirika na mafuriko katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, kwa lengo la kujionea hali halisi ya athari za maji na kuweka mikakati ya kukabiliana na...
  5. Mafuriko makubwa yatokea kwenye Jimbo la Rivers nchini Nigeria, Mamba na wanyama wengine waonekana wakiogelea mitaani

    Wakazi wa Jimbo ya Rivers nchini Nigeria wanasema wanakabiliwa na mafuriko mabaya zaidi kuwahi kutokea katika miaka ya hivi karibuni. Katika baadhi ya jamii, maji ya mafuriko yamezama nyumba, kuyakimbiza familia na kuacha barabara zikiwa hazipitiki. Baadhi ya wakazi wameliambia shirika la BBC...
  6. Wakati Nuhu Anajenga Safina ya Kujikinga na Mafuriko, Wengine Walikuwa Wanakula, Kunywa na Kumcheka! Kama Hivi Leo.

    Bwana Yesu Kristo asifiwe sana, wana-JF! Asubuhi ya leo, nataka niongee na mtu mmoja ambaye moyo wake umelala. Nataka niongee na jamii ambayo imezama kwenye dharau, anasa, na kiburi, ikisahau kuwa Mbingu haijawahi kudhihakiwa. Nataka nikurudishe kwenye Kitabu cha Mwanzo 6 na 7, mahali ambapo...
  7. Waziri Mkuu Atoa Wito: Tahadhari Mafuriko

    Maeneo ambayo mnaona ni ya hatari sana Watanzania tunayajua. Tunayajua maeneo yenye historia ya mafuriko. Ni vyema tukaanza kuchukua tahadhari kwa sababu hicho ndicho tunachoweza kukifanya-Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu Nchemba. 📍Ilongero-Singida 🗓️Septemba 06, 2026 ——————- Amesema hayo wakati...
  8. Dhoruba ya EL Nino Yapiga Hodi China,Yaporomosha Magorofa na kuleta Mafuriko Makubwa.Huko Canada na Marekani Barabara zajaa maji na magari kusombwa.

    My Take El Nino sio mzaha ,kama wanaojiita wahandisi wa Dunia wamesambaratishwa hivyo huku kwetu tuanze kutia maji. https://www.instagram.com/reel/Dc3I6r-oVX7/?stkn=cmlybWF6dzA3cXVn Ila tusiogope sana Kila Nchi Ina aina zake za Hali ya Hewa na intensity...
  9. Jengo Pekee Ambalo Halijasombwa na Mafuriko ya Nepal Limeonesha Umuhimu wa Ujenzi unaozingatia viwango na vigezo vya Kihandisi kwenye majengo ya Umma.

    Wataalamu wa uhanrdisi wa majengo wamefanya uchambuzi ni Kwa nini jengo Pekee la gorofa lilibakia limesimama bila kuangushwa na kusombwa na Mafuriko yenye Nguvu ya Nepal wakati majengo yote ya jirani yalioshwa. Jambo hili Limeonesha Umuhimu Kwa Serikali na watu binafsi kufuata vigezo na...
  10. Miujiza Nepal; Sanamu ya Budha yabaki imesimama imara katikati ya Mafuriko makubwa!

    Ni tukio liliowashangaza wengi duniani Sanamu ya Budha kubaki imesimama imara wima katikati ya Mafuriko
  11. R

    Jiji la New York lakumbwa tena na Mafuriko makubwa

    Jiji la New York lilikumbwa na mvua kubwa na radi Alhamisi jioni Agosti 20, 2026, hali iliyosababisha mafuriko ya ghafla na kugeuza baadhi ya barabara kuwa kama mito. Mji wa Queens ilikuwa miongoni mwa maeneo yaliyoathirika zaidi, huku magari yakizama kwenye maji na wasafiri wakilazimika...
  12. Hivi tofauti na ukame, vita na mafuriko kuna shida yoyote ya kimaisha wadada wenye makebo makubwa wanapitia kwa kweli?

    Makebo makubwa yamekuwa njia ya utajiri siku hizi kwa hawa dada zetu. Makebo makubwa yanawapatia urahisi wa maisha na access ya vitu vya kifahari ingawa ana umri mdogo, kisomo kidogo na hata kama ametoka familia duni.
  13. SI KWELI Magari yakibebwa na mafuriko huko Nairobi

  14. Tulipika kwa maji ya Mafuriko baada ya kushinda na kukesha barabarani

    "Tulipika chakula kwa maji ya mafuriko" —Huu ni ushuhuda wa kusikitisha wa mmoja wa wasafiri waliokwama usiku kucha katika eneo la Korongo la Fisi, wilayani Simanjiro. Wasafiri hao waliokuwa wakisafiri kutoka Arusha kuelekea Kiteto kwa basi la Simanjiro Express, walifika eneo hilo majira ya saa...
  15. O

    Mvua Zaharibu Mabomba: Estates 15 Nairobi Wakosa Maji Baada ya Mafuriko

    Mvua kubwa iliyonyesha Nairobi usiku wa Ijumaa imeleta madhara makubwa baada ya mafuriko kuharibu major water pipelines, na kusababisha water shortage kwa estates zaidi ya 15. Kulingana na Nairobi City Water, maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buruburu, Kariobangi, Dandora, Mathare, Eastleigh...
  16. Gen Z niwakumbushe jambo moja tu: Uzee unakuja haraka sana kama mafuriko

    Muda unaonekana mrefu ukiwa na miaka 18, 20 au 25. Lakini ukweli ni kwamba miaka inapita kwa kasi ajabu. Jana ulikuwa mwanafunzi, ghafla una miaka 30 unajiuliza muda ulienda wapi. Ndiyo maana: • Jifunze mapema • Fanya kazi kwa bidii • Jenga nidhamu • Heshimu muda •Acha masihara na maisha...
  17. CCM yaipa pole Msumbiji kwa kukumbwa na mafuriko

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid akiwa na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Ricardo Ambrosio Mtumbuida alipofika kuwasilisha salamu za pole katika Ofisi za Ubalozi wa Msumbiji jijini Dar es Salaam...
  18. Ni mafuriko katika geti ngorongoro

    https://www.tiktok.com/@visitngorongoro/video/7585837537608961301
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…