mafia

A mafia is a type of organized crime syndicate whose primary activities are protection racketeering, arbitrating disputes between criminals, and brokering and enforcing illegal agreements and transactions. Mafias often engage in secondary activities such as gambling, loan sharking, drug-trafficking, prostitution, and fraud.
Nowadays the 'Ndrangheta, originating in the southern Italian region of Calabria, is widely considered the richest and most powerful mafia in the world.The term "mafia" was originally applied only to the Sicilian Mafia and originates in Sicily, but it has since expanded to encompass other organizations of similar methods and purpose, e.g., "the Russian Mafia" or "the Japanese Mafia". The term is applied informally by the press and public; the criminal organizations themselves have their own terms (e.g. the Sicilian Mafia and the related Italian-American Mafia refer to their organizations as "Cosa Nostra"; the "Japanese Mafia" calls itself "Gokudō" but is more commonly known as "Yakuza" by the public; and "Russian Mafia" groups often call themselves "Bratva").
When used alone and without any qualifier, "Mafia" or "the Mafia" typically refers to either the Sicilian Mafia or the Italian-American Mafia and sometimes Italian organized crime in general (e.g., Camorra, 'Ndrangheta, etc.).

View More On Wikipedia.org
  1. HOJA Kisiwa Cha Mafia mkoani Pwani kibadilishwe Jina ili kuleta tija

    Kisiwa cha Mafia ni miongoni mwa visiwa vyenye historia ndefu zaidi katika pwani ya Afrika Mashariki. Historia yake inahusisha ustaarabu wa Waswahili, biashara ya kimataifa ya baharini, Waarabu, Wareno, Wajerumani na Waingereza. Historia ya Mafia inaanzia karne nyingi zilizopita. Kabla ya...
  2. Nina mapenzi makubwa kuishi Kisiwa cha Mafia, msaada wa taarifa tafadhali

    Nilikua na ndoto tangu zamani kuishi kisiwan hapo, nadhani maisha yangu ningependa yakishie kule napapenda sana, japo sijawahi fika hua naangalia tu maeneo kule kupitia you tube insta na TikTok. Sasa basi naomba msaada WA mambo yafuatayo. 1. Bei za viwanja, nataka shamba karibu na beach ila...
  3. Byamukama alleges shs30m land was resold to government for shs5bn

    Transport Minister Fred Byamukama has raised concerns over alleged collusion between land buyers and government officials to inflate compensation claims for land acquired for road projects. Byamukama told Parliament that some individuals allegedly obtain information from ministry officials...
  4. Jibondo Mafia yafikiwa na umeme, wananchi zaidi ya 3,000 kunufaika

    Mradi wa umeme wenye thamani ya Sh bilioni 8.4 unaotekelezwa na TANESCO katika Jibondo, Mafia – Pwani, umefikia asilimia 82 ya utekelezaji. Mradi huo unatarajiwa kuwafikishia umeme wananchi zaidi ya 3,000 na kuchochea shughuli za uvuvi, biashara pamoja na uchakataji wa mazao ya baharini, huku...
  5. Lini tutaanza kukiendeleza Kisiwa cha Mafia kwa ajili ya utalii

    Hivi unajua beach za Mafia hazina tofauti na za Zanzibar Kwa nini serikali isiwekeze kuitangaza Mafia kwa utalii at least pafanane kimaendeleo na Nungwi, Zanzibar Nilienda Nungwi mwaka jana, actually ni pazuri sana. Nungwi hata sio mji mkubwa kama Stone Town ni kamji kadogo tu lakini kana...
  6. Assemahle Wellem aachane na Mafia Boxing kwa manufaa ya career yake ya ngumi , kawa mdebwedo sana

    Miongoni mwa maamuzi ya hovyo zaidi kuwahi kuyaona basi hili la Assemahle Wellem kutoka South Africa kutoka huko kwao kuja Tanzania kupigana kwa bendera ya Tanzania chini ya Mafia boxing. Jamaa kabla hajaja Mafia boxing alikuwa Predator kweli kweli , anatembeza kichapo balaa mpaka...
  7. kuzaliwa kwa makundi mfano mafia Italy ilikuwa sababu kukosa haki kwenye serikali.

    Kichwa cha habari kinaweza kuwa tofauti na maelezo hapa. Ukiona serikali imeshindwa kufanya haki sasa inawaza kila mtu ni gaidi kwao. Hii history inaeleza nchi nyingi ambazo zimepitia serikali za ovyo na kugeuza haki kuwa ugaidi.
  8. M

    Wahamiaji 14 wafa maji kisiwa cha Mafia

    Wahamiaji wasiopungua 14 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Visiwa vya Comoro wamefariki dunia, huku wengine 22 wakiokolewa baada ya boti yao kuharibika karibu na Kisiwa cha Mafia nchini Tanzania, afisa wa eneo hilo alisema Jumamosi. Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo...
  9. “Mafias want to put me down”Works Minister Byamukama Alleges "Mafia" Plot

    The Minister of Works and Transport, Fred Byamukama, has claimed that unnamed “mafias” are plotting to undermine him after he launched efforts to address alleged corruption and inefficiencies within the ministry. Byamukama, who was recently elevated from State Minister for Works to full Cabinet...
  10. Kwa mtaji wa 4,000,000 biashara gani inafaa Mafia

    Kwa mtaji wa 4,000,000 ni biashara gani inafaa kufanyika kisiwa cha Mafia. Mnipe muongozo
  11. Tanganyika tunafeli hatuitangazi Mafia island

    Tanganyika tunafeli sana tuna kisiwa cha kitalii kizuri lakini hatukitangazi , vivutio vilivyopo mafia havina utofauti na Zanzibar lakini hatuweki juhudi kukitangaza kisiwa cha Mafia , sina maana ya ubaguzi mimi ni muumini wa Muungano ila tu nakumbushia pia vivutio vyetu vya bara huku
  12. Mererani Mafia Tanzanite - Hii documentary ni nzuri

    Algorithm imenitumia hii youtube doc about tanzanite mafia kuna mpaka al-qaida ndani, Sijui kama ni ya zamani na ilishawekwa hapa jf, lakini its interresting https://www.youtube.com/watch?v=HmGC4D1_ccI
  13. A

    KERO Kero yangu ni usafiri katika Halmashauri ya Mafia, huduma ni mbovu na kuna mazingira ya Rushwa

    1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu matusi ya nguoni mpaka mbele za watoto wao. 4. Watu tunaoajiriwa Mafia tunaona kama tumepewa adhabu kwa...
  14. A

    DOKEZO Vifo vya Ajali ya Boti (FIBER) Mafia vichunguzwe!

    INASADAKIKA watu zaidi wawili wamefariki kwenye ajili hii iliyodaiwa kutokea tarehe 26 Januari 2026 eneo la Kibiti wakiwa wanatoka kwenye kisiwa cha Mafia. Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Rufiji, Protas Mutayoba, amesema boti hiyo ilikuwa imebeba abiria 11 na imepata ajali katika eneo...
  15. Msaada wakuu, nataka kufungua Lounge Kisiwa cha Mafia

    Habari zenu wakuu, nimezamilia kufungua lounge mafia, muziki mzito, vinywaji vyote, chakula, na michezo mbalimbali, kwa njee bonge moja la car wash, hapo vipi wakuu au tutachezea za uso? King La Jr
  16. S

    Bongo kutoboa inafaa uwe mafia

    BONGO NYOSO: Nimegundua kuwa Bongo kutoboa inafaa uwe mafia sana na umafia wenyewe ni ule wa kuvunja mifumo sababu kila mahala ni husda. Ajabu sana unaweza kwenda mahali wanauza nguo uuze maji lakn wakaeka husda, unaweza enda mahali uchome mahindi wao ni watengeneza magari na watakukazia na...
  17. GE2025 Siasa za CCM Mafia zinazidi kuwaka moto

    HUKU vikao vya Chama ngazi ya Mkoa vikiendelea kwa ajili ya kufanya maamuzi ya mwisho kwa Wagombea Udiwani na Ubunge, siasa za Kisiwa cha Mafia zinatajwa kuwa moto. Pamoja na ushindi wa Omar Kipanga katika kura za maoni bado kunaonekana kunafukuta chini kwa chini huku maamuzi ya mkoa yakiwa...
  18. Humphrey Polepole ni Mkatoliki mfia dini

    Tujikumbushe Balozi aliyejiuzulu ni Mkatoliki mfia dini. Huenda anatumika kupenyeza ajenda toka Vatikano. Tumpuuze
  19. Ntaanzisha jurasic park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntaanzisha jurassic Park ambayo itakuwa kisiwa cha mafia na inatakiwa iwe kisiwa cha mafia ili turbosaurus, t-rex na wengineo wasidhuru watu Jambo la kufahamu jurassic Park ilikuwepo Tanzania ndo maana kuligundulika mabaki ya mifupa ya dinasours kipindi cha ukoloni wa...
  20. Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ?

    Yule mbunge aliyejiita yeye ni mafia hakuna mtu atakayegombea kwenye jimbo lake atammaliza na kumpoteza amechukiliwa hatua gani ? Je, wakwapi wale wanaosema wanalinda amani ya nchi, je huyu mbunge haaribu amani na usalama wa nchi kwa hayo aliyoyasema au kulinda amani kunafanya kazi kwa wale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…