Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.
WAKAZI wa Mbopo nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam wameshangazwa na rafu wanazofanyiwa na Shirika la Maendeleo Dar es Salaam (DDC) hali ambayo inawashangaza na kutojua hatma yao.
Wakazi hao wanalakamika hivyo ingawa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni...
Mambo vipi wanajf jobless nakuja tena kutabiri,,,ukiangalia mwelekeo wa maendeleo ya taifa chini ya uongozi wa Rais Samia katika miaka mitano ijayo, ebu ngoja nigusie vitu vifuatavyo watu au wenye mfumo wanaenda kutengeneza vitu vifuatavyo kwenye mfumo wao👇👇👇
Watu watatengeneza mifumo yao...
Watu wanashindwa kukomboa miili ya wapendwa wao kwa sababu kuu moja Poverty.
Sasa njia ya kuondoa hili ni kudili na poverty na watu wakiwa vizuri hawatashindwa kulipia gharama za matibabu.
Kupiga marufukua Hospitali kukatalia maiti sii moja ya maendeleo,ni hadaaa za kudanganya wajinga wa hii...
Adui wa maendeleo ya Mwafrika/Mtanzania ni wasomi wa kiafrika siyo maradhi,ujinga na umasikini tena,kwanini hao wabunge na viongozi wasomi wameshindwa kuondoa umasikini,ujinga na maradhi kama kweli elimu yao ni muhimu na suluhisho la matatizo?
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema elimu ya watu wazima sio tu elimu ya masomo ya kawaida, bali ni zana muhimu ya maendeleo endelevu, kwani inachangia kipato, ustawi wa kijamii, afya na ushiriki wa kiraia.
ameongeza kuwa uzoefu duniani unaonesha kwamba elimu ya watu wazima ni chombo muhimu...
Hebu jaribu kuwaza, chama fulani ambacho ni chama tawala, kinakusanya mabilioni kwa ajili ya kampeni. Lakini serikali ya chama hicho inawaomba wafadhili pesa za kujenga vyoo, dawa na vyandarua.
Matajiri wakubwa wanachangia kampeni lakini mtaani kwao kuna barabara za matope, watu hospitali...
Nimefuatilia yanayoendelea hapa nchini kwetu, nimejukuta nikijiuliaza swali, hawa ndio viongozi wa kutuletea watanzania maendeleo tunayoyatamani kama nchi?
Kesi ya Lissu bila shaka watu/viongozi wanaotegemewa walikaa wakapanga kumpa kesi ya uhaini ili kumkomesha. Sasa angalia aina ya mashtaka...
Imam wa msikiti wa Manyema jijini Dar es Salaam, Sheikh Hameed Jongo amesema harambee ya zaidi ya Shilingi Bilioni 86 iliyochangwa na watu mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu ni ishara kuwa yanayofanywa na serikali ya awamu ya sita yana tija kwa...
Wadau,
Ni msiba mzito kwa Tanzania kuwa CCM priority yake ni kupambana kuendelea kuwa madarakani kwa gharama yoyote ikiwemo kupokea pesa chafu kutoka kwa watu ambao wakati mwingine inawaita mafisadi, kuua, kuteka na kulawiti wale wanaopingana nayo kwa hoja , yote hayo inaweza kuyafanya...
bila
kupata
kupata maendeleo
kutengeneza
madarakani
maendeleo
miaka
miaka 60
miaka 60 ya uhuru
passport
serikali
serikali ya ccm
shaka
uhuru
umaskini
uzembe
Naendelea kushangaa inafanywa harambee kwa ajili ya kampeni badala ya kufanya harambee ya kununua hata kipimo cha kuwapimia wajawazito damu bule kila wanaporudi kliniki badala ya sasa kila wanaporudi lazima uwe na 3000.
inawezekana kumbe tunaweza kufanya harambee ya kutengeneza miundo mbinu za...
Wakuu wa JF, nimekutana na video inaonyesha wananchi wa Buchosa wakitoa maoni wanamsifia aliyekua Mbunnge wao ambaye tena ni Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CCM Eric Shigongo. Imenifanya nifuatilie hayo maendeleo wanayozngumzia yamefanyika kipindi gani? na kwa nini kipindi hiko?
Nimegundua...
Haya ni magari yaliyonunuliwa mahususi kwaajili ya Utekelezaji wa miradi ya Maendeleo
Hili jambo sio la kawaida hasa kwenye wizara hii ya KIlimo, Miaka mingi wizara hii haikutengewa fedha nyingi lakini kwa sasa hali ni tofauti sana, Ni kweli kuna mambo ya kubishaniwa kwenye nchi yetu lakini si...
Wana jamvi habari zenu? Awali ya yote poleni kwa Msiba mzito kwa Taifa kwa ndugu yetu Kipenzi Spika wa Bunge la JMT Mstaafu Ndugu yetu Mhe. Job Augustino Ndugai bila kujali itikadi zetu za kisiasa na hisia.
Niende kwenye mada moja kwa moja.Hivi karibuni JMT ilizindua Dira ya Maendeleo 2025/2050...
Waswahili huwa hawa appreciate / kupongeza hatua ya mtu ya maendeleo anayopiga utasikia tu wanakosoa nyumba/ gari yenyewe ya mkopo .
ingekuwa kukopa ni rahisi kila mtu angekopa .ukiona mtu bank imemuamini kumkopesha ujue huyo anasifa za kukopesheka , anayesema hivyo yeye hata sifa ya...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYANG'HWALE
TAARIFA KWA UMΜΑ
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyang'hwale inautangazia Umma kuwa imepokea Jumla ya Tsh. 410,000,000 kutoka Serikali Kuu kwa ajili...
Kwa kuzingatia Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (kama ilivyorekebishwa), haki za kisiasa na za kijamii zimewekwa wazi, ikiwa ni pamoja na uhuru wa vyama vya siasa kushiriki katika shughuli za kisiasa kwa mujibu wa Ibara ya 20(1) inayosema:
“Kila mtu anao uhuru wa kuungana...
Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza Agosti 04, 2025 jijini Antananarivo, Madagascar na Kikao cha Wataalamu cha Maafisa Waandamizi cha kupitia Utekelezaji wa Mpango Mkakati Elekezi wa Maendeleo wa Kikanda 2030 (Regional Indicative...
Zamani, dunia ya software development ilikuwa kama mji usio na ramani.
Kila developer alikuwa akijenga daraja lake mwenyewe kuunganisha tools, APIs, na frameworks.
Kila API ilikuwa kama mlango wenye funguo tofauti—na kupata kila kitu kifanye kazi pamoja ilihitaji muda, pesa, na nguvu kubwa...