maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kunyimwa Uhuru wa Kujieleza ni kunyimwa Haki ya msingi ya ushiriki katika maendeleo ya nchi yako

    Wakati viongozi wakitazamia kusimika mabavu yao, kwa kawaida huwa wanashambulia haki zetu za uhuru wa kujieleza kwanza. Tumeona mchezo huu mara nyingi. Kwanza wanashambulia vyombo vya habari, kisha taasisi za kidemokrasia, na kisha, taratibu, wanachukua uhuru wetu. Namna ambayo serikali...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa umiliki wa vilabu vya soka na maendeleo

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mchakato wa mabadiliko katika uendeshaji wa vilabu vya Simba na Yanga. Miongoni mwao mabadiliko hayo ni umiliki wa vilabu hivyo. Ni jambo zuri na la kupongezwa kwani linalenga katika kuleta mafanikio na maendeleo. Jambo la msingi la kukumbuka ni kwamba kwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Karibu nyumbani Rais Samia, siku 10 nje ya nchi zimelijaza Taifa mapene ya maendeleo

    Karibu nyumbani Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Siku 10 ulizofanya ziara Ufaransa na Ubelgiji, tayali tumepata Fedha nyingi sana kwenda kuongeza nguvu kwenye sekta mbalimbali za maendeleo kama reli na usafiri wa mwendokasi, kilimo, Uchumi wa Buluu, masuala ya Bahari na maendeleo endelevu. Tayali...
  4. JamiiForums Tanzania Marafiki 'pingapinga' hawaungi juhudi wala hoja yoyote ya maendeleo

    Wasalaam kwenu nyote! Hii dunia ni hatari, kuna marafiki vibwengo hatari jambo lolote la kimaendeleo ukimwambia anapinga na atakosoa vikali na atakwambia mimi nimefanya sana hio, mfano wazo lolote la kilimo cha mazao anapinga, uchuuzi wa mazao anapinga, ufugaji anapinga, biashara anapinga na...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Bajeti ya Mwaka Mmoja tunaweza kuziunganisha Tanganyika na Unguja kwa barabara

    Iko hivi, umbali mfupi kati ya Tanganyika na Unguja ni karibia Kilomita 40 ambazo ni sawa na kutoka pale Makutano ya Mataa ya Magomeni Hospitali mpaka Kibaha kwa Mathias. Uchimbaji na Ukwanguaji wa kisasa wa miamba chini ya bahari kwa kutumia TUNNEL BORING MACHINE inayoweza kukwangua karibia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mtazamo unaopendekezwa na China kwa Pembe ya Afrika unachochea matumaini ya utulivu, maendeleo

    Wakati kukiwa na msururu wa hatari za zamani na zinazoibuka za kiusalama, nchi katika eneo la Pembe ya Afrika kama vile Kenya, Ethiopia, Eritrea na Djibouti zinahitaji haraka kutafuta mbinu mpya za utatuzi wa migogoro ili kuhakikisha utulivu na maendeleo ya amani ya kijamii na kiuchumi. Mgogoro...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye nishati endelevu ni fursa ya maendeleo na hatua muhimu ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

    Na Fadhili Mpunji Katika muda mrefu uliopita suala la matumizi ya nishati limekuwa changamoto kwa nchi nyingi za Afrika, na nchi nyingi za Afrika zikilazimika kutumia pesa nyingi za kigeni kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi, na kutumia mafuta hayo kama chanzo kikuu cha nishati, au kutumia makaa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Utulivu wa kijamii na maendeleo ya uchumi ndio suluhu ya kudumu dhidi ya mapinduzi ya kijeshi Afrika

    Katika mkutano wa Umoja wa Afrika uliofanyika mwanzoni mwa mwezi Februari mwaka huu mjini Addis Ababa, Ethiopia, suala la utulivu wa kisasa limekuwa ajenda ya kujadiliwa, na baadhi ya viongozi wameonyesha wazi kukasirishwa na linaloonekana kuwa wimbi jipya la mapinduzi. Katika kipindi cha...
  9. JamiiForums Tanzania Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo

    Miradi ya barabara inayotekelezwa kwa ushirikiano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) ni kama ifuatavyo; AWAMU YA 6 KAZINI Nukuu za Rais Samia katika sherehe za Uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya mzunguko wa nje wa jiji la Dodoma (KM 112.3) Benki kufadhili zaidi ya miradi 11 ya sekta...
  10. JamiiForums Tanzania Maendeleo endelevu hupatikana kama kuna siasa safi

    Wanajamvi nawasalimu nyote kwa jina la jamhuri ya muungano. Napenda nijadili kidogo kuhusu suala la siasa safi. Hili ni shida kubwa sana hapa kwetu tanzania. Siasa safi si kuwa na amani au kuwa na utulivu hapana kulingana na uelewa wangu. Amani na utulivu ni matokeo tu kipo kinachofanya watu...
  11. JamiiForums Tanzania Congo: Wachawi wafanya tamasha la hadhara kuonyesha nguvu walizo nazo za kufanya miujiza. Waazimia kuutumia uchawi kukuza uchumi na maendeleo

    Wachawi nchini Congo 🇨🇩 DR wamefanya tamasha la wazi lenye nia ya kuonyesha nguvu na uwezo waluo nao. Wachawi hao kutoka majimbo 12 walikuwa wamevalia mavazi yenye rangi kali na waliweza kuonyesha shughuli zao mbalimbali ambapo waliiomba serikali ya nchi hiyo iwapatoe leseni ili waweze...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Bila "tumbua tumbua" haya Maendeleo tunayoyashuhudia leo yasingekuwepo

    Kama unadhani ufisadi ulianza jana basi unajidanganya sana. Awamu ya kwanza kulikuwa na ufisadi wa kutisha sema mawasiliano wakati ule yalikuwa duni tu, utakumbuka RIP Nalaila Kiula alivyopiga dili pale UDA au yule mbunge wa Temeke mh Masoud na issue ya kivuko au wale akina Balyagati na...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna uongozi wa mtu mmoja, tushikamane kwa mafanikio ya Wizara

    Na Prisca Ulomi, WHMTH, Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa hakuna uongozi wa mtu mmoja, menejimenti ya mtu mmoja, tushikamane kwa pamoja kwa mafanikio ya Wizara ili kufanikisha utekelezaji wa majukumu ya Wizara katika...
  14. JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

    Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan...
  15. JamiiForums Tanzania Kama nitakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Habari zenu wana JF. Moja kwa moja kwenye mada; Kulingana na maono yangu kuhusiana na suala la maendeleo katika jamii ya watu wa Tanzania, naona asilimia kubwa ya watu wamesahau kitu ambacho waasisi wetu wa taifa walikua wamekiacha kama kifaa cha kuleta maendeleo. Mnamo mwaka 1967 kulikuwa na...
  16. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha inamsaidia sana Rais Samia kutekeleza miradi ya maendeleo

    Nchi inaenda vizuri sana. Mungu ni mwema. Ukizunguka huko mikoani (nje ya Majiji) utaona jinsi ambavyo halmashauri na maeneo yote ya kiutendaji yanavyofanya kazi za miradi kwa bidii na bila malalamiko. Kwa wasiofahamu, Serikali imemwaga fedha nyingi kwenye halmshauri zote nchi nzima. Huko ndipo...
  17. JamiiForums Tanzania Rushwa haina madhara yoyote ya maana kwa maendeleo ya nchi

    Tunapiga vita rushwa hadi tumeiundia taasisi. Na wengine wanasema nchi za Africa haziendelei sababu ya rushwa. Hili suala limefanyiwa utafiti na limeonekana halina ukweli. Imeonekana kuwa mtu anapokula rushwa na kuwekeza kwenye uchumi huo huo kunakuwa hakuna madhara yoyote ya maana kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania inaongoza Afrika kwa kuwa na Walevi wengi."Kwa hali hii Maendeleo ni ndoto"

    Hii ni hatari kama sio balaa.Wenzetu wanaongoza kwa mambo ya msingi,ni ajabu Tanzania yetu inaongoza Afrika kwa kuwa na wale wengi. Si ajabu wanawake wanakosa wanaume na waliopo hawana nguvu za kiume na za mwili,hupigwa hovyo kwa sababu ya ulevi. Kana kwamba haitoshi Tzn iko mingoni mwa nchi...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Afrika yafaidika na maendeleo ya China katika sekta ya sayansi na teknolojia

    Mwezi Oktoba mwaka jana, aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) Bill Burns alisema kuwa, Shirika hilo linaanzisha vituo viwili vikubwa, kimoja kikilenga China na kingine teknolojia zinazoongoza. Hatua hiyo iliashiria kuwa, kiongozi huyo anaamini kuwa, uwanja mkubwa wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania “Mtego wa madeni”, njama ya nchi za Magharibi kuzuia maendeleo ya Afrika

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi amekanusha tena “dai la mtego wa madeni” kuhusu ushirikiano kati ya China na Afrika alipokuwa ziarani nchini Kenya hivi majuzi. Alisisitiza kuwa China kamwe haijawahi kuzilazimishi nchi nyingine kufanya shughuli zisizotaka, na dai hilo ni kama “mtego...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…