maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vimekubali maendeleo hayana chama

    Wafuasi wa vyama vikuu vya upinzani nchini CHADEMA na ACT Wazalendo Mkoani Lindi wameungana na wenzao wa CCM pamoja na wananchi katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wafuasi hawa wanajua ya...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Lengo letu ni maendeleo

    Chuo Kikuu cha Dar es salaam kimemtunuku shahada ya heshima ya Udaktari Rais Samia Suluhu Moja Kati ya sababu iliyokifanya kumtunuku PhD Rais Samia ni juhudi zake za kukuza uchumi wa Tanzania na kuwawezesha wananchi kukuwa kiuchumi. Lakini Rais Samia Suluhu alipohutubia amesema lengo la kila...
  3. JamiiForums Tanzania Hamkutaka kujifunza kupitia Bukinafaso na Zaire ya Mobutu mlitegemea nini? Mmesahau kuwa viongozi wanaolinda rasimali za umma ni muhimu kwa maendeleo?

    Watu wa Bukinabe walimuua Thomas Sankara wakarudi nyuma na leo ni masikini wa kutupa. Thomas Sankara alitoa uhai wake kutetea masikini na raia wanyonge kama hayati JPM wa Rubambangwe Chato. Vipi kuhusu Patrice Lumumba? Alisalitiwa na wenzake. Kama leo hii watanzania wanavyosalitiwa na wenzao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ujinga wa mwafrika, maandiko ya kihistoria yenye mafundisho kuhusu vikwazo vya wa maendeleo kwa Mtanzania

    WADAU AWAMU YA KWANZA ya uongozi Tz ilitoa fursa ya kuchapishwa maandiko ambayo yalikuwa na mafundisho muhimu kwa kutumia maudhui ya kujikosoa na ambayo yalitupa mafundisho mengi. Moja ya maandiko hayo ilikuwa kupitia vijitabu vidogo vilivyoitwa, UJINGA WA MWAFRIKA" Miongoni mwa maandiko...
  5. JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuhoji kila kitu ni sifa muhimu ya ukuzaji wa ubinadamu na chachu ya maendeleo katika njia tofauti

    Binadamu ameumbwa kwa upekee unaomfanya kila mmoja kujuona kwa namna yake. Hitaji kubwa la mwanadamu ni uhuru dhidi ya kila kitu. Taasisi nyingi zilizopo leo kwa upekee wake zina mazingira ya kupora uhuru na kujenga mazingira ya hofu kwa mwanadamu ili aweze kutawalika. Baadhi ya maandiko ya...
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya kitu gani cha maendeleo katika jamii yako?

    WanaJf, SALAAM! Jukwaa hili linaundwa na watu mbalimbali wa lika, na jinsi tofauti - wa elimu na ufahamu tofauti - wa viwango na nafasi tofauti. Wote wetu tumegeuka kuwa wakosoaji wazuri wa masuala hasa ya kijamii na kiuchumi. Ni jambo zuri kukosoa lkn ni jambo zuri zaidi kuonesha njia kwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kutoka G20 hadi APEC, China yatoa mipango yake juu ya maendeleo na usalama ya dunia

    Kuanzia tarehe 14 hadi 19 Novemba 2022, Rais Xi Jinping wa China alihudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Kundi la G20 (G20) kisiwani Bali, Indonesia, na Mkutano wa Viongozi wa Kibiashara wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi ya Asia na Pasifiki (APEC) mjini Bangkok, Thailand. Katika siku hizi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania CCM nguvu mnayoitumia kutetea wakubwa wenu, muitumie hivyo hivyo kutupigania na kutuletea maendeleo sisi wananchi wa Tanzania

    Asalam alaikum Ndg zangu Mapendo Daimaa Tumsifu Bwana wetu yesu kristo Ndg zangu kwa kitamaduni za kiTanzania salamu ni kitu cha Muhimu sana kwa Jamii zetu mbalimbali hapa Nchini. Nawasalimu wote WAKUBWA kwa WADOGO. Naomba Tusogee kwenye Mada tajwa hapo Juu, Kama raia wa JAMHURI, Tanganyika...
  9. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Vitu vs Watu, vipi sasa hivi?

    Wakati wa Magufuli alishutumiwa na Upinzani hasa CHADEMA kwamba ni maendeleo ya vitu yaani SGR, Ndege, Bwawa la kuzalisha umeme> 2000 MW, Flyovers vyote hivi walikejeli ni maendeleo ya vitu. Sasa leo hii wako Madarakani kuna maendeleo ya nini? Maji hakuna, Umeme hakuna, Usalama wa raia na mali...
  10. JamiiForums Tanzania Ronaldo: Tangu kuondoka kwa Ferguson maendeleo ya Man United ni sifuri

    Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo). Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Manchester United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha na Moshi ndio moyo wa Dar es Salaam, pasipo mapato kutoka hizi sehemu mbili Dar maendeleo yake yangekuwa taabani sana

    ✓Rejea kichwa Cha habari Apo juu Ni ukweli usio pingika imebainika wazi wazi tokea kitambo ( Uhuru) mpaka Hivi Sasa, Mapato mengi Sana yanayo tokana na sekta ya UTALIII yamekuwa yanatolewa upande wa kaskazini mwa TANZANIA yaani kutoka mkoa wa (KILIMANJARO), na (JIJI LA ARUSHA), Kwani sehemu...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Internet ni nyenzo Muhimu kwa Maendeleo

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile amesema kuwa Internet ni nyenzo muhimu kwenye kuchochea maendeleo. Kupitia andiko lake kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter, Dkt. Ndungulile amesisitiza umuhimu huduma hii kupatikana kirahisi, kwa gharama...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Utabiri: CCM haitoleta Katiba Mpya wala Maendeleo ya kweli

    Wakuu, Muombe sana Mungu, nimeona uwanja ukiwa na giza nene sana na njia haipo kabisa. Yaani hawa jamaa kamwe hawatokubali katiba mpya labda wananchi waidai kwa njia nyingine lakini wao kama wao hawana wazo la katiba mpya. Na inaonekana suala la maendeleo ya dhati nalo itakua ndoto maana...
  14. JamiiForums Tanzania Ni wakati dhahiri wa kutafakari maendeleo ya sayansi na teknolojia katika nchi yetu

    Ndugu wanaJamiiForums ni matumaini yangu mu bukheri wa afya. Siku chache tumepokea na kushuhudia ajali mbaya iliyotokea mjini Bukoba. Suala ni kuwa mpaka sasa tumekuwa katika harakati za kuijenga nchi yetu katika misingi bora ya sayansi na teknolojia ya hali ya juu kwa kuandaa miradi mbalimbali...
  15. JamiiForums Tanzania Shaka na porojo za maendeleo imara. Serikali haina kikosi wala vifaa vya uokozi katika majanga

    Majuzi hapa tumemsikia katibu wa propaganda wa CCM akijimwambafy kuhusu uimarishwaji wa kila sekta nchini kupitia serikali ya CCM. Ameenda mbali zaidi kutuita sisi wakosoaji kama.maadui wa mama na tunamtakia mabaya hivyo azibe masikio achape kazi aachane na sisi wanafiki. Katika posti zangu...
  16. JamiiForums Tanzania Maendeleo hayana chama wala ukabila au udini. Prof. Lipumba angetuvusha kama angeteuliwa kuwa Waziri wa Mipango, aliivusha Rwanda

    Haina ubishi kwamba huyu mnyamwezi ni mahili sana wa mipango ya kiuchumi. Anatambuliwa na nchi mbali mbali hapa duniani. Mafanikio ya kiuchumi na mipango mizuri ya nchi kama Rwanda yametokana na mchango wa nguli huyu waliyemkodi kwa mwaka mmoja nchini kwao. Hata Uganda walimtumia. Watu kama...
  17. JamiiForums Tanzania Kauli ya RC Makalla kuhusu uhaba wa maji ni sawa na kusema hatutaki Maendeleo

    Imenishangaza sana kusema suala la maji ni 'Kudra za Mungu'. Nimefikiria kama tuko serious na maendeleo. Labda nianze kwa kuwapa tafsiri ya maendeleo tofauti na ulizoea kuzisikia awali. Maendeleo ni uwezo wa mtu kuyadhibiti mazingira yake (Ability to command the environment). Hii inaenda sawa na...
  18. B

    JamiiForums Tanzania DC Muro na ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo wilayani Ikungi

    DC MURO NA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO- IKUNGI. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida Mhe. Jerry Muro pamoja na Kamati ya Usalama ya Wilaya wataanza ziara ya kukagua miradi ya maendeleo Wilayani Ikungi kuanzia tarehe 01 hadi 04 Novemba, 2022. Ufuatiliaji na Utekelezaji wa Ilani ya...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana uchu wa maendeleo

    Leo ni ile siku tuliyokua tunaisubiri kwa hamu kujua matokeo ya sensa kwa maendeleo ya jamii matokeo haya ya sensa yametoka mapema zaidi ukilinganisha na miaka mingine kwasababu ya kutumia mfumo wa kidigitali na uchu wa maendeleo alionao Rais Samia Suluhu. Rais Samia Suluhu amesema kua...
  20. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa sawa Maendeleo ya vitu ni maendeleo ya wananchi

    Barabara alizosimamia zinasaidia kila sekta ya uchumi hapa nchini. Hospital, Zahanati na Mashule aliyojenga yanawasaidia watanzania kujenga uchumi. Misingi ya kusimamia rasilimali za umma aliyoiweka inawasaidia Watanzania leo hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…