maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. Wizara ya maji na benki ya maendeleo ujerumani (KfW) kuendeleza ushirikiano katika kutekeleza miradi ya maji

    Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Hamidu Aweso akiwa jijini Frankfurt nchini Ujerumani leo tarehe 09 Oktoba 2024 amepata wasaa wa kufika makao makuu ya Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) na kukutana na Viongozi wa Benki hiyo kwa lengo la kuboresha na kukuza mashirikiano baina ya Serikali ya...
  2. Kwanini huwa tunaiombea Serikali ifeli wakati huo huo tunataka kuona maendeleo makubwa ya kiuchumi?

    Vitabu vya Dini karibu vyote husema, yabidi mtu ujinenee mazuri na kujitabiria mema kwa maana ulimi huumba Jinsi unavyojinenea, ndivyo unavyopokea Wataanzania wengi hupenda kuona mambo mazuri yakitokea Cha kushangaza, walio wengi huinenea nchi na serikali inayoongoza ishindwe na wakati huo...
  3. L

    Hizi ndizo Faida za PPP na Faida yake kwa Taifa kama anavyofafanua David Kafulila. Tuipe Nguvu PPP itasaidia kuongeza wigo wa kodi na mapato

    Ndugu zangu Watanzania, Ningependa kusema kuwa PPP (Public Private partnership)yaani ubia kati ya secta ya Umma na binafsi ni mkombozi na mfumo ambao unaweza kutusaidia sana katika kuharakisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo. pamoja na kuvutia mitaji mikubwa mikubwa ya mabilioni ya pesa...
  4. K

    PreGE2025 Hakuna Mbunge anayeleta maendeleo kwenye jimbo lake, maendeleo yanaletwa na Serikali

    Kumekuwa na udanganyifu wa baadhi ya Wahe. Wabunge wakijitapa huku Majimboni kuwa bila yeye maendeleo kwenye Jimbo lake yasingepatikana. Mfano miradi ya Maji, Elimu, Afya n.k. Tuwaambie ukweli kuwa maendeleo yaliyopo kwenye Majimbo yao yameletwa na Serikali kupitia bajeti ya kila mwaka...
  5. B

    Profesa Shivji: Inayoitwa 'Miradi ya Maendeleo' ni Maumivu kwa Wengi

    27 September 2024 Profesa Shivji: Inayoitwa 'Miradi ya Maendeleo' ni Maumivu https://m.youtube.com/watch?v=hVpKDfaNKko Profesa ameyasema haya kwenye semina iliyoandaliwa na HakiArdhi na mada kuu ilihusu maumivu makali ya bomoabomoa wanayopitia wamiliki wadogo wa ardhi. HakiArdhi ambao ni...
  6. Rais Samia aidhinisha Bilioni 246 za maendeleo Tunduru

    Rais Samia atoa bil. 246 maendeleo Tunduru
  7. Uzi maalumu wa kupeana maarifa kwenye nyanja tofauti (Kiuchumi, kiafya na maendeleo binafsi)

    Weka hapa Softcopy yeyote iwe Kitabu, Makala au Jarida lolote, Lakini lengo kuu la hiyo Document liwe ni kuleta maarifa katika eneo fulani . Yaweza kua Kiuchumi, Mabadiliko binafsi, Kiroho hata Historia yenye kufunza . Karibuni!!!
  8. Kwanini vwanja vimekuwa bei sana kweye Mji wa Arusha

    Mji wa Arusha viwanja kwasasa vimepanda bei sana hasa maeneo ya Kiseriani na Moshono, Loswirai. Vipi ndugu zetu wa mkonoo kuna shida gani bei za viwanja zipo chini sana na maendeleo yako down sana shida nini maeneo hayo? Nawasilisha
  9. M

    Kwa CCM hii, Maendeleo ya kweli kama Taifa tusahau milele

    Hivi hiki chama mnakielewa kina falasafa ipi ya kueleweka. Ukiitafsiri CCM ilivyo ukiwa umetulia kabisa utaona kua haitokuja kutokea CCM ilete maendeleo hata siku moja, Rushwa iliyokithiri ni kansa kubwa inayosababishwa na CCM. Hata watumishi wa umma kama walimu, manesi, maafisa kilimo, polisi...
  10. B

    Mwenge wa Uhuru wamulika miradi ya maendeleo - Kibondo

    Jimbo la Muhambwe limepokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Kasulu Vijijini katika Uwanja wa Shule ya Msingi Busunzu 'B' ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa mbio za Mwenge wa Uhuru zinazoendelea nchini. Katika Jimbo la Muhambwe, Mwenge wa Uhuru umezindua Miradi ya Maji, Madarasa, Bweni na...
  11. Mbunge Jafari Chege: Mimi ni Muombaji wa Fedha za Maendeleo, Anayetoa Fedha Hizo ni Rais Samia

    MBUNGE JAFARI WAMBURA CHEGE: MIMI NI MUOMBAJI, ANAYELETA FEDHA ZA MAENDELEO NI RAIS WA NCHI, DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege katika muendelezo wa ziara Jimboni amesema kuwa Yeye kazi yake ni kuomba fedha za Maendeleo lakini anayetoa hizo fedha ni...
  12. Naibu Waziri Katimba: Trilioni 11.5 Zimetumika Miradi ya Maendeleo Kigoma

    NAIBU WAZIRI KATIMBA: TRILIONI 11.5 ZIMETUMIKA MIRADI YA MAENDELEO KIGOMA Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema takribani sh. Trilioni 11.5 zimetumika katika ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayoendelea kuunufaisha na kuufungua kiuchumi Mkoa wa Kigoma ndani...
  13. Wadada wasiopenda hela na wenye akili za maisha na maendeleo hebu jitokezeni tuwaone

    Wadada wasiopenda hela na wenye akili za maisha na maendeleo hebu jitokezeni tuwaone?
  14. Bajeti kubwa migao midogo Kwa sekta/wizara muhimu kwa maendeleo ya nchi

    Habari za mapumziko! Inasikitisha sana kuona sekta muhimu za kuleta maendeleo hazipewi kipaumbele Kwa maana ya kupewa rasilimali pesa kulingana na bajeti zilizopitishwa na Bunge, sekta muhimu kwenye nchi kama Ardhi, kilimo, Mifugo, uvuvi zina hali mbaya kifedha kutokana na kupelekewa bajeti...
  15. Mimi sio motivatonal speaker ila nina uhakika zifuatazo ndizo sababu kuu za sisi Waafrika kuwa na maendeleo duni ya kifikra na mali.

    Kuna wakati nilihisi tumelaanika, kuna wakati nilihisi ndivyo tulivyopangiwa kuwa. Kuna wakati nilihisi mafanikio tunayoyasaka ni mipangilio ya mzungu alioleta labda hii ligi sio yetu kwa maana asili yetu ilikuwa ni bush kufanya hunting and gathering. Lakini i was wrong, Sio kwamba sisi ni...
  16. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni yaipongeza Kibaha Mji kwa usimamizi wa miradi ya maendeleo

    Kamati ya Kudumu ya Bunge inayosimamia Wizara ya Elimu na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeridhika na utekelezaji wa Mradi wa Ujenzi wa Shule ya Shimbo iliyopo Kata ya Mkuza,Halmashauri ya Mji Kibaha Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe.Husna Sekiboko amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  17. Ni lini CHADEMA wataacha kutegemea hisia na huruma za wananchi kushinda uchaguzi badala ya hoja, mipango na mikakati ya maendeleo kwa Watanzania

    Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
  18. Tujikwamue kwa fikra za maendeleo dhidi ya fikra za kuogopa matatizo

    Salaamu wanajamvi, Imekuwa ada kuanzisha hata kusajili vikundi vya kusaidiana mambo ya kijamii kama vile msiba na sherehe. Sio jambo baya kwa vile linakuza ushirikiano na ustawi wa jamii. Ila huwa najiuliza kwanini huwa tunatumia nguvu kubwa mno kuanzisha vikundi vya kuzikana na shughuli za...
  19. Hii Nchi Wajinga wengi. Haya ndiyo maoni ya Dira ya Maendeleo 2050

    Kwakweli serikali ndo maana inabweteka haipati presha maana wananchi wengi ni vihiyo. Hebu angalia maoni haya ya wananchi.😁😁😁😁
  20. G

    Waafrika hatuna kisingizio cha maendeleo yetu duni, Mwafrika ana tamaa, mbinafsi na akishiba hamjui mwenye njaa,

    Wala hakuna kisingizio cha ukoloni, nchi kibao zikiwemo india, korea kusini, China, n.k. zilitawaliwa lakini leo zipo mbali mno Msione kuna hizi kelele za viongozi wanasema nchi ipo salama, uchumi upo vizuri, n.k. Ni kwamba kwao mambo yakiwa mazuri hawana motivation ya kusaidia wengine wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…