maelewano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je, ulishawahi kukaa na ndugu yako mkimya sana!

    Je, ulisha wahi kukaa na ndugu yako mkimya sana, yani hawezi kuanzisha mazungumzo hata iwaje? Na hata kama anaumwa hakwambii, ila majirani na watu usio wajua wanajua kwamba ndugu yako anaumwa. Na akiwa na shida huwaeleza watu wengine na sio wewe? Na je ingekuwa wewe imekukuta hali hii...
  2. K

    Kiwanja kinauzwa Morogoro Mjini

    Kiwanja kipo Morogoro mjini, eneo la Idiva, Kihonda. Nyuma ya Shule ya St. Francis. 3900sqm. Heka 1 kasoro 10sqm. Piga 0682509985. 90ml tu. maelewano.
  3. NANUNUA LAPTOP MBOVU BEI MAELEWANO. 0666761542

    Lete laptop mbovu nanunua, bei maelewano Ilala - Dsm 0666761542
  4. NANUNUA LAPTOP MBOVU BEI MAELEWANO

    Lete laptop mbovu nanunua. Bei maelewano Ilala - Dsm 0666761542
  5. Nanunua Laptop mbovu, bei maelewano

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA NIPO ILALA - DSM 0767953873
  6. Q

    Maridhiano bila maelewano 'a forced reconciliation', ni kosa kubwa kwa CHADEMA

    Chadema wakikubali mtego wa CCM kuingia kwenye maridhiano yasiyo na tija watakuwa wamejimaliza wenyewe, madai yao yote yatafunikwa na blanketi la maridhiano. Chadema itakuwa imejiziba mdomo kwa mikono yake yenyewe kila kitu wataambiwa wasubiri matokeo ya maridhiano. Maridhiano feki hayana...
  7. NANUNUA LAPTOP MBOVU. BEI MAELEWANO

    LETE LAPTOP MBOVU AU AMBAYO UMEICHOKA BEI MAELEWANO NIPO ILALA - DSM 0767953873 (whatspp 0666761542)
  8. NANUNUA LAPTOP MBOVU BEI MAELEWANO. ILALA -DSM. 0767953873

    NANUNUA LAPTOP MBOVU BEI MAELEWANO. ILALA -DSM 0767953873
  9. NANUNUA LAPTOP MBOVU BEI MAELEWANO. 0767953873

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA NIPO ILALA - DSM 0767953873
  10. Nanunua laptop mbovu bei maelewano

    LETE LAPTOP MBOVU NIKUPE PESA BEI MAELEWANO ILALA DSM call: 0767953873 whatspp: 0639994549
  11. H

    Iran Yasema Ipo Tayari Kuikaribisha Marekani Kuwekeza Iran Endapo Itafikia Maelewano ya Kidiplomasia

    Kufuatia mazungumzo yanayoendelea, Iran yaelekea kulegea na kutoa ushawishi wa kila aina, siyo tu Marekani isiishambulie, bali kujenga mahusiano mazuri ya kidiplomasia na kiuchumi. Kwenye tamko la Serikali, Iran imesema kuwa uhusiano mzuri na Marekani utakuwa na faida kwa pande zote, na kwamba...
  12. Nanunua Laptop mbovu bei maelewano

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa bei maelewano. Ubovu Uwezo Model Ilala - Dsm 0767953873
  13. Nanunua Laptop mbovu bei maelewano

    Lete nikupe pesa. Bei itategemea Specs Model Ubovu Tupo ilala - Dsm Machinga complex 0767953873
  14. M

    Tuzidi kuiombea nchi yetu amani, maelewano yanapokuwa hayana nafasi Vita hunukia, Tafadhali tusifike huko

    Katika kila taifa, maelewano ni nguzo ya amani hasa pale panapokua na sauti kubwa inayohitaji mabadiliko. Lakini pale yanapokosekana, resistance huanza kupitia maandamano, mikutano ya hadhara, matamko, harakati za mitandaoni, malalamiko, n.k. lakini na huko wakianza kufunga viongozi wa...
  15. Tangu mke wangu apate ujauzito maelewano yamepotea na unyumba nanyimwa

    Japo tulitofautiana kipindi cha nyuma ula mambo yalikaa sawa, sex ilikua vizuri tu na mambo mengine, ila tangu apate ujauzito, 1. Ni kama ananichukia yani hakuna yale mazungunzo tuliokua twafanya, hakuna story 2. Hata akipika sasa siitwi tena anaweka anakula unakuta tu chakula mezani. 3...
  16. Picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano

    Hii ni picha iliyobeba maana kubwa kwenye jinsia zetu na matatizo mengi yaliyokosa maelewano. Mwanaume hajui kuwa chini kuna nyoka. Na mwanamke haelewi kuwa juu kuna jiwe kubwa limemkandamiza Mwanaume wake. Mwanamke anafikiri, naenda kuanguka na siwezi kupanda, kwasababu nyoka atanin'gata...
  17. Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini.

    Mimi na mke wangu hatukua na maelewano usiku wa jana, na hata asubuhi ya leo kabla ya kuondoka kwenda kazini, Kila mmoja bado alikua kamkasirikia mwenzie. Mimi na yeye wote tunafanya kazi mjini, na ni kawaida yetu kila siku kutoka pamoja kwenda kazini, tumekua ni watu wa kutaniana wakati wa...
  18. Ukiwa Boss kazi inapotokea wafanyakazi hawana maelewano

    Ukiwa Boss kazi unakuta wafanyakazi wako hawapendani halafu wote wanaumuhimu kwako , ukiona mtu kaisimamisha biashara au kampuni ikasimama vizuri mpe ratings zake za kutosha . Inapotokea wafanyakazi wako hawapendani inakupa ugumu umuache nani ubaki na nani wakati wote...
  19. Watoto wa juzi hawezi kuelewa

    Way way back, Hizi chuma kipindi tunakuwa zingine zilikuwa zinafichwa kwenye kabati. Mambo yetu yale pale, mezani zinawekwa za lufufu tu sasa ujichanganye ukaweke za mzee kwenye deki na umeme ukatike ibaki humo.
  20. Mawasiliano ya kitamaduni yahimiza maelewano kati ya watu wa China na Afrika

    Mwandishi mwenye asili ya Tanzania aliyeshinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka 2021 Abdulrazak Gurnah, hivi karibuni alitembelea China na kuzungumza na mwandishi wa China Mo Yan, ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Katika miaka ya hivi karibuni, mawasiliano ya utamaduni kati ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…