madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Sekta ya madini yaleta mageuzi makubwa kiuchumi Lindi

    Imeelezwa kwamba, kwa kipindi cha Miaka Minne Sekta ya Madini mkoani Lindi imefanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kupitia shighuli za uchimbaji na uwekezaji katika rasilimali madini mbalimbali zinazopatikana mkoani humo yakiwemo madini ya kinywe, dhahabu, jasi, shaba, madini ya vito na madini...
  2. W

    Zaidi ya washiriki 300 kujitokeza maonesho ya madini mkoani Lindi

    Waziri wa Maji, Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Shaib Hassan Kaduara kufungua maonesho ya Madini Lindi wilayani Ruangwa Zaidi ya Washiriki 300 wamejitokeza kushiriki Maonesho ya Pili Lindi (LINDI MINING EXPO 2025 yanayofanyika kuanzia tarehe 11 hadi 14 Juni 2025, katika Viwanja vya Madini -...
  3. TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  4. Kiwanda cha madini adimu kujengwa kijijini cha Ngwala Mkoani Songwe

    Kampuni ya Mamba Minerals Ltd inayowekeza kwenye mradi wa madini adimu imeweka wazi mpango wake wa kujenga kiwanda cha kusafisha na kuongeza thamani madini adimu kijijini Ngwala Mkoani Songwe badala ya kusafirisha madini hayo yakiwa ghafi. Hayo yamesemwa wakati wa uzinduzi wa zoezi la ulipwaji...
  5. Wadau haya ni madini gani?

    Wajuzi wa madini,napenda kujua haya ni madini gani?
  6. Kama Mashahidi na Nyaraka za Kesi ya Uchochezi tu hawataki Watanzania muvione, Sahauni kuona Mikataba yenu ya Madini ya Uwekezaji wanayoingia kutupiga

    Naangalia hapa Jamhuri wamepeleka maombi Mahakamani kuomba shauri la Lissu la uchochezi lisikilizwe kwa usiri yaaani Mashahidi ya Nyaraka visionekane kwa Wananchi. Kama una akili vizuri unaweza fikiri kama kesi ya Uchochezi tu wanayomshtaki mtu kuongea maneno ya uchochezi ambayo yalitangazwa...
  7. G

    Anayetafta haya Madini (Mawe) aje inbox tufanye biashara. Yapo ya Kila Rangi (Dodoma Mowapwa - Mtera)

    Habari Wana jukwaa. Nina haya Mawe mengi sana kwenye Shamba langu. Yapo Rangi nyeupe kabisa, Meusi mfano Kama chuma, yapo ya Blue, na Rangi zingine. Pia eneo Lina Mawe ya chokaa kwa ambaye anahitaji kutengeneza mgodi wa chokaa. Ukichimba kidogo Kuna traces za Copper ambayo Iko Kama dhahabu...
  8. PreGE2025 Heche: Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi, inawezekanaje eneo lenye madini yasiyopatikana kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo?

    "Umasikini wetu ni umasikini wa makusudi Hivi inawezekanaje eneo linalotoa madini yasiyopatikana kwingine kokote duniani halina maji ya kunywa mpaka leo? Maji yanatoka ziwa Victoria yanakwenda Misri Jangwani watu wote wanapata maji, kutoa maji kutoka Arumeru yafike hapa imeshindikana miaka 63...
  9. Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume ya Madini: Zaidi ya Migodi 13,279 na Bohari za Baruti 164 imekaguliwa

    Jumla ya migodi 13,279 pamoja na bohari za baruti 164 zimekaguliwa nchini kuanzia Julai 2024 hadi Machi 2025. Hayo yameelezwa Mei 28, 2025 jijini Mwanza na Mkurugenzi wa Idara ya Leseni wa Tume ya Madini, Mhandisi Aziza Swedi, akizungumza kwa niaba ya Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Mhandisi...
  10. M

    Bila fedha , No reform, no katiba mpya , No kikomo ufisadi, Bora CHADEMA watoe ahadi ya kukabidhi Madini yote kwa marekani , Ili msaada upatikane.

    Kwasababu sasa nchi ishakuwa na inequality, watu wachache wanakandamiza wengi, katiba mbovu, ufisadi wa kuwanufaisha watu wachache wa CCM, Kutumia dola kuumiza raia, utawala wa kiimla, kujiweka madarakani, hii Tanzania sasa imekuwa ni nchi ya kikundi cha watu wachache. Na kwasababu wameshikilia...
  11. W

    WAWEKEZAJI SEKTA YA MADINI WAKARIBISHWA MTWARA

    Wawekezaji katika Sekta ya Madini wamekaribishwa kuwekezwa katika mkoa wa Mtwara kutokana na uwepo wa madini ya aina mbalimbali yakiwemo madini mkakati yanayotumika kwenye shughuli za viwanda. Hayo yamesemwa na Mhandisi wa Migodi Mwandamizi, Michael Mtatiro alipokuwa akizungumza kwa niaba ya...
  12. Madini ya Almasi Yenye Thamani ya Tsh 1.7 Bilioni Yakamatwa Yakitoroshwa Uwanja wa Ndege Mwanza

    MADINI YA ALMASI YENYE THAMANI YA TSH 1.7 BILIONI YAKAMATWA YAKITOROSHWA UWANJA WA NDEGE MWANZA ▪️Waziri Mavunde awapongeza RC Mtanda,Kamati ya Usalama,Uwanja wa Ndege na Kikosi kazi Madini ▪️Aelekeza uchunguzi zaidi kubaini mtandao wote wa wahusika ▪️Atoa rai kwa wadau wa madini kuzingatia...
  13. W

    Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe ruvuma zajivunia kusaidia jamii

    Kampuni za uchimbaji wa madini ya makaa ya mawe katika Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma zimeendelea kusaidia jamii ambapo wananchi wanaoishi jirani na migodi wameendelea kunufaika na ajira huku migodi ikiendelea kuboresha huduma za jamii ikiwa ni pamoja na kuchangia ujenzi wa zahanati hali...
  14. Mhandisi Emmanuel Shija: Utafiti umebaini uwepo wa kiasi kikubwa cha madini eneo la Ruangwa, Mkoani Lindi

    Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe (Graphite) na Nickel. Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Lindi...
  15. W

    Tanzania yanadi fursa za uwekezaji mnyororo wa madini muhimu London

    Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama kitovu cha maendeleo ya Sekta ya Madini barani Afrika, kwa kuelezea mikakati madhubuti ya kuendeleza madini muhimu na mkakati yanayopatikana nchini. Hayo yalielezwa Mei 20, 2025 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo wakati akihutubia...
  16. PreGE2025 Makalla: Lema, Heche wanamiliki vitalu vya Uchimbaji Madini Kigosi Bukombe

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, CPA. Amos Makalla, amesema baadhi ya wanasiasa wanaoikosoa serikali wanapaswa kuwa wa kweli kwa umma, kwani nao wamefaidika na fursa mbalimbali ikiwemo kupewa vitalu vya uchimbaji kama wachimbaji wadogo katika eneo la Bukombe. "Ukiwa unapiga...
  17. Waziri Mavunde Aongoza Kikoa cha Kimkakati wa Kiuchumi wa Nchi Kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)

    WAZIRI MAVUNDE AONGOZA KIKAO CHA KIMKAKATI WA KIUCHUMI WA NCHI KUPITIA SHIRIKA LA MADINI LA TAIFA (STAMICO) ▪️Lengo ni kuiwezesha Taifa Kushiriki kikamilifu katika uvunaji Rasilimali Madimi kupitia uwekezaji Mkubwa wa STAMICO ▪️STAMICO kuweka nguvu kubwa katika madini mkakati na adimu...
  18. W

    Tanzania kushiriki Jukwaa la Uongezaji thamani madini Uingereza

    Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la Uwekezaji kwa Sekta ya Madini lililobeba agenda ya Uongezaji Thamani Madini (Minerals...
  19. R

    CHADEMA Simiyu NRNE: Waziri wa madini anatokea Dodoma, hii imekaaje?

    Salaam! Hii nimeipata kwenye hotuba ya CHADEMA mkoani Simiyu kwenye operation ya NRNE kwamba Waziri wa madini atokea Dododomma kusiko na madini yoyote zaidi ya kilimo Cha karanga. Haya ameyasemea Simiyu kanda ya Ziwa, Ndugu Deo Mahilinya, Amedai Tanga kuna mawaziri watano, iweje kanda ya Ziwa...
  20. W

    Sekta ya Madini yakusanya zaidi ya Bilioni 902 kati ya lengo la Trilioni 1

    Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde, amebainisha kuwa Sekta ya Madini nchini imeendelea kupiga hatua kubwa, ambapo maduhuli ya zaidi ya shilingi bilioni 902 sawa na asilimia 90.2 ya lengo la kukusanya Shilingi trilioni moja kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 kufikia Mei 15, 2025, ikiwa ni kabla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…