madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. Inasikitisha na kuhuzunisha sana jinsi 'plants' za madini zinavyohatarisha maisha ya watu

    Kiukweli nilibahatika kutembelea jumla ya plants za madini 9, tatu kahama Shinyanga na 6 wiliya ya Bukombe Geita. Nilichokiona na kukishuhudia kwenye plants hizo ni cha kuhuzunisha na kusitikisha sana haswa kuhusu afya za watu walioajiriwa kwenye hizo plants na wanaoishi kuzunguka hizo plants...
  2. Review: Tanzania kutofaidi kwa madini na gesi asilia Tatizo ni nchi sio kampuni za nje

    Baada ya kuisoma kwa uzuri tafiti iliyofanywa na wataalamu wa mafuta na gesi Afika, Polus, A na Tycholiz, W nimekuja na review ya kile ambaco kipo kwenye kazi waliyoifanya mwaka 2019 ikiaangazia uwanja wa madini na gesi asilia nchini Tanzania huku wakionesha namna ambayo nchi inapoteza mbali na...
  3. Zitto: Mradi wa Kabanga Nickel ni Mradi wa Barrick uliofichwa kupitia kampuni ya LZ Nickel ya Uingereza

    Mikataba mipya ya Madini (Frameworks Agreements) itazamwe tena Na. Zitto Kabwe Hivi karibuni Waziri wa Madini Dotto Biteko ameainisha uwekezaji wa miradi mipya mikubwa mitatu inayoanza kufanyiwa uwekezaji hapa nchini. Miradi hiyo ni mradi wa dhahabu Nyanzaga wilayani Sengerema mkoani Mwanza...
  4. Sekta ya madini inavyofungua fursa za biashara, uchumi

    Na Tito Mselem Tanzania ni miongoni mwa mataifa Duniani yaliyobarikiwa zaidi kwa rasilimali za asili. Miongoni mwa rasilimali hizo ni pamoja na madini ambayo yamekuwa na mchango mkubwa katika kukuza vipato vya Watanzania na uchumi wa Taifa kwa ujumla. Shughuli za uchimbaji wa madini nchini...
  5. Madini Aina ya GOLDEN FELDSPAR na SUN STONE yanahitajika

    Habari, madini tajwa hapo juu yanahitajika Sokoni Dar es salaam... kwa wingi... tuma picha ya mzigo ulonao, sema na offer yako... tuma picha kwa Whatsapp 0714417641... Asante.
  6. Prof. Assad: Kinachokwamisha ukaguzi sekta ya madini ni kukosa umiliki wa Serikali

    "Mamlaka ya CAG ni kukagua taasisi za Serikali. Kitu kinachokwamisha ukaguzi wa Sekta yetu ya Madini ni makampuni yanayochimba madini nchini kumilikiwa na wageni, hivyo hakuna umiliki wa Serikali," Prof Assad, aliyekuwa CAG Wiki ya asasi za kiraia
  7. Uchimbaji wa Madini ya Nikel utainufaisha Tanzania au ndio tutaishia kupigwa

    Nchi zinazoongoza ku export madini haya na pato lake Russia 3.02 bilions US dola kwa mwaka Canada 2.77 United States of America2.22 Germany1.47 Norway1.25 UK 1.1 Finland1.02 Zimbabwe0.99 Japan0.92 Indonesia0.81 Netherlands0.71 France0.69 China0.55 Papua New Guinea0.46 Philippines0.41 Belgium0.4...
  8. Jinsi ya kupata madini ya Almasi kutoka kwenye maiti

    Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimetembelea ambako nimekutana na hii stori, nikaona ni vyema niielete hapa tuijadili kwa pamoja. N.B Mimi si mwandishi wa habari hii. Barani Afrika na maeneo mengine duniani utamaduni wa kuzika mtu anapofariki ni utamaduni wa miaka mingi na ndio utamaduni...
  9. Sheria ya madini kurudisha Ujamaa wa Nyerere kwa vitendo?

    Poleni na majukumu ya kulijenga taifa, Hapo kabla ya sheria mpya ya madini ya mwaka 2017,haijatungwa na kupitishwa, wakaguzi wa madini migodini walikuwa wanaenda kwenye vituo vya ukaguzi, hasa migodi mikubwa na ya kati kwa utaratibu wa mzunguko/rotations yaani leo upo hapa kesho pale, ili...
  10. Haya mawe ni madini aina gani? naomba mnisaidie kuchunguza

    Habari jf? naomba mnisaidie kutambua kama hii ni mawe ya madini ama la? kuna mtu kaniuliza nimeshindwa kujua
  11. Uchawi 101: Madini kutoka kwa magenius wa Quora na namna ya kuudhibiti

    Naandika kwa jinsi nilivoelewa baada ya kusoma comment za watu wa Quora kuhusu dhana nzima ya uchawi, ulozi, na laana. Ki ufupi kabisa, wadau wamezungumzia uchawi kama aina fulani ya nguvu ' energy' kama ilivo energy nyingine unazozifahamu kama nishati ya jua, umeme n.k. Na wamezungumzia...
  12. M

    Wizara ya Madini na Tume ya Madini inatumia sheria na kanuni zipi kukusanya mrabaha wa mawe na kuyapiga mnada?

    Ukisoma sheria ya madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake sehem ya VI isemayo ROYALTIES FEES AND OTHER CHARGE. kifungu cha 87(1) inasisitiza royalty ya 6percentum kwenye dhahabu na madini mengine km yalivyoainishwa japo mengine kiwango chake kiko chini ya 6percentum. Kumezoeleka katika nchi...
  13. Wataalam wa madini

    Wataalam wa madini hili ni jiwe gani
  14. K

    Jambo muhimu sana kwa wataalam wa Madini

    Nakumbuka miaka ya 80 kulikuwa na mwalimu mmoja Mcanada alikuwa anafundisha shule moja ya madhehebu ya Wasabato inaitwa Parane Secondary School. Alikuwa anafundisha Chemistry na Physics. Don Straub. Alikuwa mzuri sana katika masomo hayo. Sehemu hiyo inaitwa Mamba Myamba, Upareni. Kuna kipindi...
  15. Msaada: Hili jiwe la kawaida au ni aina ya madini?

    Naomba msaada kwa wazoefu, hili jiwe la kawaida au ni aina tu ya madini. Nimeokota nikawa nawasiwasi
  16. Geita inaongoza kuwa na madini lakini ina stendi mbovu

    Geita ndio mkoa unao ongoza kuwa na madini Tanzania. Lakini pia ndio mkoa wenye Stendi mbaya sijawahi kuona. Hiyo chini hapo ndio stendi ya mkoa wa Geita. Wabunge wao kazi ni kugonga meza tu bungeni. Madini yakwao lakini hayawanufaishi.
  17. M

    John Pambalu una kelele sana unapoongea katika Tv mpaka tunashindwa kuyapata madini yako mazuri

    Kamanda John Pambalu kwani umeambiwa kuwa ukiwa unaongea tu kwa Utaratibu, Umakini huku ukiwa Umetulia hasa katika Runinga ( Television ) Sisi hatuwezi Kukusikia na Kukuelewa? Umeambiwa moja ya Sifa Kuu ya kuwa Kamanda wa CHADEMA na upate Umaarufu wa haraka ni Kuongea kwa Hasira, Kufoka...
  18. Rais Samia: Kuuza ovyo Tanzanite kunashusha thamani yake

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Madini ya Tanzanite yanapouzwa ovyo yanashusha thamani yake, akisema yanatakiwa kuuzwa kwa mpangilio maalum Ameeleza hayo leo akizungumza na Wananchi Manyara na kuongeza, "Endapo yatauzwa kwa mpangilio na kuachiwa kidogo kidogo duniani thamani yake itapanda"...
  19. Ukweli ni huu, Tanzania ina madini mengi mpaka mengine tunajengea bila kujua

    Sio jambo la kushangaza ila ni ukweli mtupu baada ya kuwa na zunguka kwenye utafiti wa kujifunza. Tanzania tuna madini kama kweli tunaweza kufahamu jinsi ya kuyachenjua basi tungekuwa mbali. Kwanini? Ukosefu wa elimu kuhusu jinsi ya kupata madini kama gold ndio unafanya kutofahamu mpaka...
  20. Kwanini shuleni hakuna somo la madini na uchimbaji wake?

    Habari wandugu, Wenzetu wazungu wanujuzi sana wa madini, wanafundishwa shuleni. Mzungu nu rahisi kutambua Ruby, dhahabu au almasi akiiona. Lakini mbongo hata anafika form six hawezi tambua madini aina yoyote. Kama elimu inamuwezesha mtu kupambana na mazingira yake, na mazingira yetu yamejaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…