madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    Ajabu wanaosomea madini Tanzania hadi wanamaliza vyuo wanakuwa hawajawahi kuiona dhahabu wala almasi laivu

    Kuna mambo ukiambiwa huwezi kuamini kama yanatokea kwenye nchi iliyobalikiwa madini kama tanzania! Wanafunzi wanasomea madini kwa maana ya (Mineral Processing, mining science na mining engineering etc) Asilimia 95% hadi wanamaliza chuo kikuu huwa hawajawahi kuiona dhahabu au almasi laivu...
  2. Waziri Mavunde Akaribisha Sekta Binafsi Kushirikiana na Serikali Kwenye Utafiti wa Madini

    ▪️Awasilisha mpango wa Mining Vision 2030 ▪️Serikali yajipanga kuongeza eneo kubwa zaidi lililofanyiea Utafiti wa Madini wa kina ▪️Kampuni za Utafiti Madini zakaribishwa Tanzania ▪️Aelekeza STAMICO kufanikisha upatikanaji wa vifaa ya Utafiti wa awali kwa ajili ya wachimbaji wadogo 𝐓𝐨𝐫𝐨𝐧𝐭𝐨...
  3. Rukwa: Tume ya madini kuimarisha usimamizi wa sheria kuinufaisha jamii dhidi rasilimali zake, ujenzi wa shule wachangiwa mifuko 50 ya Saruji

    Tume ya madini mkoani Rukwa imeenza utekelezaji wa kanuni na utaratibu za umiliki wa leseni ya madini na namna ya uwajibikaji kwa jamii ilikuhakikisha jamii inayozungukwa na shughuli za uchimbaji wa madini inayonufaika na shughuli hizo. Akitoa ufafanuzi wa namna sheria hiyo inavyo tekelezwa...
  4. U

    Ukraine yakubaliana na Marekani kuhusu mpango wa Madini, asema afisa wa Ukraine

    Tukiona DRC kajisalimisha kwa USA ili asaidiwe kuwaondoa M23 tusishangae! Je, Putin atakuwa ameingiwa ubaridi sasa? Habari kamili; Ukraine imekubali masharti ya mkataba mkuu wa madini na Marekani, afisa mkuu wa Kyiv ameiambia BBC. "Kwakweli tumekubaliana na marekebisho kadhaa mazuri na tunaona...
  5. Felix Tshishekedi- Marekani wanunue Madini ya DRC.

    Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Mh Felix Tshisekedi amesema yupo tayari kufanya biashara halali ya madini moja kwa moja kutoka DRC na Marekani, Tshisekedi amesema DRC ndio mmiliki wa madini hayo kuliko kuyapata kwa tabu na ulanguzi kutoka Rwanda, aidha, Tshisekedi ametoa wito kwa...
  6. Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) yatoa mafunzo matumizi ya takwimu

    Taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibijaki katika rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (TEITI) imetoa mafunzo maalum ya kuelimisha wananchi wasioona kuhusu ripoti na matumizi ya takwimu zinazotolewa na taasisi hiyo ili kuweza kuhoji na kufahamu mchango wa rasilimali hizo na fursa...
  7. DC Nzega aagiza kukamatwa kwa mkuu wa chuo cha madini kwa kumdharau RC Tabora

    Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai ameliagiza Jeshi la polisi kumkamata na kumuweka ndani Abraham Lwakajunguti ambaye ni mkuu wa chuo cha mmDadini Lusu kilichopo wilayani Nzega kwa madai ya utovu wa nidhamu akishindwa kutoa majibu mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati walipokua kwenye...
  8. RC Tabora aagiza kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake cha Mkombozi

    Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha ameliagiza Jeshi la Polisi wilayani Nzega kuwakamatwa Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu waliovamia eneo la Machimbo ya dhahabu ya kikundi cha Wanawake kinachojulikana kwa jina la Mkombozi ambacho kina leseni halali ambayo imetolewa kwa ajili ya kikundi...
  9. KWELI Samaki aina ya Papa (Shark), nyama yao ni hatari ina kemikali ya Zebaki (Mercury)

    HABARI WANA JAMII FORUM Nasikia kitaalamu samaki aina ya papa na jamii za samaki wa aina hii huwa wana kiwango kikubwa Cha kemikali ya madini ya mercury na ni hatari kwa afya ya mwanadam Je swala hili kitaalamu ni Kweli?
  10. 3

    Natafuta madini ya graphite

    Natafuta anayeuza madini ya graphite hapa TZ. Nataka anayeuza kwa kilo na sio kwa tani Ani pm namba yake. Mi nipo dar
  11. PreGE2025 Waziri wa madini apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji mikataba ya utoaji wa misaada ya kiufundi kati ya wamiliki wa leseni ndogo za uchimbaji madini na raia wa...
  12. Viwanda Vinne vya Uongezaji Thamani Madini Kujengwa Mkoani Dodoma - Waziri Mavunde

    VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE ▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani 📍...
  13. G

    Kwanini tusiingie makubaliano ya ulinzi na kibiashara haswa madini na DRC , JW ingie full scale kulinda mipaka ya DRC ?

    Sina mashaka na Jeshi letu tukiamua kulipa Hilo jukumu Tuna HISTORIA nzuri sana tangu ukoloni Hadi leo Kwa Dunia ya leo vita kubwa ni ya kiuchumi Kila mmoja ana angalia mwenzake atampa Fursa Gani Leo DRC ni nchi kubwa ya kimkakati kiuchumi haswa upande wa soko la bidhaa mbalimbali za...
  14. Naomba kujuzwa, je ni kweli haya madini yanayoleta tafrani Kongo tunayo hapa nchini! (coltan)

    MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA. KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO; TIN (CASSITERITE) NICKEL COBALT MANGANESE TANTALUM (COLTAN) TUNGSTEN ( WOLFRAMITE) HAYA MADINI MKOA WA KAGERA YAPO...
  15. Umefika wakati Afrika tufanye mambo yetu wenyewe hasa kwenye rasilimali kama madini

    Trump ametufundisha jambo kwa sasa fukuza wazungu kwenye migodi nasisi tuchimbe dhahabu zetu wenyewe fukuza kwenye gesi uko yaaani ubaya ubwela tu kila mahali tukae wenyewe fukuza kwenye viwanda vya cement
  16. Je, Tukumbatie Utajiri wa Madini au Tuwaachie Warithi?

    Nchi yetu, Tanzania, imebarikiwa kwa utajiri mkubwa wa madini na maliasili. Dhahabu, almasi, tanzanite, gesi asili, chuma, na mengine mengi yamehifadhiwa ardhini, yakisubiri kuchimbuliwa na kutumika. Lakini je, tunapaswa kukimbilia kuchimba madini haya sasa, au tuwaachie warithi wetu, vizazi...
  17. Kagame: Wanaoiba Madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya, sio Rwanda

    Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya. Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda. ================= President Paul Kagame says he doesn't know if...
  18. DOKEZO Hii sio haki, Haiwezekeni eneo langu ligundulike kuwa na madini halafu serikali inipangie bei ya kuuza eneo langu na inakuwa ni Amri sio ombi

    Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja kama ges na makaa ya mawe na vingine vingi. Wakuu kuna vitu serikali inawafanyia wananchi wake...
  19. A

    Israeli inatorosha madini kutoka Congo kupitia Rwanda

    Inaonekana hata Rais Kagame angetamani hii migogoro iishe ila ni kama kuna shinikizo kubwa sana ambalo hata yeye anashindwa kulimudu. https://x.com/Sentletse/status/1885081658363203707?s=19
  20. Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Avutiwa na Mkakati wa Serikali wa Utafiti wa Madini Nchini

    ▪️Ampongeza Rais Samia kwa kwa maono ya kukuza sekta ya Madini ▪️Avutiwa na aonesha utayari wa kusaidia VISION 2030 Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Mhe Amina Mohamed ameipongeza serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mkakati wa kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…