madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Rais Magufuli: Makongoro na Madaraka Nyerere mnaishi Butiama lakini wajumbe wamewapa kura 5 na 2, Tungewasaidiaje?

    Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa. Dkt. Magufuli amesema Makongoro na Madaraka hawaishi Mtwara wala Dsm bali wapo hapo hapo Butiama lakini wajumbe waliwapa kura 5 na 2, sasa...
  2. Pendekezo: Baada ya CCM kung'olewa madarakani Oktoba 28, IGP Sirro awe wa Ofisa wa kwanza kung'olewa madarakani

    Ni kiongozi wa Jeshi Polisi aliyekosa weledi na asiye na uwezo wa kuona chanzo cha matatizo ya uchaguzi, intelijensia yake ni sifuri kabisa. Pamoja na kufahamika wazi kabisa kwamba chanzo cha matatizo ya kisiasa ya Pemba na maeneo mengine nchi nzima ni uhuni wa Tume ya uchaguzi kupitia...
  3. N

    GE2020 Kwa ubabaishaji huu wa CHADEMA hawapaswi kupewa madaraka

    KWA UBABAISHAJI HUU WA CHADEMA HAWAPASWI KUPEWA MADARAKA Ndani ya CHADEMA kumekuwa na malalamiko na madukuduku ya muda mrefu sana ya wanachama na viongozi mbalimbali kuhusu namna mambo mbalimbali yanavyoendeshwa ndani ya Chama hicho. Mpaka sasa kumekuwa na giza zito la hofu baada ya Chama hicho...
  4. V

    GE2020 Kwa kauli hizi za Dkt. Magufuli, Je atakuwa tayari kuachia madaraka kama atashindwa Uchaguzi?

    Ndugu zangu wapendwa naomba tutafakari kwa kina kuhusu kauli zilizotolewa na Magufuli kwamba hayupo tayari kuacha taifa likaangamia, liingie mikononi mwa matapeli na waongo. Kwa kauli hizi inaonyesha wazi, kwamba Magufuli yeye tu ndio mtakatifu na mwaminifu, ila wagombea wengine ni matapeli na...
  5. Madaraka ni koti

    MADARAKA NI KOTI Madaraka ni koti ambalo mtu hulivaa au kuvalishwa na watu wakati fulani na koti hili haliwezi kudumu mwilini kwa aliyepewa madaraka hayo. Mathalani huwezi kuoga huku umevaa koti, huwezi kulala na koti na kama una akili timamu huwezi kukaa kwenye jua kali huku umevaa koti...
  6. Baada ya Lissu kutwaa madaraka, wale waliotenda makosa wakiwa madarakani wasamehewe tuanze upya au Sheria ifuate mkondo wake?

    Kuna haja ya kulijadili hili mapema ili kutoana hofu, hasa baada ya Watanzania wengi kuahidi kumchagua Tundu Lissu ili awe Rais wao. Bila shaka madaraka yanalevya na kuna wanaofahamika kutumia madaraka yao vibaya kwa kudhani kwamba watakuwa madarakani milele, sasa ni dhahiri kwamba muda wao...
  7. GE2020 Wanaodhani ACT-Wazalendo na CHADEMA kushindwa kusimamisha mgombea mmoja ni uchu wa madaraka mnakosea, ni mbinu sahihi kuwabana NEC na CCM

    Anayeandika hapa ni YEYE BRITANICCA Wavivu wa Fikra wanadhani Imekuwa Ngumu ACT na Chadema Kuungana kisa uchu wa madaraka nani agombee, sasa nawafungua Bongo zenu Hakuna ugumu kuna mbinu NEC lazima tuwapime wanajifanya wajanja wakiengua mgombea mmojawapo kwa ukatili, wananchi wanahamia upande...
  8. Ninaamini katika hizi tu ili mtu aweze kuongoza nafasi ya juu kabisa ya madaraka ya nchi lazima awe amesoma walau taaluma moja kati ya hizi

    Wakuu asalaam. Binafsi naamini siasa ni sayansi na wanasiasa ni lazima wawe wanaweza kuimonitor na kuiishi sayansi hii ya siasa. Ili MTU yoyote aweze kuungoza umma wa watanzania ni vyema akawa amesoma na kuhitimu angalau taaluma zifuatazo 1. Sheria Hii ni kwa maana kuwa sheria ndo nguzo kuu ya...
  9. Vita ya Al Shabaab na Ahlul Sunna Wal Jamaa, dhana ya Ugaidi na ulafi wa Madaraka uliojificha chini ya kivuli cha Uislam

    CHIMBUKO LA AL SHABAAB, VITA YA AL SHABAAB VS AHLUL SUNNA WAL JAMAA NA DHANA YA UGAIDI CHINI YA KIVULI CHA UISLAM Naam Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakat, Katika nakala na machapisho yaliyopita nlieeleza kwa uchache dalili za kuenea kwa Ugaidi nchini Tanzania. Na pia kuna baadhi ya...
  10. Z

    Wajumbe hawana makosa, ni makosa ya waliowapa madaraka

    Kuna lawama nyingi kwa wajumbe juu ya maamuzi yao. Binafsi nawasamehe. Angalia nafasi wanazopewa kwa miaka mitano; Bila mshahara, bila ofisi, ghafla paa! Katibu anatangaza eti watia niya watapigiwa kura na wajumbe. Hao watia niya, mmojawapo ni mbunge aliyepewa mshiko wa milioni 250. Kwa miaka...
  11. GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  12. GE2020 Je, kauli hizi za 'Tamaa ya Madaraka na kutomtuma mtu kugombea' alizotoa Rais Magufuli ni dongo kwa Makonda na Gambo?

    Rais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma amenena kwamba viongozi mbalimbali hawaridhiki kabisa na madaraka hasa waliozaliwa mwaka 82 (1982). Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na...
  13. GE2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  14. GE2020 Wasanii wasiwe na uchu wa madaraka kwa kutaka kila mmoja kugombea kwenye Uchaguzi

    Ni miezi michache tu imesalia kwa Tanzania kushuhudia wananchi wake wakijitosa kwenda kwenye vituo vya kupiga kura na kutumia demkorasia yao halali ya kuwachagua viongozi wanaowataka. Kwa wananchi wengi, uchaguzi ni hatua moja kubwa ya kuchagua viongozi ambao watakuja kulijenga au kuliporomosha...
  15. J

    GE2020 Ubunge: Butiama Madaraka Nyerere vs Jackton Manyerere, Iringa Steve Nyerere vs Pierre Liquid na Kigamboni Yericko Nyerere vs Paul Makonda!

    Naona akina Nyerere bila kujali yupi ni Original na yupi ni fake wameamua kuusaka ubunge kwa udi na uvumba mwaka huu. Hata Makongoro Nyerere wakazi wenzio uliowaacha Mwananyamala Komakoma wanakukaribisha ugombee jimbo la Kinondoni kama itakupendeza. Mungu aubariki uzao wa Mwenye heri Julius...
  16. M

    Uchu wa madaraka na ubinafsi unatukwamisha

    Heshima kwenu WAKUU, Poleni na Hongereni kwa mchaka mchaka wa maisha. Kume kuwa na wimbi kubwa la viongozi,,wenye nyadhifa kubwa kuacha nyadhifa zao na kugombea Nafasi ya UBUNGE kila unapofika uchaguzi Mkuu. Hasa wakuu wa Mikoa na wilaya. Naam na ukiwasikiliza wengi wanajinasibu kua wanataka...
  17. GE2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

    1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile. 2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa...
  18. W

    GE2020 Tundu Lissu vumilia, ''bado hujakomaa'', endelea kukitumikia chama achana na madaraka

    Ndugu zangu, Ghafla baada ya mwamba kujitosa, lile tangazo la Tundu Lissu kuomba michango ''kumsaidia kugombea urais'' limepotea. Tundu Lissu au wafuasi wake sio wajinga kwani sasa wanaelewa nini kinafuata. Zengwe lile lile lililowapata Zitto na Dr.Slaa ndilo linamwandama Tundu Lissu ambaye kwa...
  19. GE2020 Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ametangaza kuwania nafasi ya ubunge wa Butiama

    Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara. Madaraka Nyerere ametangaza nia hiyo kutokana na Mbunge aliyekuwepo kukaa muda mrefu nje ya nchi akipata matibabu...
  20. Rais wakate Kangi Lugola, Kessy na Ndugai kwa udhaifu wa kukufanya mpenda madaraka wakati Urais ni mzigo unahitaji kupumzika

    Wana Jf Rais wangu, naanza kwa kukusifu kwa kazi nzuri unayoifanya kama mzalendo. Urais ni taasisi, umeiongoza kwa mapenzi ya Mungu, sasa ametokea watu wenye upungufu wa maoni wanataka uyabadirishe ambayo uliyokuwa unayapinga adharani. Rais wetu ulisema tukuombee sana usiwe na kiburi. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…