madaraka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usitafute Madaraka kwa kuumiza watu

    Katika maisha ni muhimu kujiepusha kutafuta vyeo, madaraka, nafasi kwa kutesa na kuumiza watu. Tusiruhusu mikono yetu kujaa damu za watu wasio na hatia mwisho huwa sio mzuri. Tusifanye kazi kuwafurahisha wakubwa kwa kuumiza wengine hii sio haki, unaweza fanya yote maovu na hayo madaraka...
  2. Namshauri Tundu A. Lissu; ahame chadema Ila tu Kama anavitu anavipata kwa sababu moja tu ya kuwa chadema aaendelee kuwepo. Hii ni aibu

    Chadema ni chama Cha Mbowe hili lipo wazi. Hizi kauli hapa chini ni ishara tosha kuwa kiti kinalindwa haswa! Chadema ni cha Mbowe na Lissu, hivyo kama chama kikiyumba ni Lissu ndiye kayumbisha na siyo mtu mwingine, na mimi Yericko ndiye nimeshikilia mfumo wa kuendesha chama” “Mbowe ni Alfa na...
  3. Happy Birthday Madaraka Nyerere

    Leo Madaraka anatimiza miaka 64. Ni mtoto wa mwisho wa Mwalimu Nyerere ( now that Rose Nyerere has passed away). Madaraka amesoma Banking, Italy na Canada. Madaraka ana predilection for going to Uhuru Peak,( Uhuru Peak,that is the summit of Mount Kilimanjaro).
  4. A

    DOKEZO Utoaji tenda Arusha DC kuna harufu ya Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka, mfumo wa NeST unachezewa

    Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu. Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
  5. Rais Samia awaonya wateule wake, wasitumie madaraka yao "kupiga" pesa

    Rais Samia amewaonya vikali wateule wake, aliowateua majuzi, kuwa wasitumie madaraka yao kupiga "dili" za pesa, badala yake akawaambia ya kuwa wanatakiwa kufanya kazi Kwa weledi mkubwa na kuwatumikia wananchi Kwa uaminifu mkubwa. Aliyatamka hayo maneno wakati akiwaapisha jana jijini Dar. Rais...
  6. R

    Viongozi wa CHADEMA waliopewa madaraka serikalini kupitia CCM kwanini awatumbuliwi?

    Viongozi waliokulia CCM kila siku wanatumbuliwa kwa utendaji mbovu. Viongozi wote waliokua chadema na vyama vingine wakanunuliwa na kujiunga na CcM hakuna anayetumbuliwa bali wanapata uhamisho wa vituo vya kazi. Je chadema inaandaa watu waadilifu na wachapa kazi kuliko CCM? Kama ndiyo kwanini...
  7. PreGE2025 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yamkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka Paul Makonda

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imemkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka, Mkuu wa Mkoa wa Arusha (RC), Paul Makonda aliyeagiza mwananchi mmoja kukamatwa na kuwenda rumande saa 96 bila kufunguliwa mashtaka. Pia imesema, Makonda alipoitwa mbele ya tume kuwasilisha utetezi...
  8. Siku itafika ACT wazalendo itakua chama cha kwanza upinzani kuchukua madaraka na Zitto Zuberi Kabwe atakua Rais wa Nchi Hii.

    Salaam wakuu. KENGE!!"Nalipanda Jukwaa kwa bashasha.Mkononi karatasi na Bahasha.Wala sio Warsha,Ni tathmini za Maisha" Nitangulize kwa kuweka bayana Mimi sio mdau wa Siasa sana,Sina Chama wala uchawa,Urafiki na Kiongozi yoyote aifha wa upinzani wala Chama chochote. Baada ya Tathmini za Muda...
  9. Ikibidi Kenya Jeshi lishike madaraka kwa muda

    Wakati Gen Z wanasisitiza kuanguka na Ruto. Ingefaa jeshi lishike hatamu kurejesha Hali ya utulivu na Amani. Baada ya miaka miwili. Ndio urejeshwe utawala wa Kiraia. RIP (Late) General Francis Omondi Ogolla
  10. CCM haikuruhusu mfumo wa vyama vingi ili siku moja itolewe madarakani

    Ndiyo. CCM iliona hatari ya nchi kunyimwa misaada na wahisani ikaamua kubumba huu mfumo ili mwanaharamu apite. CCM haitaruhusu kupokwa madaraka yake kwa siku hizi za karibuni.
  11. Vijana ndo maana tunakuwa wagumu kuwaamini katika suala zima la madaraka! Mkipata hela mnachowaza ni kufungua zipu! Ona sasa!

    Tuseme huyu ndo kiongozi kapewa ofisi na account ya benki ya kampuni
  12. Vyama vinavyong'ang'ania madaraka kama CCM ndiyo huleta machafuko na mapinduzi Afrika

    Leo nimeunganisha matukio ya vyama vikongwe vya siasa Afrika ambavyo vimeonesha weledi wake na kufanya nchi zao ziwe za kupigiwa mfano Afrika. Chama cha kwanza ni chama cha United National Independency Party (UNIP) Cha Zambia ambacho kilitawala Zambia tangu mwaka 1964 hadi mwaka 1991. Mwaka...
  13. S

    SoC04 Mgawanyo Bora wa Madaraka na Mishahara ya Wafanyakazi wa Umma

    Tanzania tunayoitaka ni taifa linalojengwa juu ya misingi ya usawa, haki, na maendeleo endelevu. Moja ya changamoto kubwa tunazokabiliana nazo ni mgawanyo usio sawa wa madaraka na mishahara kwa wafanyakazi wa umma. Wakati wabunge wakipokea mishahara mikubwa, watumishi muhimu kama walimu...
  14. Tunaowapa madaraka wanajua wajibu wao hasahasa rasilimali za nchi

    "Wakati wanajeshi wakilinda mipaka ya nchi kizalendo, wanasiasa walipaswa kulinda rasilimali zetu, je ulinzi wa rasilimali zetu unaridhisha!!!?" CCM na Chadema wanatakiwa waungane walikomboe hili taifa, CCM wanasema nchi yetu ni nchi ya amani lakini wajue amani ni tunda la haki na uwajibikaji.
  15. M

    Yanayoendelea kwa sasa kwenye Rasilimali za nchi, watanzania wangefumbua macho kidogo huyu Rais alitakiwa aachie madaraka, kupisha wanaoweza kuzilinda

    Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba ambayo kisheria haina balance na anasema kuwa watanzania wangekuwa wanajua yanayofanywa na serikali hii...
  16. D

    Ukiona kiongozi yoyote mng'ang'ania madaraka Duniani, ujue ana asili ya Afrika

  17. N

    SoC04 Mfumo wa Madaraka Tanzania

    Tanzania ni nchi inayotambulika kama nchi ambayo inafuata misingi ya kidemokrasia africa na duniani,ni jambo la kupongezwa na kuendelezwa pia kulindwa vizazi na vizazi Uongozi na viongozi wamekuwa wakipatikana kwa njia ya kuchaguliwa na kuteuliwa, suala la kuchaguliwa halina mashaka wala shida...
  18. Vitu hivi pambana uvipate, ukivikosa usilazimishe jipe muda- pesa, mapenzi na madaraka

    Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Katika hii dunia inayokwenda kasi na isiyohitaji kubembelezana, unatakiwa kupata hivi vitu vitatu kwa namna ambayo hutoutweza utu wako. 1. PESA/ MALI Katika hii dunia hakuna mbadala wa pesa, ili uishi kwa furaha ni lazima uwe na pesa, hivyo basi...
  19. R

    Sura mbili za Bashiru Ally Kabla na baada ya madaraka

    Madaraka hulevya, usimamini mtu isipokuwa Mungu! Msikilize bashiru Ally kabla ya kuwa na madaraka https://x.com/i/status/1793231455981805944 na baada ya kuwa na madaraka https://youtu.be/uSZFsmy-uQk
  20. PreGE2025 Wanawake wakipewa madaraka wanaongoza kwa chuki ili kukomoa wanaume, hasira zote zinahamia kwetu. Tutakutana 2025!

    Kuna Hali Fulani nchi inalazimishwa kuwadekeza wanawake. Au kuwafanya wajihisi kama ni kundi la kuonewa huruma yaani walemavu. Kila mahali wanataka huruma. Hata uchaguzi ujao wanatumia misemo ya kutaka kupendelewa kijinsia. Leo nyimbo na ngonjera nyingi ni za kutufubaza akili tuache kutafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…