mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme ndilo litakuwa janga kuu la kura za CCM 2025. Mabadiliko ya haraka ya sekta hii ni muhimu

    CCM imekamilisha kupanga timu ya kusaka kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Mabadiliko ya watendaji serikalini yanatarajiwa kufanyika hivi punde kwa lengo hilo hilo la kuvutia kura za wananchi. Katika harakati zao hizo ni vyema wakazingatia ushauri ufuatao: - Janga namba moja kuu...
  2. JamiiForums Tanzania Huenda mabadiliko makubwa yakafanywa ndani ya Serikali muda mfupi ujao. RAS, DCs, DAS, DEDs baadhi yenu mmekuwa mizigo kwa nchi

    === Baada ya kumsikiliza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan hapo juu,Naomba nidondoe kidogo haya, Wakati wowote kuanzia Sasa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anakwenda kufanya mabadiliko makubwa Serikalini na kwenye Chama, Mimi Wacha niwalaumu kidogo nyie maboss na endapo Kati yenu atasalia...
  3. JamiiForums Tanzania Usihuzunike, huna budi kukubali. Ni mabadiliko

    Ukiyakataa mabadiliko yatakubadilisha kilazima na yatakuumiza. Utaona mtu mbaya, ana dharau kumbe si kweli. Mlikuwa washkaji ni kweli kuna kitu kilikuwa kinaleta ushkaji wenu. Kama ni shule hapa mlikuwa mnaongea lugha moja. Mmmetoka hapo ww ni boda boda yeye ni mhasibu. Hapa hata mkikutana...
  4. JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kwa wana JF kwenye ushiriki wa mijadala ya kitaifa

    Habari wanajukwaa, ni muda kidogo nimeshuhudia mabadiliko katika namna ya uchangiaji wa hoja, hasa zaidi zile zinazogusa maisha ya kila siku ya Mtanzania, hili linanipa hofu, kuwa huenda zile sheria za mwendo kasi, zimeshika nafasi kiasi cha hata jukwaa lililojipambanua kwa weledi linaangaliwa...
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 61 ya uhuru, Je Mabadiliko ya tabianchi bado ni kichaka cha huduma mbovu za maji nchini?

    Kutokana na tatizo la Upatikanaji wa huduma Bora za Maji safi Nchini baadhi ya Wadau wamekuwa na mawazo tofauti. Kwa haya na mengine mengi, ungana nasi katika Mjadala unaoendelea kwenye mtandao wa Twitter. Bonyeza kwenye Kiunganishi hiki kushiriki mjadala: >>> JF SPACES Baadhi ya hoja...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme: Wa kulaumiwa ni CCM au mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi. Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
  7. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya elimu Tanzania

    Namshika mkono wa heri na shukurani nyingi Rais Samia Hassan kwa mabadiliko mazuri ya elimu anayoyaleta nchini. Namshukuru sana Rais Samia kwa kutatua kero moja iliyotutesa sana miaka nenda rudi ya Watanzania kuwa wanachama wa jumuia ya madola lakini kiingereza hakizungumzwi na walio wengi...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa hewa chafu wa jeshi la Marekani wachangia mabadiliko ya tabianchi duniani

    Mkutano wa 27 wa Nchi Wanachama wa Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unafanyika nchini Misri, na pande mbalimbali zinajadiliana jinsi ya kukabiliana na changamoto zinaozidi kuongezeka za mabadiliko ya tabianchi duniani. Nje ya mkutano huo, utoaji wa hewa chafu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeoteshwa Baraza la Mawiziri linaenda kufanyiwa mabadiliko kabla 2022 haijaisha

    Hatimae Ile hali tarajiwa miongoni wa wananchi na wapenzi wa siasa na maendeleo, baada ya kimya kirefu na subra kubwa, maombi, hamasa, matarajio, kiu yao, ya kuona witikio wa wito na utekelezaji wako, ngoja ngoja imelamba Chali na chereko chereko na simanzi zina taradadi. Mvua za vuli kama...
  10. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tabia Nchi isiwe kichaka cha kuwanyima huduma muhimu wananchi

    Mtanzania ukimpa sababu, umemaliza, ataitumia sababu hiyo kila sehemu. Ukizungumzia umasikini wa bongo watasema ni kwa sababu ya ukoloni ambao umeisha miaka 60 iliyopita lakini bado hakuna hatua serious. Kwa sasa dunia ipo kwenye agenda ya Mabadiliko ya Tabia nchi, na Tanzania imeichukua suala...
  11. JamiiForums Tanzania Wabongo tunahitaji mabadiliko makubwa sana ya kifikra, bila hivyo...

    Salamaleko ndugu wa JF, niende moja kwa moja kwenye mada, kufuatia kitu kinachoendelea kutawala anga la habari kwa Tanzania yetu kwa sasa(ajali ya Precision Air), kwanza nitoe pole kwa wote walioguswa moja kwa moja na pia watz wote. Kilichonisukuma kuandika huu uzi, baada ya tukio la ajali...
  12. JamiiForums Tanzania Kama kweli ni chaguo la Mungu, tusisingizie vita/ tabia nchi

    Kama title inavyojieleza, hivyo ndivyo ilivyo. Kama kiongozi wa nchi ni chaguo la Mungu, nchi hiyo itabarikiwa na itastawi. Hakuna sababu ya kusingizia mabadiliko ya tabia nchi, vita nk! Binafsi kwa kipindi kifupi cha uongozi wake, nimeona mabadiliko makubwa ya tabia nchi tofauti na kipindi...
  13. JamiiForums Tanzania Watapangua sana ma-RPC ila hakutabadili tabia za Jeshi la Polisi

    Kwa saaa speed ya kupangua Ma-RPC inatisha sana haipiti mwezi wanapanguliwa na hapa tulipo huenda huu mwaka hautaisha utasikia tena pangua pangua. Huyu Wambula kazidi sasa make haipiti mwezi hajapangua. Yaani realocation ya ma-RPC ndio mwisho wa mageuzi wanayoimba daily. Hawa wanakwepa kudili...
  14. JamiiForums Tanzania Idugunde nikihamia CHADEMA nitaleta mabadiliko makubwa sana. CHADEMA wapatapa ofisi mpya na utapeli utayeyuka

    Napenda mabadiliko ya kweli. Sipendi uswahili wa kiswahili. Yaani porojo zisizofaa. Mara mwanaChadema anachangisha michango kwa kutumia akaunti yake ya M pesa nihakikisha inakufa. Nitahakikisha pesa za umma haziliwi hovyo na tunapata ofisi ya Ghorofa moja. Nitahakikisha poroja za Twita...
  15. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya kiuchumi nchi hii yanaitaji mabadiliko ya haraka katika sekta tatu

    1. Kuinua na kuhimiza kilimo cha umwagiliaji. Hiki ni kitu muhimu kutoka kutegemea mvua za msimu, serikali iweke na kuwezesha UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO. Tanzania tuna fursa ya maeneo bora ambayo sasa yametelekezwa kama mapori, yana udongo wa rutuba vyanzo vya maji ya mito na underground...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya tabia nchi yameleta athari gani sehemu unayoishi?

    Athari za mabadiliko ya tabia nchi zimekuwa kubwa mno ikiwemo Joto kali lisilostahimilika, Mafuriko yanayoharibu makazi na miundombinu, Ukame unaosababisha kupotea kwa rotuba ya ardhi na Kuzorota kwa sekta ya kilimo. Katika kupaza sauti juu ya suala hili ambalo linahitaji nguvu kubwa ya wadau...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  18. JamiiForums Tanzania Mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri yana afya kubwa kwa Taifa

    Mabadiliko madogo yaliyofanywa na Rais SAMIA SULUHU HASSAN katika Baraza la Mawaziri yanapaswa kupongezwa kwa kuwa yanalenga kuleta matokeo chanya kwa Taifa hususan katika: Kuendelea kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya Serikali ya Tanzania na mataifa mbalimbali duniani, Kuendelea...
  19. JamiiForums Tanzania Jua Leo lipo "IKWETA" msimu wa Joto kuanza, Mwili wako na mazingira kubadilika

    LEO JUA LIPO " IKWETA"MSIMU WA JOTO KUANZA, MWILI WAKO NA MAZINGIRA KUBADILIKA. Anaandika, Robert Heriel Msomi, 😊. Baada ya safari ndefu ya takribani miezi mitatu tangu mwezi wa sita tulikuwa kipindi cha baridi/ ambacho kufikia kilele June 21/22 ambapo jua ndio huanza kugeuka Kurudi katika...
  20. JamiiForums Tanzania IGP Wambura apangua tena nafasi za Makamanda wa Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camilius Wambura amefanya uhamisho wa baadhi ya Makamanda wa polisi wa mikoa ambapo amemuhamisha SACP Henry Mwaibambe ambaye alikuwa Kamanda wa Polisi wa Geita kwenda kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga. SACP Mwaibambe anachukua nafasi ya ACP Safia Shomary...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…