mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mabegi ya Pesa yaliyokutwa Nyumbani kwa Rais Gabon, funzo kwetu

    Hizi ndiyo silika za viongozi wetu. Hawana uchungu na nchi. Serikali zao zimesheheni ndugu zao. Mali zetu wamejimilikisha wao kwa maslahi yao binafsi. Viongozi hawa hawaaminiki. Tudai katiba mpya itakayotuwezesha sote kuwajibika. Katiba zenye kuhakikisha usawa wetu sote mbele ya sheria...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri muda mchache baada ya kufanya mabadiliko

    Rais Samia amemteua Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni Y. Sefue kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango Wengine walioteuliwa kuwa Wajumbe wa Tume hiyo ni Omar Issa ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO na Mkuu wa Chuo cha Nelson Mandela. Pia, Ami R. Mpungwe ambaye ni Balozi...
  3. JamiiForums Tanzania Mawaziri waliotemwa katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Agosti 30, 2023 amefanya mabadiliko Baraza la Mawaziri ambapo Waziri mmoja na Manaibu wawili wameachwa na nafasi zao zimechukuliwa na wengine. Aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula Miongoni mwa walioachwa ni...
  4. JamiiForums Tanzania Mabadiliko madogo Baraza la Mawaziri yanalenga kumsogeza January mahali patakatifu?

    Heshima sana wanajamvi, Nayatazama mabadiliko madogo baraza la mawaziri kama sehemu ya mkakati wa kumwinua January Makamba kuelekea kileleni (IKULU) baada ya Wizara ya Nishati kumshinda. Kuendelea kumbakiza wizara hiyo hiyo ilikuwa ni kumharibia kisiasa. Najua watu wengi wamekimbilia kushangaa...
  5. JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko na teuzi za sura mpya kwenye baraza la mawaziri. Uapisho utafanyika September 1, Ikulu ndogo Zanzibar saa tano kamili asubuhi. 1. Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Awali alikuwa Waziri wa Madini. 2...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta mapendekezo ya kuzifanyia Marekebisho ya Sheria zinazohusu Umiliki wa Maliasili

    Serikali imeyaondoa mapendekezo yaliyopelekwa Bungeni ya kufanya marekebisho ya sheria ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi Kuhusiana na Umiliki wa Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano Kuhusu Masharti Hasi Katika Maliasili ya nchi ya mwaka 2017 kuwa zisitumike katika miradi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya katiba kutoa ukomo wa raisi kuongoza miaka kumi tuu na kumpa nafasi Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan kugombea tena 2030

    Ndugu zangu watanzania katiba yetu imeweka ukomo wa muhula mmoja wa viongozi akiwamo rais na wabunge kuchaguliwa kila baada ya miaka mitano. Hii ni nzuri ila tatizo kubwa ni kwamba katiba imeweka ukomo wa raisi kuwa miaka 10 tuu kitu ambacho sio sahihi. Ni muda muafaka kifungu hicho kifanyiwe...
  8. JamiiForums Tanzania Nitumie nikushauri ili upate mabadiliko na faida kwenye biashara/huduma zako ndani ya miezi mitatu tu

    Natumaini mpo salama Napenda kuchukua fursa hii kuelezea dhamira yangu ya kuwa mshauri wa biashara kwa wajasiriamali, wafanyabiashara, na kampuni mbalimbali. Ukitaka kufanya biashara yoyote ile unatakiwa kufanya utafiti na kuwa na mshauri. Kutokufanya utafiti ni chanzo cha biashara nyingi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko makubwa ya viongozi wa serikali yakamilika; yatawagusa pia viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama

    Serikali inategemea kufanya mabadiliko makubwa kiutendaji hivi karibuni; mabadiliko hayo yataenda sambamba na kuwafuta kazi baadhi ya viongozi waliokwama kufanya kwa ueledi na viongozi wa vyombo vya dola. Lengo ni kuleta sura mpya za vijana watakaozitafsiri kwa vitendo 4R za Mhe.Rais Sambamba...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siyo Chachu na Kitovu cha Mabadiliko tena, Imebaki Historia tu

    Habari wana JF, Kwa wale wazee wenzangu, watakubaliana na mimi kwamba wanachuo wa siku hizi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wamepoa sana na wengi wao hawajiamini kulinganisha na wale wa miaka ya 2005 kurudi nyuma! Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) al-maarufu kama Mlimani, ilikuwa ni kitovu...
  11. JamiiForums Tanzania Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Hukumu kesi ya IGA itasababisha mabadiliko makubwa ya sheria zetu miaka 3-8 ijayo.

    Maamuzi ya kesi ya kupinga mkataba wa IGA yanayotarajiwa kutolewa kesho nayaona yakienda kubadilisha upepo wa kisiasa, ni Maamuzi mazito ambayo yataenda kubadili Katiba na Sheria zetu nyingi na kupelekea viongozi kushtakiwa kwa jinai na kuliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa kuingia mikataba...
  13. JamiiForums Tanzania Tunavyoweza kuchochea mabadiliko katika Utawala Bora na Uwajibikaji

    Utangulizi Utawala bora na uwajibikaji ni msingi wa maendeleo na ustawi wa taifa lolote. Nyanja hizi ni muhimu katika kukuza uwazi, usawa, na ufanisi katika utoaji wa huduma za umma na maamuzi ya kisiasa. Katika andiko hili, tutajadili umuhimu wa kuleta mabadiliko katika nyanja hizi na jinsi...
  14. JamiiForums Tanzania SoC03 Uchambuzi: Namna ambavyo ubovu wa mifumo endeshi ya kiutawala inavyofifisha utawala bora na namna ya kuuendea utatuzi wake ili kuleta mabadiliko

    Kwa mataifa mengi duniani, imekuwa kawaida watawala kutumia mifumo ya kiutawala inayokiuka misingi ya utawala bora. Katika kukuza na kudumisha utawala unao zingatia zaidi uhuru wa kujieleza, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa mahakama, uwazi, haki na umoja, ushirikishwaji wa wananchi na...
  15. JamiiForums Tanzania Chongolo: Watanzania wako tayari uwekezaji wenye tija na mabadiliko bandarini

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amesema Watanzania kwa ujumla wao wameonesha utayari na uhitaji mkubwa wa kuona uwekezaji na uendeshaji utakaoleta maboresho, ufanisi na kuongeza mapato katika Bandari ya Dar Es Salaam, hivyo ameielekeza Serikali ya Chama Cha...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za Kutokomeza Ufisadi na Kuleta Mabadiliko ya Kiuwajibikaji na Kiutawala kwa Maendeleo Shirikishi ya Nchi Yetu

    Samahani Andiko limefutwa!
  17. JamiiForums Tanzania Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

    Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY === Kamishna wa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa Utawala Bora na kuimarisha utawala wa sheria kwa usawa na haki

    UWAJIBIKAJI WA UTAWALA BORA NA KUIMARISHA UTAWALA WA SHERIA KWA USAWA NA HAKI Utangulizi Uwajibikaji wa utawala bora na kuimarisha utawala wa sheria ni msingi wa maendeleo endelevu katika jamii. Makala hii ina lengo la kuchunguza jinsi uwajibikaji na utawala bora vinavyoweza kuleta mabadiliko...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kujiajiri vijana inahitaji mabadiliko ya mfumo wa elimu nchini

    Kujiajiri vijana inamanisha vijana waliohitimu vyuoni waanzishe kazi au biashara zao wenyewe kutokana na elimu waliyonayo au waliopata vyuoni. Kwa maoni yangu hili ni wazo zuri saana lakini linahitaji wanafunzi waliopo mashuleni na vyuoni wapate kusoma na kufanya vitu ambavyo kiuhalisia...
  20. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji wa Sekta ya Umma katika kuleta mabadiliko chanya

    UTANGULIZI  Sekta ya umma ina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Uwajibikaji wa sekta hii ni msingi wa utawala bora na ufanisi katika kutoa huduma kwa wananchi. Makala hii ina lengo la kuchunguza umuhimu wa uwajibikaji wa sekta ya umma katika kuleta mabadiliko chanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…