mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Prof. Paramagamba Kabudi: Watapata lini akili hao wapumbavu wanaokataa mabadiliko?

    Nawasalimu Kwa jina la JMT Mwaka 2014, Profesa Palamagamba Kabudi, aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, alisema kuwa kuna watu wawili duniani: wapumbavu na wajinga. Wapumbavu ni wale wanaoshupaa na kutumia ubabe, huku wajinga ni wale wanaokubali ubabe huo. Kauli hiyo iliibua...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mabadiliko ya tabia nchi kuzinufaisha nchi za Afrika kwenye pande mbalimbali

    Mwishoni mwa mwezi Desemba Balozi wa China nchini Botswana Bwana Wang Xue aliikabidhi Botswana kituo cha utabiri wa hali ya hewa kinachohamishika. Huu ni moja ya misaada inayotolewa na China kwa nchi za Afrika kwenye eneo la mabadiliko ya tabia nchi, msaada ambao kwa sasa unaonekana kuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Yapo maeneo mabadiliko ya mtaala mpya ni kukurupuka kulekule alikofanya makosa Mungai

    Mapendekezo yamesambaa kila kona. Ni mpuuz pekee atasapoti kufuta somo la uraia na general studies Kuona mwalimu mwenye degree anajua kuliko mwenye diploma katika level za sekondari ni mjinga pekee atakuelewa. Awali sheria ilimtaka mwenye degree afundishe 3 to 4, diploma 1 na 2 ilikuwa bora...
  4. JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya mabadiliko katika vifungu vya Sheria ya Bima

    Mapendekezo haya nayatoa kwa TIRA. Mabadiliko ninayopendekeza ni kwamba, kuwepo na rudisho (return of some proceeds) la fedha kwa mchangiaji wa bima inayoisha muda wake bila janga kutokea. SABABU ZA MAPENDEKEZO HAYA 1. Kuepusha mianya ya rushwa. Mmiliki wa gari yuko radhi kumshawishi askari...
  5. JamiiForums Tanzania Jumuiya yenye hatma ya pamoja: China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi katika miaka ya hivi karibuni. Kutokana na mabadiliko hayo, majanga kama vile ukame...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya tabianchi yawafanya wanasayansi kuwa na wasiwasi zaidi kuhusu athari za sayari katika miaka ijayo

    Kwa sasa kila mtu anatambua kuwa kadiri siku zinavyokwenda mbele ndio viwango vya joto duniani vinaendelea kuongezeka, dhana ambayo watu wengi walianza kuwa nayo akilini mwao miongo kadhaa iliyopita. Tukitupia macho mwaka huu wa 2023 ambao ndio unaelekea ukingoni, tumeshuhudia kwa macho yetu...
  7. JamiiForums Tanzania Sabaya Senior (Loy Sabaya) apata Ushindi wa Kishindo Uenyekiti CCM Arusha

    Usiyempenda kaja. --- Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo. Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
  8. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Wananchi wapinga mabadiliko ya Gharama za Kodi na Tozo

    Wananchi wameonesha kutokubaliana na mabadiliko ya Muundo wa Bajeti mpya ya Serikali ya mwaka 2024/25 ikiwa ni chache baada ya Serikali kutangaza Makadirio ya Mapato na Matumizi ambayo yamehusisha ongezeko la Gharama za 'Pasipoti' kutoka Tsh. 300,680 hadi Tsh. 501,133. Mbali na Hati za...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
  11. JamiiForums Tanzania Kuleta mabadiliko katika maisha yako amua hili

    Haijalishi wewe ni masikini kiasi gani, haijalishi kuwa wewe si msomi, haijalishi wewe si mtaalamu wa aina fulani, ukweli ni kuwa una kitu kikubwa na cha thamani sana ambacho hakuna anayeweza kukichukua au kukiondoa isipokuwa wewe mwenyewe. Kama ukiitumia mali hiyo uliyonayo kwa namna nzuri...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM

    Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba kupumzika na kwa upande wa Katibu Mkuu inasemekana Mama haridhishwi na utendaji wa katibu mkuu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni kuhusu fursa ya kuufanya uchaguzi Mkuu ujao wa Rais, Wabunge, Madiwani na serikali za mitaa utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Kwanza tukubaliane katika uendeshaji wa nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Miswada miwili ya sheria za uchaguzi yatua bungeni

    Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; na Muswada wa Sheria ya...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt Slaa na wenzake wanashindwa kuelewa IGA ya DPW haiwezi kuwepo bila mabadiliko ya sheria yetu ya Natural Wealth and Resources Permanent Sovereignty

    Mikataba ya hadhi ya IGA (Intergovernmental Agreement) au BIT (Bilateral International Treaties) au MIT (Multilateral international Treaties) ni lazima ziendane na sheria za nchi husika vinginevyo ni null and void de novo. Hivyo kwa kuwa mkataba kati ya Dubai Emirate na Jamhuri ya Muungano wa...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Kwenye mabadiliko ya Cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, tumia wazoefu; Fedha mpe Dkt. Kimei, Biashara Uwekezaji mpe Deo Mwanyika

    Huu ni Ushauri wa Bure kwa Rais Samia kwenye mabadiliko tarajiwa ya cabinet kufuatia Ripoti ya CAG, namshauri Rais Samia, asibabaike sana na kuangalia ma vyeti ya usomi kwenye uteuzi wa cabinet yake, atumie watu wenye uzoefu, mfano Waziri wa Fedha wa sasa Dr. Mwigulu Mnchemba ni msomi mzuri wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Sheria ya Uchaguzi: Je Tupige Ndege Wawili kwa Jiwe Moja kwa Uchaguzi Serikali za Mitaa/Mkuu, Ufanyike Siku Moja au Tuendeleze Mazoea?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi kwa Maslahi ya Taifa, ambazo ni kuhusu jambo lolote la Kisiasa, Kiuchumi au Kijamii . Bandiko la leo ni bandiko muendelezo Mnaonaje Uchaguzi wa Serikali za Mtaa Ufanywe Siku Moja na Uchaguzi Mkuu na Usimamiwe na...
  18. JamiiForums Tanzania Wito: Pamoja na kusainiwa kwa mikataba mitatu ya wawekezaji wa Dubai Serikali ibainishe maudhui yake na mabadiliko yaliyofanywa kwenye mkataba wa IGA

    https://youtu.be/mYG3nEK8BZE Sote tunafahamu kwamba, kwa nchi changa duniani, fursa za uwekezaji wa kigeni sio tu kwamba ni chache, lakini pia zinakuja na mashari ya kikatili, kinyonyaji na kikoloni. Na wakati mwingine zinakuja kwa ghrama kubwa sana. Kuna wakati mazingira asilia ndiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Miaka 2 mabadiliko mara 4: CCM itikadi na uenezi kuna shida gani?

    Katika kipindi cha miaka miwili tu yaani kati ya mwaka 2021-2023, idara cha itikadi na uenezi CCM imeongozwa na wafuatao: 1. Humphrey PolePole 2. Shaka Hamdu Shaka 3. Sophia Mjema 4. Paul Makonda Huwezi ukawa na taasisi imara ya kisiasa halafu ukawa na mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya mabadiliko ya hali hewa?

    Hapo zamani, sababu za asili, kama milipuko ya volkano na El Niño, zilisababisha kushuka kwa joto na mvua. Kilicho kipya, ni ushawishi wa wanadamu juu ya mabadiliko ya hali ya hewa. Tunaendesha magari yetu, tunapasha moto nyumba zetu wakati nje ni baridi, na tunatumia nishati kupika. Shughuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…