mabadiliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha. Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
  2. JamiiForums Tanzania Tujitahidi kusoma historia ndiyo mkombozi pekee wa akili zetu kama tutakuwa wenye kuhitaji mabadiliko ya kweli

    History is the study of past,present and future events maana hii nazani nwaliosoma o level ndiyo walikuwa wanaitumia katika mitihani,historia ya bara la afrika imeandikwa kwenye waandishi tofauti kina walter Rodney,smith na wengineo. Historia ipo kwa lengo la kuonesha GAP au MAPUNGUFU ili watu...
  3. JamiiForums Tanzania Utafiti: Watanzania Wanaunga Mkono Mikakati ya Kupunguza Uzalishaji wa Methane Kushughulikia Mabadiliko ya Hali ya Hewa

    Watanzania wameonekana kuunga mkono kwa kiasi kikubwa mipango inayolenga kupunguza uzalishaji wa gesi ya methane na kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Global Methane Hub, shirika la kibinadamu linalojitolea kupunguza uzalishaji wa methane...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali yaanzisha Tahasusi (Combination) mpya 49, sasa zitakuwa 65

    Serikali kupitia TAMISEMI imetoa fursa kwa Wahitimu wa kidato cha nne mwaka 2023 kuongeza au kufanya marekebisho ya machaguo mapya ya tahasusi (combination) baada ya kuongezwa kwa tahasusi mpya 49 kutoka 16 zilizokuwepo awali na kufanya tahasusi za kidato cha tano kufikia 65. Akiongea leo...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Urafiki wenye mabadiliko ndani yake

  6. JamiiForums Tanzania Robertinho: Tangu nimeondoka sioni mabadiliko yoyote Simba

    Robertinho anasema tangu amefukuzwa Simba hakuna mabadiliko yoyote kiuchezaji.
  7. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  8. JamiiForums Tanzania Wizara zenye matatizo ambazo ninahitaji mabadiliko au kuondoa viongozi wake wa juu

    Kuna wizara ambazo mawaziri wamepewa kama zawadi na inabidi waondolewe haraka: 1. Waziri wa afya na Naibu wake. 2. Waziri wa fedha 3. Waziri wa Tamisemi 4. Waziri wa Nishati (Doto) 5. Waziri wa Maliasili na utalii 6. Waziri Madini 7. Kassim Majaliwa (waziri Mkuu) 8. Waziri wa uchukuzi
  9. JamiiForums Tanzania Punguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia hatua za kibinafsi

    Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama Kupanda miti ili kusaidia kuchukua kaboni dioksidi kutoka hewani. Miti husaidia kueneza hewa safi kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Heche: Mabadiliko hayawezi kuletwa na waliosababisha matatizo

    "Mabadiliko hayawezi kuletwa na watu wale wale walioleta matatizo, yaani matatizo hayawezi kutatuliwa na kiwango cha fikra kile kile kilicholeta matatizo, matatizo tuliyonayo ya kukosa maji, umeme, umasikini yameletwa na CCM, CCM haiwezi kubadilisha hayo matatizo, CCM ni sehemu ya matatizo...
  11. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Serikali haiwezi kukuletea mabadiliko kwenye maisha yako, kuilaumu ni kupoteza muda tu

    "Kosa kubwa la kwanza utakalolifanya kwenye maisha yako ni kutegemea eti Serikali itakuletea mabadiliko kwenye maisha yako, na kupoteza muda wako ukiilaumu serikali kila kukicha, na la pili ni kudhani eti waliofanikiwa ni kwa sababu ya hisani ama fursa ya kuwa kwenye serikali, wakati naanza...
  12. JamiiForums Tanzania Njia ambazo mtu anaweza kusaidia kupunguza mabadiliko ya tabianchi

    Tabia Nchi inahusu mabadiliko ya hali ya hewa duniani kwa muda mrefu. Ni matokeo ya ongezeko la gesi chafu katika anga, kama vile dioksidi kaboni, ambayo husababisha joto kuongezeka duniani. Matokeo yake ni mabadiliko makubwa katika hali ya hewa, kama vile kuongezeka kwa joto, mafuriko, ukame...
  13. JamiiForums Tanzania Kupunguza Elimu ya Msingi kuwa darasa la sita sio suluhisho la ukosefu wa ajira, tengenezeni sera ya elimu inayogusa soko moja kwa moja

    Mifumo ya elimu Chuo Kikuu bado inaendeleza elimu ya kukariri kile mwalimu anachosema na sio kumuandaa kijana kujiajiri baada ya kumaliza Chuo kikuu. In fact, Soko la Ajira limesha dorora, Soko limejaa wateja wengi kuliko wanunuzi. Watu wa Uchumi mtuambie hii inaashiria nini.🤷 Wadau...
  14. JamiiForums Tanzania Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya Ajira ni kero na uonevu kwa waomba Ajira

    Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri. Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mabadiliko katika mfumo wa maombi ya ajira ni kero na uonevu kwa waomba ajira

    kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri. Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nina hamu sana ya kusikia kuna mabadiliko madogo/makubwa ya Baraza la Mawaziri, Ma RC's na DC's kuanzia sasa

    Nitafurahi mno nikisikia kuna mabadiliko haya kwani kwangu mimi GENTAMYCINE naona Overall Performance ya Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya kwa sasa ni below standard (very poor) Natumai kwakuwa Mteuwaji Mkuu huwa Ananisoma sana GENTAMYCINE na tuko nae hapa JamiiForums tena hii mida ya Saa 10...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Ijengwe Barabara ya lami kutoka Karatu-Meatu-Bariadi na Meatu-Kolandoto-Shinyanga, Mafuta yachukuliwe Tanga utaona mabadiliko makubwa sana

    Mh. Rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan barabara tajwa hapo juu ni muhimu sana. Imarisha bandari ya Tanga, mikoa ya kanda za Kaskazini, kanda ya ziwa na nchi jirani za Burundi Rwanda na Uganda watachukulia mafuta bandari ya Tanga, Dsm ni mbali na kuna msongamano mkubwa. Pili barabara ya njia 4...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kukataa mabadiliko ya miswada 3 inayopigiwa kelele na wote ni wazi wana nia ovu. Watanzania tusikubali

    Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as opposed to natural science, na hivyo CCM inabidi ikubali matakwa ya wengi. Kuna mambo hayahitaji...
  19. JamiiForums Tanzania Mabadiliko haya ya sheria za FIFA ndiyo yamechangamsha AFCON hii

    Kabla ya mwaka 2004 FIFA ilitaka mchezaji achezee timu ambayo yeye ni raia tu wa nchi hiyo. Mwaka 2004 walibadili sheria. Mchezaji aliweza kuamua kuchezea timu ya taifa lolote alilotaka. Kilichotakiwa ni kuwa awe hakuwahi kucheza mechi za mashindano ya timu za taifa lingine. Mwaka 2021 FIFA...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Aweso afanya mabadiliko ya watendaji maji Rufiji, amuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi Utete

    AWESO AFANYA MABADILIKO YA WATENDAJI MAJI RUFIJI, AMUONDOA KWENYE NAFASI YAKE MKURUGENZI UTETE. Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso amefanya mabadiliko ya Kiuongozi katika Mamlaka ya Maji Utete kwa kumuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo bwana Christopher Mwigune akiwa wilayani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…