maarufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Naomba jina la mganga wa tiba asili maarufu anayeishi Gamboshi.

    Waungwana ninachangamoto ya kiafya nimetumia tiba za hospitali kwa muda mrefu lakini naona hali ya matatizo yangu bado haiko vizuri kwakuwa siku baada ya siku inazidi kuwa mbaya zaidi. Hivyo mwenye kumfahamu naomba anipejina Dm kwa kuendelea kutunza usiri. Nawasilisha nikjtegemea kupata msaada...
  2. F

    Tuseme kweli tupu, hivi leo 5-6 November 2026, mtu maarufu kisiasa nchini ni nani?

    Karibuni
  3. Wafahamu wabunifu maarufu wa mitindo ambao ni mashoga. Hiari ni yako, kususia bidhaa zao, au uendelee kusapoti ushoga.

    Katika historia ya tasnia ya mitindo duniani, wapo wabunifu maarufu ambao walikuwa au ni mashoga (wapenzi wa jinsia moja), na wengine wamekuwa wakihusishwa na tasnia hiyo kutokana na uhusiano wa kitamaduni kati ya mitindo na jamii hiyo. Wabunifu Maarufu wa Kimataifa Gianni Versace – Mtindo...
  4. Zijue kampuni kubwa za Kichina zinazotengeneza simu maarufu Afrika

    China imekuwa mstari wa mbele duniani kwa utengenezaji wa simu janja (smartphones), ikitoa simu zenye teknolojia ya hali ya juu kwa bei tofauti tofauti (kuanzia za bei nafuu hadi za daraja la juu). Zifuatazo ni brand maarufu zaidi za simu kutoka China zilizogawanyika kulingana na makundi na...
  5. I

    Jeff Koinange vs Elijah: Je, Content Creators Wanapaswa Kuheshimu Mipaka ya Watu Maarufu?

    Mwanahabari mkongwe wa Citizen TV Jeff Koinange amezua mjadala baada ya video kuonyesha akimpuuza kwa kumsukuma mtayarishaji wa maudhui Elijah, anayejulikana kwa kipindi cha Young Millionaire Talks, alipomkaribia kwa mahojiano ya ghafla katika hafla Africa Commerce and Industry Summit 2026...
  6. Hawa hapa watu watano maarufu, na wenye ushawishi kuwahi kutokea nchini.

    Waku, Tanzania tunebarikiwa vichwa vitano maarufu.. ~ Baba wa Taifa, Julias kambarage Nyerere.(Rip) ~ Chuma, John pombe magufuli.(Rip) ~ Tundu Antipas Lissu ~ Steve Kanumba.(Rip) ~ Diamond platnum
  7. Hii ni misiba ya watu maarufu iliyonihuzunisha sana

    Ingawa vifo humhuzunisha yeyote ila vinapishana viwango vya huzuni. Kwa mfano huzuni ya kufiwa na mama haiwezi kuwa sawa na huzuni ya kufiwa na girlfriend. Sasa hawa nitakaowataja kwenye huu uzi walikuwa watu maarufu ambao sikuwa na ukaribu nao wowote ila vifo vyao vilinifanya nihuzunike kama...
  8. Hata ukifikiri wewe maarufu sana, kuna watu hawakujui

    Amitabh Bachchan (mwigizaji gwiji nchini India) aliwahi kusema: "Katika kilele cha kazi yangu, wakati fulani nilikuwa nikisafiri kwa ndege. Abiria mmoja karibu yangu alikuwa bwana mzee aliyevaa shati ya kawaida sana na suruali. Alionekana kuwa mtu wa kawaida na mwenye kipato cha kawaida sana...
  9. Mabilionea uchwara wa Zimbabwe ni maarufu sana bongo kuliko bilionea halisi

    Sijui ilikuaje bongo mabilionea uchwara na wababaishaji wakafahamika na kuwa maarufu zaidi kuliko bilionea halisi. Hapa bongo mabilionea wanaofahamika kutoka Zimbabwe ni matepeli tu kama Ginimbi, Chivayo na baba yake Tony Kapola, Uebert Angel ila Zimbabwe ina bilionea wa kweli usiyiweza...
  10. A

    KERO Wakazi wa Pwani, Mkuranga eneo la Mipeko tunateseka na umeme mdogo kwa zaidi ya miezi miwili

    Tunaomba mtupazie sauti sisi wakazi wa Pwani, Wilaya ya Mkuranga, eneo la Mipeko maarufu kama Msikiti wa Kipati, kutokana na tatizo la umeme hafifu (Low Voltage ya takriban 133V). Tumeshatoa taarifa mara kadhaa TANESCO, na tuliambiwa kuwa inahitajika kufungwa transformer mpya kutokana na...
  11. Kwa nini watu wote maarufu lazima waishi Dar ?

    Hivi Mbeya, Mwanza, Arusha, Tanga, Dodoma na Morogoro hakufai kuishi watu maarufu ? Ukifuatilia umbea wote nchi hii wa wanaonekana watu maarufu hasa wa mitandaoni ni Dar tu!
  12. Mwana Filosofia maarufu alitabiri tunayoyona saaa.

    Wakati mwingine hatuna haja ya maelezo mengi. Historia ilisha tabiri.
  13. O

    SIM Cards Kadhaa Zapatikana Polisi Wakimkamata Mshukiwa Maarufu wa Utapeli wa M-Pesa

    M-Pesa attendant mmoja Garissa alidhani anasaidiwa kufanya line upgrade. Dakika chache baadaye, line yake ilikuwa imeswap na fedha zikahamishwa kwenda account nyingine. Polisi sasa wamemkamata Edwin Mugoi, ambaye DCI inamtuhumu kujifanya Safaricom agent na kuwalenga M-Pesa attendants katika...
  14. M

    Makabila Maarufu Afrika

    Ukiachana na Wamasai ambao wapo Kenya na Tanzania. Wachagga ndio Kabila pekee ambalo lipo Tanzania tu lilotokea kwenye hii list. Cha kushangaza Wachagga sio wanaongoza kwa idadi ya watu hapa Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine nyingi ambazo makabila yaliyotokea ndio yanaongoza kwa wingi...
  15. Mtengeneza maudhui maarufu - Youtube, aliyekuwa akibeza mambo ya dini, aamua kuokoka na kubatizwa katika maji mengi!

    Hii habari ni moto sana! Kila mtu anapaswa kuisoma mwanzo mpaka mwisho. Kweli Mungu anawapenda watu wote. Amebadilisha maisha ya Mtengeneza Maudhui(Youtuber) maarufu mwenye umri wa miaka 30, aliyejizolea mamilioni ya Subscribers kwa video zake za comedy, muziki, boxing na survival challenges...
  16. Hivi kwa nini wanawake wanapenda watu maarufu?

    Mfano mdogo kipindi kabla mondi hajatoka alipenda kuitwa domo Kaya.. Ila baada ya kutoboa tu akageuka kuwa mtu wa kupendwa na kutamaniwa na wanawake? Je mtu maarufu, hata kwa ujinga kwa nini hugeuka kuwa crush kwa mademu? Swali la kizushi tu. Wanawake wangekuja kusema ili tuone, je ni nini...
  17. Collection ya kauli maarufu (quotables) katika kesi ya Uhaini ya "Jamhuri vs Tundu Lissu"

    Katika kufuatilia kesi hii ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, kumetokea kauli nyingi ambazo zinaweza kusimama zenyewe kama zenyewe. Uzi huu ni wa kukusanya kauli hizi. Kama umefuatilia kesi hii toka mwanzo, tusaidiane katika kushare katika uzi huu. Mfano, wakati John Mnyika anahojiwa siku...
  18. Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika Ni credit kwa Taifa Britanicca
  19. Azma Yangu: Nitakuwa Maarufu Duniani Kufikia 2040

    Katika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like mtu maarufu na aliecha a big impact but these mediocres Wanaishia kuongea faul words juu yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…