maalumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Serikali wekeni bima maalumu kwa wazee 65+

    Bila bima maalumu kwa wazee 65+ mfumo mzima wa bila ya taifa ya Afya hauwezi kufanikiwa. Wazee hawa wana matatizo makubwa ya kiafya na ni lazima waangaliwe tofauti sana na vijana. Kuwe na clinic maalamu za wazee ambazo zitafanya ufuatiliaji wa wagonjwa mpaka nyumbani. Hii itapunguza wazee kujaa...
  2. Ni muhimu sasa kuwa na muongozo wa msafara wa Rais pamoja na gari maalumu lenye hadhi na cheo maalum

    Kufuatia sintofahamu iliyotokea huko UK ambapo Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameonekana kwenye basi lililoandaliwa kuingiza viongozi wa mataifa mbalimbali kwenye eneo la kuaga mwili wa malikia Elizabeth Il. Inawezekana tukapiga kelele sana ingawa tukashindwa kuwa na sababu thabiti...
  3. Uzi maalumu kwa wanaotaka kuoa na kuolewa

    Hii ni sehemu maalumu kwa wale wote wenye mpango wa kuoa na kuolewa. Tupia Likes, Comments kuhusiana na uamuzi huu mzuri.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…