maafisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Dar: Maafisa wa Bodi ya Filamu wapita baadhi ya maeneo kufanya msako kwenye Library Bubu kwa wanauza kazi za wasanii bila vibali

    Timu ya maafisa kutoka Bodi ya Filamu ilipita baadhi ya maeneo Jijini Dar es salaam kwa ajili ya kufanya msako mkali kwenye Library Bubu na kwa wale wote wanajishughulisha kwenye kuuza kazi za wasanii bila vibali ambapo kadhaa wamewajibishwa
  2. O

    Vuta-Nikuvute Shule ya Upili ya Nyabisase: Maafisa Waokolewa Kufuatia Makabiliano Makali na Watahiniwa

    Tukio la kusikitisha na lenye kuhatarisha usalama lilitokea katika Shule ya Upili ya Mchanganyiko ya Nyabisase, iliyoko eneo la Bobasi, Kaunti ya Kisii, wakati wa zoezi la kawaida la usimamizi na ufuatiliaji wa mitihani ya kitaifa ya KCSE. Wakati wa tukio hilo, mamia ya watahiniwa wa KCSE...
  3. N

    Dawati la jinsia Police Tanzania lina kazi gani ilhali kuna maafisa wa Ustawi wa jamii kila kata?? Mbona kesi za labor hazina dawati kituo cha Police?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Police Tanzania wao wana-deal na jinai (Crimes), masuala ya jinsia na watoto ni masuala ya maafisa wa Ustawi wa jamii waliopo karibia kila kata ndani ya Mkoa husika. Sasa lile dawati la jinsia katika ofisi ya OCS na OCD lina maana gani?? Mbona hakuna dawati la kesi...
  4. A

    DOKEZO Maafisa wa LATRA Morogoro wanalazimisha nilipe Faini kwa cash au Lipa Namba, eti hawana Control Number

    Naomba ufafanuzi kutoka LATRA, juzi nilikamatwa na LATRA sijalipia Pikipiki yangu lakini wakati naomba Control Number wanasema natakiwa kulipa faini kwanza ambayo ni Sh 15,000 lakini cha ajabu hiyo faini hupewi Namba ya Malipo wanataka cash. Tukio lilitokea Morogoro sehemu moja inaitwa Kiroka...
  5. Z

    Rais Trump wa Marekani amesema kwa maafisa wa Serikali wanao vujisha siri/taarifa za serikali wanapaswa kuuwawa/kunyongwa.

    Rais wa Taifa kubwa la Marekani ameyatamka hayo jana tarehe 14/10/2026 kuwa maafisa wote wa Serikali wanao vujisha siri za Serikali wanapaswa kuuwawa. Mnaonaje hata hapa kwetu utaratibu huu ukatumika?
  6. A

    KERO Tunaomba mtupazie sauti, Watumishi wa Umma ngazi ya Kata, tunateswa na Madiwani, Watendaji na Uongozi wa CCM

    Tumeajiriwa kama wataalamu wa Kata, lakini baadhi ya Watendaji wa Kata wanatulazimisha kubaki ofisini na kufanya majukumu ambayo kimsingi ni yao. Hali hii inaturudisha nyuma kimaadili na kiutendaji. Tunachangishwa michango ya chama, wakati kwa maadili ya utumishi wa umma, wataalamu tunapaswa...
  7. Ajira 360 Mwendokasi: Madereva na Maafisa Abiria

    Mwendokasi/MoFAT Yatangaza Ajira 360 kwa Madereva na Maafisa Abiria Mwendokasi/MoFAT imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi za madereva wa mabasi ya BRT na maafisa wa huduma kwa abiria. Ajira hizo zinaongeza fursa kwa Watanzania, hususan vijana, huku zikiimarisha utoaji wa huduma za...
  8. R

    siasa za mahusiano ya kimapenzi za maafisa halmashauri na madams walioolewa na watumishi wenzao halmashauri husika,Tunakomaje!!?

    Umetoka nae huko mbali sana kusipojulikana,maafisa wanaanza kumpitia ,unafikiri hicho kiburi,majigambo,majivuno,kelele unaweza ku survive!!? Pale utakapoanza kuonekana wa kawaida na hata mwenza kukutishia afisa husika kama spinning machine ya kiburi chake,je utavumilia!!?kisa watoto na siasa za...
  9. A

    KERO Malalamiko ya Kucheleweshewa Mishahara kwa Maafisa Kilimo wa BBT

    Sisi vijana tulioajiriwa kuwa Maafisa Kilimo wa zao la pamba kupitia programu ya BBT, tunakabiliwa na changamoto ya kucheleweshewa mishahara na stahiki nyingine zinazohusiana na utekelezaji wa majukumu yetu. Baada ya kuajiriwa na Bodi ya Pamba na kupangiwa kufanya kazi katika kampuni...
  10. Kwenu Maafisa Usafirishaji

  11. MAAFISA HABARI, KIZAZI KIMEBADILIKA: WATU HAWATAKI PRESS RELEASE KILA SIKU

    Kuna jambo nimekuwa nikilitafakari siku hizi kuhusu namna taasisi za umma zinavyowasiliana na umma, hasa kupitia social media. Kwa kweli naamini kuna haja kubwa kwa maafisa habari kubadilika na kuanza kuelewa vizuri hisia, tabia na matarajio ya audience wanayoihudumia. Dunia imebadilika...
  12. A

    KERO Ukichelewa kulipa Service Levy Gongolamboto, Maafisa Biashara wanakubambika faini ya kukukomesha na kukupeleka Polisi

    Kero yangu ni Ofisi ya Kata ya Gongo lamboto iliyopo Pugu Kona, Maafisa Biashara wa Halmashauri wamekuwa wakikamata Wafanyabiashara na wasiokuwa na leseni au wenye leseni lizizoisha na wengine kuhusu kodi ya Service Levy ambayo kwa asilimia 80 watu hawana uelewa kuhusu kodi hiyo. Baada ya...
  13. L

    Marekani Yakunjua Makucha Yake.Yawawekea Vikwazo Vikali Maafisa Mbalimbali Wa ICC . Yaapa Kupambana Na Mahakama Hiyo Hadi Kieleweke.

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa Maafisa wake wa kuendelea kuaminika mbele ya Macho na jicho la kisheria katika kutoa Haki. Ni...
  14. O

    Waziri Wa Usalama Kipchumba Murkomen Aonya Maafisa wa Umma: “Wantam” na “Kasongo” Zinaweza Kukufutia Kazi

    Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, aliwaonya maafisa wa umma, wakiwemo polisi na machifu, dhidi ya kujihusisha na kauli au misemo ya kisiasa wanapokuwa kazini. Murkomen alitoa onyo hilo Narok Jumatatu, Agosti 11, 2025, akisema maafisa watakaopatikana wakiimba kauli ya upinzani...
  15. Nimeandaa majeneza 100, 99 kwa ajili ya maafisa mafisadi, na moja kwa ajili yangu mwenyewe." — Zhu Rongji

    "Nimeandaa majeneza 100: 99 kwa ajili ya maafisa mafisadi, na moja kwa ajili yangu mwenyewe." — Zhu Rongji Kauli hii maarufu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa China, Zhu Rongji, ni ishara ya msimamo wake mkali na usioyumba dhidi ya rushwa na ufisadi serikalini. Ujumbe wake mkuu ulikuwa kwamba vita...
  16. A

    KERO Kuna Maafisa wa LATRA wanaokamata Bodaboda na Bajaj hawavai sare, wengine hawatoi Control Number wanataka cash

    Mara kadhaa nimeona na nimesikia stori za baadhi ya maafisa wa LATRA, hasa jijini Dar es Salaam, wanavyotekeleza majukumu yao ya kuwakamata madereva wa bodaboda na Bajaj. Kinachonishangaza ni kuona baadhi ya maafisa hao wakiwa katika operesheni za ukaguzi na ukamataji bila kuvaa sare au mavazi...
  17. O

    Five Kenyan Security Officers Killed in Suspected Al-Shabaab IED Attack in Mandera

    At least five Kenyan security officers have been killed after a patrol vehicle struck a suspected improvised explosive device (IED) in Mandera County. The officers, comprising four members of the Special Operations Group (SOG) and one National Police Reservist, were reportedly conducting a...
  18. X

    Marekani imechapika hapo M.E mpaka Maafisa wa Marekani wanashuku kuwa China au Urusi huenda wanasaidia Iran

    Iran yazidi kuimarisha uwezo wa makombora, ikiweka changamoto mpya kwa mifumo ya ulinzi ya Marekani. Iran imeboresha makombora yake ya ballastic missiles kwa kuongeza uwezo wa mambo mawili muhimu: Kasi kubwa (High Speed) Makombora yanapokaribia shabaha yanaweza kufikia kasi kubwa sana...
  19. D

    Kibarua kigumu Sana Kwa Askari na Maafisa wa vyombo vya Ulinzi na salama

    Kibarua hiki kigumu kinakuja baada ya tamko la Waziri wa Mambo ya Ndani kuwaagiza chombo chenye dhamana ya Ulinzi na Usalama wa raia na Kali kuhakikisha wanapita Kila Hotel, Guest House, lodge, Air BnB, n.k. ili kubaini wahalifu wa uvunjifu wa Amani. Kwa Sasa hata kukaa Bar pia siyo salama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…