lumumba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Katibu wa Itikadi CCM, Shaka kwa Wasira: Nitaendelea kujifunza ili niwe bora zaidi

    LUMUMBA DAR ES SAALAM Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka leo 25 Mei 2021 ametembelewa na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM ya Taifa Ndg Steven Masato Wasira katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es salaam...
  2. K

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba amlilia Hayati Magufuli

    Lumumba ni mzalendo wa kweli Afrika. Kajidhihilishia hilo katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa Hayati Magufuli. Machozi yanamtililika Kwa uchungu wa dhati. Kiukweli waafrika tumepoteza jembe.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Alichokisema Prof. PLO Lumumba kisichopendeka Lumumba

    Mabibi na mabwana hapa chini ni yote aliyoyasema Prof. Lumumba: Ni wazi kuwa Prof. PLO Lumumba kama wakili nguli alijiandaa kweri kweri kumtetea mteja wake vilivyo. Hata hivyo, katika haya yafuatayo wanalumumba wanayafumbia macho kana kwamba hawakuyaona wala kuyasikia: 1. Lumumba...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Upotoshwaji wa mazungumzo ya PLO Lumumba, Lissu - VoA

    Mabibi na mabwana kuna upotoshwaji wa wazi wa kilichotokea straight talk Africa jana. Labda kwa sababu ya siku 21 za maombolezo ya msiba mkubwa tuliomo, Star TV hawakuyaonyesha kabisa mazungumzo hayo. Kilichotokea katika mazungumzo haya ya nia njema kama yalivyokuwa, Lissu aliongea kwanza na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

    Katika mahojiano ya Jana VOA -Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020? -Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi? -Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya...
  6. JamiiForums Tanzania PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

    Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la...
  7. J

    JamiiForums Tanzania PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

    Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia. Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema...
  8. JamiiForums Tanzania Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

    Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa Kesho saa 3 unusu usiku
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania PLO Lumumba: Wazungu wanaichukulia Afrika kama Zoo. Hawajali utu wa watu wa Afrika

    PLO Lumumba ambae ni Mwanaumajimui maarufu wa Afrika anasema wazungu wanatumia jitihada kubwa kutunza Ndovu,Sokwe, Chui na wanyama wengine ambao wamo kwenye mapori ya Afrika ili wapate mahala pa kuja kupumzika lakini hawajali lolote kuhusu maslahi ya Afrika. Anasema hivi karibuni watatuzuia...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Maombi ya kudhibiti Corona bila ya kufuata taratibu na kanuni za Sayansi za kupambana na Corona ni ushirikina-Profesa Lumumba

    Profesa amekumbuka shuka kukiwa kumekucha! Wajanja walishajua kuwa kitendo chako cha kumshobokea bwana yule bila tafiti ni ulipigwa!
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Rais Kenyatta na Professor Lumumba wafanya kikao

  12. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

    Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM. Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba. Kuna siku jpm...
  13. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Tunathamini marafiki zetu wote kama Taifa la Tanzania, tunawaheshimu na kuwapenda. Tunatarajia watuheshimu kama Taifa Huru

    Leo kutoka ofisi za chama cha mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam, Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi, Humphrey Polepole anaongea kuhusu mambo yaliyojadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu kilichoketi jana mjini Dodoma, kuwa nami.. ======= Polepole: Sisi kama chama mapinduzi tunawaahidi...
  14. JamiiForums Tanzania Prof. Lumumba: Hongera Magufuli, hongera Watanzania

    Hizi ndio Salam za pongezi kutoka kwa Prof. Lumumba. Imani yake bado ni kubwa kwa Rais Magufuli
  15. J

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

    Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm. Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa. Source Watetezi tv Maendeleo hayana vyama!
  16. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Ubelgiji yasema jino la shujaa Lumumba wa DRC linapaswa kurudishwa

    Patrice Lumumba aliuawa 1961 Mahakama mjini Ubelgiji imeamuru kwamba jino lililochukuliwa kutoka kwa maiti ya shujaa wa Uhuru wa taifa la DRC wakati huo ikiitwa Congo Patrice Lumumba linapaswa kurejeshwa kwa familia yao, vyombo vya habari nchini Ubelgiji vimeripoti. Lumumba aliyekuwa waziri...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: CCM ya-test mitambo, yazindua Kituo cha Huduma kwa Wanachama na Watendaji

    Published on Aug 17, 2020 Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu...
  18. JamiiForums Tanzania Naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba

    Zipo sababu nyingi ambazo ningeorodhesha zote huenda vidole vingeuma kwa ku type ila kwa leo nataka niwatajie sababu chache tu, kwanini naona fahari kuitwa kijana wa Lumumba. Mgombea wangu anaendelea kutandika reli yakisasa SGR, hivi mmeona lile jengo la stesheni makao makuu Dar, lile lenye...
  19. JamiiForums Tanzania Wapinzani naona vijana wa Lumumba wanawaonea huruma sana kwa ajili ya Membe!

    Pale inapotokea adui anapokwambia kwenye mzinga uliojaa asali kuwa hakuna NYUKI, wewe ingiza tu.. . Usimsikilize hakutakii mema. .. Asijikute anakushauri... Mwanzo walimsema sana Mbowe mbona haachii UENYEKITI. .. Kiasi kwamba hadi wanachadema wakakaa chemba kufikiria "eti kweli mbona...
  20. JamiiForums Tanzania Wewe Kada Mwandamizi wa hapo CCM Ofisi Ndogo Lumumba uliyehoji kwanini simkubali Hussein Mwinyi haya ni Majibu yangu Kwako

    Kwanza nimefurahi kujua kumbe nawe ni mwana JamiiForums Mwandamizi na mkubwa kabisa lakini pia kumbe ni Mtu ambaye unapenda sana Kufuatilia Mada (Threads) zangu hapa hasa za Kisiasa. Sitaki Kukutaja Jina ila nashukuru tu ya kwamba Mtu ambaye umemuuliza Asubuhi ya Leo kwamba kwani Mzukulu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…