luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. GE2025 CCM yamtupa nje Luhaga Mpina Mbio za Ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
  2. GE2025 CCM Simiyu yamtupa nje Luhaga Mpina kuwania ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
  3. GE2025 Luhaga Mpina agoma kutishiwa nyau. Achukua fomu kugombea Jimbo la Kisesa

    Aliyekuwa mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kutetea ubunge Jimbo la Kisesa Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, leo Jumatano Julai 2, 2025. Mpina amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Meatu, Nabothi Manyonyi. ========================= Mbunge ambaye Jimbo...
  4. Jimbo la Kisesa hakuna aliyechukua form ya ubunge, wanamtaka Luhaga Mpina tu

    Wakati wa Jimbo la Kisesa hawajachukua fomu ya ubunge hadi Leo Wanachama wa CCM wameshinikiza Mpina ndo agombee pekee Mwenyekiti wa CCM Taifa alimwita Luhaga Mpina kuwa ni mbunge wa Taifa na sio mbunge wa Kisesa na huwa hawatetei wananchi wa Kisesa Pia Mwenyekiti wa CCM alisisitiza wananchi...
  5. Tetesi: Jimbo la Kisesa analotoka Mpina,hakuna aliyechukua fomu mpaka leo hii

    Habari wa JF, Katika hali ya kushangaza na kustaajabisha,jimbo la Kisesa hakuna MwanaCCM yeyote aliyechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kukiwakilisha Chama kugombea ubunge.Pamoja na mafuriko ya wanachama wa Chama hicho maeneo mengine, lakini Kisesa bado wanaCCM wameufyata. Chanzo changu...
  6. Wazanzibari kimyakimya wafanya maendeleo makubwa wa haraka huku akili za watanganyika zikielekezwa kwa Tundu Lissu, Askofu Gwajima na Luhaga Mpina

    Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja. Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
  7. B

    Kosa la Luhaga Mpina ni nini hadi aandamwe kiasi hiki?

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa Bunge ambalo linahitimisha uhai wake leo, lakini kuna jambo limekuwa likinitatiza na kujiuliza Kosa la Mpina ni nini hadi aandamwe kiasi hiki? https://youtu.be/PN81WsF_xtk?si=k9ZKT_YzOEruZsfw https://youtu.be/dJ3VufyOuLE?si=bfhouP59K5a_gcSP...
  8. K

    Mpina anasema kuwa kuna wafugaji walikamatiwa ng'ombe wakaenda mahakamani wakashinda mpaka leo hawajalipwa licha ya kushinda kesi

    Mimi binafsi sijaamini aliyoyasema Mhe. Mpina kuwa kuna wafugaji walikamatiwa ng'ombe wao wakaenda Mahakamani wakashinda kesi lakini licha kushinda kesi mpaka leo hawalipwa ng'ombe wao au fedha iliyothamanishwa na ng'ombe hao. Tanzania ni nchi ya kidemokrasia inayofuata utawala bora na...
  9. Ni kweli kabisa Luhaga Mpina ni Mbunge wa taifa

    Nakubaliana na maneno ya Luhaga Mpina kuwa yeye ni mbunge wa taifa. Angalia anavyopambana kwa ajili ya kupigania maslahi ya umma na taifa kwa ujumla. Angalia alivyopambana juu ya zao la pamba kwa manufaa ya watu wa jimbo lake. Hii ni wazi kuwa ni mbunge wa taifa na jimbo lake kwa ujumla.
  10. Video: Wananchi Kisesa wamshangilia Luhaga Mpina wagoma kutawanyika baada ya mkutano

    Wakuu, Wananchi wa Kisesa wanaonekana wana mahaba na mbunge wao licha ya kuchabangwa na Rais. Umati mkubwa wa wananchi wa Mwandoya waliokuwa wamehudhuria mkutano wa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina, wameshindwa kujizuia kwa furaha waliyonayo, na kujikuta wakimsindikiza hadi...
  11. PreGE2025 Luhaga Mpina: Tumewatetemesha nchi nzima wametupa kombe la kitaifa

    Mbunge wa Kisesa, Mhe. Luhaga Mpina amesema wananchi wa Meatu hawakuchagua tu Mbunge wa Jimbo, bali wametoa Mbunge wa Taifa anayetetea kila aina ya mtanzania, wakiwemo wanyonge wasio na sauti, na kukemea mafisadi na wala rushwa Akizungumza na wananchi wa Mwandoya, Wilayani Meatu, Mpina amesema...
  12. Luhaga mpina amvaa Bashe, Tuna changamoto ya mnunuzi mmoja katika zao la pamba, hii kesi haijaisha

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuikosoa vikali Wizara ya Kilimo kwa kuruhusu mfumo wa mnunuzi mmoja katika ununuzi wa zao la pamba, akidai kuwa mfumo huo unaua ushindani na kushusha bei ya mazao ya wakulima. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Mwandoya, Wilayani...
  13. PreGE2025 Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi

    Mapokezi ya Mpina Kisesa ni balaa — apokelewa na maelfu ya wananchi Katika mkutano wake Luhaga Mpina ameonyesha kwamba yeye ni mwamba na wananchi wanamkubali licha ya vijembe alivyopata hivi majuzi kutoka kwa mama! Huko mama anajisikiaje akiona hali ya jimbo la Kisesa?
  14. PreGE2025 Luhaga Mpina akubali kuwa Mbunge Wa Taifa, asema Rais Kukiri hilo mbele ya Watanzania ni kwa sababu ya Kazi kubwa ya kijimbo na Kitaifa anayoifanya

    Wakuu, Nipo nafatilia Hotuba ya Luhaga Mpina Mkutano mbele ya Maelfu ya Wanakisesa . Huyu MPINA anapendwa sana ,umati mkubwa ulojaa hapa umethibitisha ubora wake wa kiutendaji, hakika watu hawana Wasiwasi na MPINA Asema, Ugomvi juu ya Mnunuzi wa PAMBA kua Mmoja, bado haujaisha ! Asema, Rais...
  15. Wananchi wenye lafudhi ya kisukuma waliopewa baiskeli za CCM wasema Luhaga Mpina hakukosea, aliongea mambo ya msingi

    Wakuu, Wananchi sio wajinga, wanao uelewa wa kuchambua kati ya mbichi na mbivu. Licha kuwa wamepewa baiskeli mpya za CCM lakini bado wanaonekana kusimama na kuamini katika kile kilichosema na Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina mbele ya Rais Samia na kwamba hakukosea kwani alizungumza mambo ya...
  16. SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi adai Mpina ni dikteta, hafai kuonewa huruma

  17. W

    Vijana kama Mpina ndio Nyerere aliowataka CCM, lakini hata yeye hakuwa tayari kuvumilia waliompinga, urithi alioacha ni machawa, waoga na vilaza

    "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi...
  18. PreGE2025 Wasira: Namshangaa Mbunge (Mpina) kusema Jimboni kwake bado wanamdai Rais Samia

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema amesikitishwa na mbunge (hamkumtaja jina) aliyesema anamdai Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wakati wenzake hawana deni naye na kwamba mbunge huyo ameingia ‘choo ambacho sio chake. Soma > Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa...
  19. PreGE2025 Mbunge Jacqueline: Majibu aliyopewa Mpina na Rais Samia yamenipa raha

    Mbunge wa Viti Maalum, Jacqueline Ngonyani, akichangia katika Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea jijini Dodoma leo Juni 18, 2025, amesema amekoshwa na majibu yaliyotolewa na Rais Samia kwa Mbunge Luhaga Mpina, akieleza kuwa yalimfurahisha na kumpa faraja...
  20. A

    PreGE2025 Mpina amekuwa mbunge kwa miaka 20 mfululizo, ameshayasoma majira. Ubunge wa kitaifa ni zaidi ya Ubunge wa Jimbo

    Ameingia bungeni kwa mara ya kwanza 2005 akiwa kijana wa miaka 30.. Amehudumu katika siasa za uwakilishi kwa miaka 20 mfululizo. Mbunge anayetanguliza masilahi mapana ya nchi yake ni mzalendo zaidi kuliko anayejali tu changamoto binafsi za jimbo lake.. Mpina anajua fika, yeye na wanaharakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…