luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. K

    GE2025 Ushauri wa bure kwa Luhaga Mpina kuhusu kugombea urais kupitia ACT-Wazalendo

    Mhe. Mpina nimekuona kwenye clip na pia kwenye mitandao ya kijamii kuwa unashawishiwa na ACT- Wazalendo kuwa ugombee nafasi ya Urais kupitia Chama hicho. Nakupa ushauri wa bure. ACHA KABISA wazo hilo. Kama unataka cheo chochote kupitia siasa gombea nafasi ya ubunge hata kwa kupitia Chama chao...
  2. L

    GE2025 Dorothy Semu ajiondoa kugombea Urais ACT Wazalendo. Je, anampisha Luhaga Mpina?

    Ndugu zangu Watanzania, Dorothy Semu aliyekuwa ametangaza kugombea Urais Kupitia Chama chake cha ACT WAZALENDO. Je anajiondoa ili kumpisha Luhaga Mpina? Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
  3. GE2025 Mpina na Kalikawe ni wagombea urais kupitia Act Wazalendo

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi majina ya wagombea wa nafasi za Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho, kufuatia kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika tarehe 5 Agosti 2025 katika ukumbi wa Hakainde Hichilema. Katika kikao...
  4. GE2025 Mpina kwenda ACT Wazalendo ni Plan ya Samia, hii unahitaji kuwa na extra akili kujua hii move. Mpina ni project ya Samia

    Nasikitika sana kuona Watanzania wanavyo chezeshwa move na wao kuingia wazima wazima. Mpina ni project ya Samia na hii yote ni kutengeneza move kwa International Organizations waone kwamba kuna Democrasia ya kwelu. Hii kwa sasa hamtaielewa kwa akili zenu fupi na mtakuja kuelewa baadae sana...
  5. R

    Luhaga Mpina ulikosea mahesabu, ilibidi uwe mnafiki, "upige kimya", upite then useme ukweli! ACT ulikokwenda , Tume itakutangaza?

    Ulijua kuwa menykiti wako ni dikitaita, hataki uweli. Ilibidi uwe mnafiki upite, then uushabulie injustices ulizokuwa unaziona. Huko ACT ulikokwenda, unaweza kushinda, wananchi wanakuhitaji, je watakutangaza?
  6. GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu, akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACT Wazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo. Pia soma >> GE2025 - Mpina ahamia rasmi ACT Wazalendo, kumvaa Rais Samia Oktoba 29, 2025
  7. J

    Wananchi Jimbo la Kisesa waraka jina la Luhaga Mpina lirejeshwe

    SIMIYU: Baadhi ya Wananchi wa Jimbo la Kisesa wamekusanyika na kueleza hisia zao wakipinga uamuzi wa Chama Cha Mapinduzi (#CCM) kukata jina la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Luhaga Mpina katika mchakato wa awali wa uteuzi wa Wagombea. Wamedai kutoridhishwa na majina yaliyopitishwa na kutoa...
  8. GE2025 Isihaka Mchinjita kuhusu Luhaga Mpina, asema ACT Wazalendo inawakaribisha watu wote waliokosa fursa kwenye vyama vyao

    Wakuu Makamu Mwenyekiti ACT-Wazalendo Bara, Mheshimiwa Isihaka Mchinjita, kupitia mahojiano na kipindi cha Supa Breakfast, amegusia uvumi unaosambaa mitandaoni kuhusu Mbunge wa zamani wa Kisesa, Luhaga Mpina kujiunga na ACT Wazelendo na kusema wanamkaribisha wakati wowote.
  9. Tetesi: Mpina agonga hodi ACT Wazalendo na yupo tayari kugombea urais

    Saa za aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina wa Chama cha Mapinduzi (CCM), kutua katika Chama cha ACT-Wazalendo zinahesabika, baada ya kiongozi huyo kubisha hodi huku akieleza kuwa yuko tayari kupeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya urais, Jambo TV...
  10. Tetesi: Luhaga Mpina kuongea na Vyombo vya Habari

    Muda wowote Mpina ataitisha press babu kubwa Unaambiwa ana nyaraka Mara 10 ya alizonazo Gwajima na polepole Kaeni kwa kutulia ni baada ya Ile Instagram live yao ya maigizo ya kanuni kuisha Unaambiwa kuisha ni mpaka iishe na baada ya ile press nyoka atatoka pangoni. Mwaka huu Kuna press zaidi...
  11. S

    GE2025 Mkurugenzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Onesmo Ole Ngurumwa aibua mjadala kukatwa jina la Luhaga Mpina vikao vya CCM

    Unfortunately sijajua tunataka wabunge wa aina gani - nilisifia hizi kanuni mpya za chama upande mmoja kuwa imeongeza watu wengi kupiga kura na kupunguza rushwa ila nikaonyesha hatari ya utaratibu wa kurudisha majina matatu inaweza italeta shida sana kwa wale wabunge wanaosimamia haki za jamii...
  12. R

    Luhaga Mpina yuko wapi sijamsikia siku nyingi

    Yuko Wapi Luhaga Mpina ambaye ametambulishwa kama Mbunge wa Taifa, sijamsikia siku nyingi je amechukua fomu au na yeye ameacha kuchukua fomu kama Gwajima na Majaliwa?
  13. Akina Gwajima na Luhaga mpina wapo wengi ila wanapinga kimyakimya

    Hili halina ubishi kuwa sasa kuna kundi kubwa wanaopinga kimyakimya huu utawala huu ambao haujali maisha ya Watanzania Nidhamu ya woga haipo na ufisadi umetamami kila kona huku wananchi hawana uhakika wa kula hata mlo mmoja Akina Luhaga mpina wapo wengi . Akina Gwajima wapo wengi ila wamekaa...
  14. Hamphrey Polepole, Luhaga Mpina na Dr Josephat Gwajima

    Hawa ma comrade huko CCM kwenye chama chao, wasipuuzwe. Wanayo maono kuhusu chama chao na wameonyesha uthubutu zaidi ya yehote yule ndani ya chama, huenda ni chambo au wana tengeneza kitu na umoja ambao labda kuna walio nyuma yao. Mungu awasaidie hawafanyi na hawa zungumzi kwa ubaya ni kwa mema.
  15. S

    Kuhusu tetesi za Luhaga Mpina kukatwa CCM; “ugomvi na viongozi wa CCM umechangia

    Inasekana ugomvi baina ya Mpina na viongozi wa CCM Mkoa wa Simiyu ndio chanzo cha jina lake kukatwa katika vikao vya Mkoa. https://youtu.be/qN1T8rrBep8?si=64FCUMgEIb8iIE-T
  16. Picha:Luhaga Mpina yupo Geita kutafuta msaada wa kiroho

    Hii nadhani ndiyo inaitwa kutafuta kitu kwa udi na uvumba.
  17. Tetesi: GE2025 Jimbo la Kisesa mbioni kukosa Mgombea wa Ubunge baada ya WanaCCM kutishia kugoma kupiga kura za Maoni tarehe 2 August 2025

    Jana kumetolewa taarifa kwamba CCM itakutana na changamoto kubwa katika Jimbo la Kisesa, wilaya ya Meatu, mkoa wa Simiyu. Kulingana na habari hizo, hakuna upigaji wa kura za maoni utakaofanyika tarehe 2 Agosti 2025, jambo ambalo linaweza kuwa pigo kubwa kwa chama hicho. Wanachama wa CCM...
  18. Unajiuliza, huko CCM na Dola yake, Kuna wenye akili kweli? Hivi Uwezo wa Akili wa LUHAGA MPINA ni wa Kumkata ?. Au Gambo ni wa kushindwa na Makonda ?

    Ukweli ni kwamba, Makonda Hana namna yoyote ya kumshinda Gambo, Makonda ni MTU katili sana, MTU ambaye akipata Mamlaka kubwa ya juu ,atawaumiza watu wengi. Kama sio Jela kama ilivyokua Kwa Sabaya, Makonda alipaswa ajitokeze mbele ya Taifa na Kuliomba msamaha Taifa Kwa aloyafanya Watu wanaweza...
  19. GE2025 CCM yamtupa nje Luhaga Mpina Mbio za Ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
  20. GE2025 CCM Simiyu yamtupa nje Luhaga Mpina kuwania ubunge jimbo la Kisesa

    Mbunge wa Jimbo la Kisesa anayemaliza muda wake Luhaga Mpina huenda safari yake ya kuwawakilisha wananchi wa Kisesa ikafikia tamati ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka huu baada ya vikao vya mchujo kwa ngazi ya wilaya ya Meatu na mkoa wake wa Simiyu kumtupa nje ya mbio za kuwania kuteuliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…