luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. GE2025 Mpina na T-Shirt yenye picha ya Magufuli kuomba wananchi wamdhamini ili aweze kugombea Urais. CCM B kazini?

    Mpina kuvaa picha ya Magufuli wakati wameenda kuomba wananchi wamdhini kama Mgmbea wa Urais ACT inamaanisha nini? Kwamba bado anaamini kwenye uongozi wa Magufuli na chama alichokuwa anakiongoza? Au anakumbuka aina ya uongozi wake ambao ulikuwa unapingwa na wengi ikiwemo hao ACT wenyewe? Au ndio...
  2. GE2025 Luhaga Mpina: CCM tutawashinda na watasaini matokeo

    Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi. Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa...
  3. GE2025 Monalisa wa ACT Wazalendo aandika barua kwa Msajili wa Vyama Vya Siasa kupinga Luhaga Mpina kuteuliwa kama mgombea Urais

    Katibu mwenezi ACT Wazalendo mkoa wa Dar es salaam Monalisa Ndala leo Agosti 19, 2025 ameandika Barua kwa Msajili wa vyama vya Siasa Nchini kama mlezi wa vyama vya siasa. Hiyo ni hatua ya pili mara baada ya mara ya kwanza kuandika Barua kwa Katibu wa Chama Cha ACT wazelendo, Kupinga Mhe. Luhaga...
  4. GE2025 Polepole: Luhaga Mpina hana sifa kikatiba na kikanuni kugombea Urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani 1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4): "Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
  5. GE2025 Mpina: Nchi yetu inahitaji kukombolewa upya, Hatuwezi kunyamaza, tutaenda kuwafuta machozi Watanzania

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Mhe. Luhaga Mpina, amesema Taifa linahitaji kukombolewa upya ili kudhibiti uonevu, rushwa, ufisadi na mateso kwa wananchi. Akizungumza leo Agosti 18, 2025 mjini Shinyanga wakati wa zoezi la kuomba udhamini...
  6. Tetesi: Luhaga Mpina aonekana Chato, je kuna nini?

    Au ndio anakuwa anaenda kupata baraka? Maanda Yeye nae hapendi rushwa, uzembe na wizi wa mali za umma
  7. GE2025 Luhaga mpina aungwe mkono ili wahuni wa CCM wadhibitiwe kama hayati Magufuli alivyokuwa amewadhibiti

    Mpina apewe urais. Hii ndio kauli ya kila mtanzania mpinga dhuluma. Mpina ni kama hayati Magufuli. Anapigania haki za wanyonge. Akipewa nchi wahuni wa CCM watadhibitiwa na kunyooshwa. Angalia anavyopinga uhuni. Mfano serikali ya CCM kuingia mikataba 47 inayohusu rasilimali za umma bila...
  8. GE2025 Anayepinga Uteuzi wa Luhaga Mpina ACT-Wazalendo kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake

    Anayepinga uteuzi wa Luhaga Mpina kama mgombea wa Urais kupitia ACT Wazalendo asema kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake. Akiongea na The Chanzo leo Agosti 16, 2025, Monica Ndala, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo, ameeleza kuwa anategemea kuchukua hatua za ziada kama...
  9. GE2025 Luhaga Mpina Kuzindua Kampeni za Urais Saa 6:01 Usiku wa Agosti 28

    Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, amesema atazindua rasmi kampeni zake mara tu baada ya saa sita na dakika moja usiku wa tarehe 28 mwezi huu, muda ambao umetangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa ndio mwanzo rasmi wa kampeni. Akizungumza na wananchi wa Mwandoya, Jimbo la...
  10. GE2025 Mpina: Wanachi wangu bei ya pamba hawana, wanauwawa na tembo, hakuna barabara za lami, halafu niseme hatukudai. Hapana!

    Wananchi wangu bei ya pamba hawana, wanauawa na tembo, hakuna barabara za lami, halafu niseme atukudai. Hapana! Naendelea kuomba kujengewa barabara ya lami badala ya kujibia lakini nasakamwa. Luhaga Mpina Mgombea urais kupitia ACT Wazalendo
  11. GE2025 Luhaga Mpina: Nimekihama CCM kwa sababu kimekuwa chama cha uonevu na dhuluma

    Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema amekihama chama cha Mapinduzi (CCM ) kwa sababu kimepoteza msingi wake, muelekeo na kuwa chama cha uonevu na dhuluma kwa wananchi usiku na mchana. Soma Pia: Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM Luhaga Mpina Amezungumza...
  12. GE2025 Zitto Kabwe: Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina ndiye rais atakaye waachia huru

    Wale ambao viongozi waliosekwa ndani, Luhaga Mpina atawaachia Uhuru, waleambao nyumba zao za Ibada zimefungwa Luhaga Mpina ndiye Rais atakaye fungua uhuru wa watu kuabudu kwa muujibu wa imani yao na katiba ya nchi amesema Zitto Kabwe
  13. SI KWELI PreGE2025 Mrisho Gambo anaungana na Luhaga Mpina 'Arusha Oktoba tutalinda kura'

  14. GE2025 Ushauri kwa Luhaga Mpina na ACT

    Endeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo: 1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija. 2. Tafuta sauti ya...
  15. J

    Mpina naye ni kama amesukumiziwa kwenye kugombea Urais Watu wa namna hii ni kuwa nao makini sana hupataga uungwaji mkono wa ghafla!

    Kichwa cha Habari ni kirefu sana naamini kinatosha kuwa ndio Habari yenyewe Ni angalizo tu kwa sababu upande wa Tanganyika huyo Luhaga ni mkubwa kuliko ACT Wazalendo Mlale unono 😄🙏
  16. GE2025 Luhaga Mpina na Ferej Jumanne wachukua Fomu ya kuwania Urais Ofisi za INEC, Agosti 15, 2025

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, leo tarehe 15 Agosti 2025 amekabidhi fomu za uteuzi kwa mgombea wa kiti cha Rais, Luhaga Mpina, na mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais, Ferej Jumanne, kupitia Chama cha ACT Wazalendo. Hafla hiyo...
  17. M

    GE2025 Baada ya Rais Samia kushindwa kuongoza nchi, kanda ya ziwa tutaenda na Luhaga Mpina 2025 ili akakate kamba za mafisadi

    Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji...
  18. J

    Kwanini magazeti yote makubwa Kichwa Kikuu cha Habari zao Leo ni Luhaga Mpina na Urais? Wapinzani nao wameanza kutangazwa?

    Hii inaonesha Uhuru wa vyombo vya Habari na Ukomavu wa Demokrasia Ahsanteni sana Jumaa Mubarak 🙏
  19. GE2025 Luhaga Mpina: Siwezi kuwa pandikizi la CCM

    "Kwa muda mrefu nimejitofautisha sana. Maana yake, kama ningekuwa pandikizi tu, si ningekuwa nashangilia haya mambo? Kama ningekuwa pandikizi, hata huko CCM ningekuwa nashangilia kama wale wanaomwambia mgombea wa CCM kwamba "wewe hatukudai", wakati wananchi wao hawana barabara, hawana madaraja...
  20. GE2025 Luhaga Mpina Kwenda ACT ni Kosa la Kiufundi ambalo mtu Smart asingeweza kulifanya. Hapa ndipo Ngosha wanapozidiwa ujanja na Wenzao

    Hamjambo wote! Sijajua Watani zangu, Ngoshaz kwa nini wanapotezaga umakini hasa wakiwa katika nafasi ya kufunga. Yaani karibu na Goli kabisa. Nitakupa Mfano kupitia JPM. JPM aliamua kutangaza vita ambayo kwa kweli alikuwa mstari wa mbele kukabiliana na adui zake. Ambao kwa sisi wanasaikolojia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…