luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. GE2025 Mkutano wa Mpina na waandishi wa Habari umeahirishwa

    Ahirisho la Mkutano na Waandishi wa Habari Mkutano na waandishi wa Habari na Ndg Luhaga Mpina, uliokuwa ufanyike leo Alhamis tarehe 28.8.2025 saa Saba Kamili Mchana umeahirishwa kutokana na Mzungumzaji kuendelea na usikilizaji wa Kesi mahakamani Mpaka wakati huu. Tunaomba radhi kwa usumbufu na...
  2. GE2025 Askofu Bagonza: Uchaguzi umekwisha, tuonane mezani

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza, amesema hali ya sasa ya kisiasa nchini, baada ya kuenguliwa kwa Mgombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina, inathibitisha hitaji kubwa la wadau wa siasa kurudi mezani kujadiliana. Akizungumza...
  3. Hakuna tume huru. Luhaga Mpina angeanika ufisadi wa serikali ya CCM kwenye kampeni. Mabadiliko wanayoyataka CHADEMA ya Lissu yanahitajika

    Ni wazi kuwa Mpina angeeleza kwa kinagaubaga ubaya wa Serikali hii ya Samia na kundi lake. Act Wazalendo walichanga karata vizuri. Mfano wa hoja zake za msingi ambazo kila mtanzania anazielewa ni mikataba zaidi ya 47 inayohusu rasilimali za taifa hili lakini Bunge na wananchi...
  4. Kama CCM na Samia wanakubalika kama tunavyoaminishwa, inakuwaje wamuogope hata Luhaga Mpina

    Sisemi mengi. Kichwa cha habari kinajieleza. CCM itangazwe mshindi kwa vile tume imeishaipa ushindi.
  5. ACT Wazalendo walia na INEC, sakata la Mpina kuenguliwa

    Mwanasheria Mkuu wa ACT Wazalendo Omar Said Shaaban akifafanua ni kwa namna gani chama hicho kinapinga vikali maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kumuengua mgombea wao wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Luhaga Mpina, na hatua wanazochukua
  6. L

    Luhaga Mpina Hana Vigezo vya Kugombea Urais Hii Ndiyo Sababu kiundani na ningeshanga sana kukubaliwa

    Thread: Luhaga Mpina Hana Vigezo vya Kugombea Urais Hii Ndiyo Sababu kiundani na ningeshanga sana kukubaliwa 1.Muda wa Uanachama Ulikosekana Kanuni za ACT WAZALENDO zinahitaji mwanachama awe na siku 30 kabla ya uteuzi. Mpina alijiunga tarehe 5 Agosti, akateuliwa siku moja baadaye tarehe 6...
  7. S

    Luhaga Mpina katiba imemuengua

    Mwenezi ACT alitoa vifungu vinavyoonesha kuwa hana vigezo vya kugombe urahisi. Katika katiba ya ACT vifungu vifuatavyo vinamuengua 16(4)(I) Awe mwanachama wa ACT kwa muda usiopungua mwezi mmoja kabla ya tarehe ya mwisho ya uteuzi wa mgombea. 16(4)(iii) Awe tayari kutangaza mali binafsi na...
  8. Wazee wa Usukumani waombwa kumfanyia tambiko Luhaga Mpina ili asikumbwe na mabaya. Ni jitihada zake za kupambana na wahuni wa CCM

    Matambiko yafanyike ameshauri Mzee Mabala Lug'wecha. Matambiko yaliotumika kumlinda Mwanamalundi yamlinde pia Luhaga Mpina Naona CCM wameanza kuogopa. Naamanisha CCM ya wahuni Nipo Chato
  9. GE2025 Mpina na Mgombea Mwenza wala kiapo Mahakama Kuu

    Jana Agosti 25, 2025 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Luhaga Joelson Mpina, akiambatana na Mgombea Mwenza wake, Bi. Fatma Fereji, walifika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kisheria za uchaguzi. Wagombea...
  10. GE2025 Dkt. Godfrey Malisa: Nitamuunga mkono Luhaga Mpina katika mbio za urais

    Aliyekuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkazi wa Mkoani Kilimanjaro, Mchungaji Dkt. Godfrey Malisa, amesema atamuunga mkono Mgombea wa Urais kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, na ataendelea kutafuta haki kwenye vyombo vya sheria ili kuhakikisha CCM inarejea kwenye misingi...
  11. S

    GE2025 Mpina: Wamenifukuza bungeni baada ya kuwakaba, nilikataa mipango yao ya kuuza bandari na rasirimali za nchi

    Mpeperusha bendera ya Urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina anasema kuwa sababu ya yeye kufukuzwa bungeni ni baada ya kuwakaba sana na kupinga baadhi ya mipango ikiwemo kuuza bandari na rasilimali za nchi. "Viongozi uliowapa dhamana wamefika mahali wanasema kwamba wanakula kwa...
  12. Luhaga mpina na ACT wazalendo ni wakuogopa km ukoma.

    Wasalaam. Hawa ni wale viongozi wenye tabia za kimalaya malaya kwa mujibu wa nukuu ya mwl nyerere. Watanzania wote wanalia kutokana na mifumo mibovu ya uchaguzi lakini cha kushangaza huyu bwana mpina na ACT wanajaribu kulaghai wananchi eti waingie kwenye uchaguzi na yeye atashinda na atalinda...
  13. GE2025 ACT Wazalendo: Luhaga Mpina amejiunga na chama kitambo sana

    Chama cha ACT Wazalendo kimejitokeza na kujibu kauli ya katibu mwenezi wa ACT WAZALENDO Mkoa wa Dar es Salaam, Bi Monalisa Ndala, kuhusu madai ya kujiunga kwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, na chama hicho. Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, Mchinjita, Isihaka Machinjita...
  14. K

    GE2025 CCM walikosea kukata jina la Luhaga Mpina Ubunge kisesa

    Mhe. Luhaga Mpina anapendwa sana na wananchi wa Jimbo la Kisesa kule Wilaya ya Meatu. Alipotia nia ya kuomba uteuzi wa kuwa tena mgombea ubunge wa Jimbo la Kisesa CCM wakamkata jina. Amejiunga na ACT - Wazalendo kama mgombea Urais. Mhe. Luhaga ameanza kuomba saini za udhamini kutoka mikoa...
  15. J

    GE2025 Kwenye siasa hakuna uadui au urafiki wa kudumu. Lakini kwa Luhaga Mpina hapana.Hajatumwa na CCm

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
  16. GE2025 Luhaga Mpina: Wameanza sasa maneno mengi huko, Mpina mara hili, Nikasema hamnijui vizuri

    Mpina amesisitiza kuwa licha ya kuwepo kwa maneno ya kupinga hatua yake ya kuwania urais, hana hofu kwani amejipanga kuwasaidia Watanzania. “Wameanza sasa maneno mengi huko, Mpina mara hili, mara lile, mara huyu anabipu tu. Hamna kitu, hao wanafanya maigizo. Nikasema ninyi hamnijui,” amesema...
  17. GE2025 ACT Wazalendo Wasilisha Maelezo kwa Msajili Kuhusu Malalamiko ya Uteuzi wa Luhaga Mpina kuwa mgombea wa urais

    Chama cha ACT Wazalendo kimewasilisha maelezo kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kikieleza msimamo wake kuhusu malalamiko yaliyotolewa na Katibu Mwenezi wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Joseph Ndala, kupinga uteuzi wa Luhaga Joelson Mpina kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...
  18. GE2025 Msajili wa Vyama Vya Siasa apokea malalamiko dhidi ya mchakato wa Uteuzi wa Mgombea Urais ACT-Wazalendo

    Yah: UVUNJIFU WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA SURA YA 258, KATIBA NA KANUNI ZA CHAMA CHENU KATIKA MCHAKATO WA UTEUZI WA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHENU WA TAREHE 06 AGOSTI 2025 Naomba urejee suala tajwa hapo juu. Napenda kukutaarifu kuwa, leo...
  19. GE2025 Mpina na T-Shirt yenye picha ya Magufuli kuomba wananchi wamdhamini ili aweze kugombea Urais. CCM B kazini?

    Mpina kuvaa picha ya Magufuli wakati wameenda kuomba wananchi wamdhini kama Mgmbea wa Urais ACT inamaanisha nini? Kwamba bado anaamini kwenye uongozi wa Magufuli na chama alichokuwa anakiongoza? Au anakumbuka aina ya uongozi wake ambao ulikuwa unapingwa na wengi ikiwemo hao ACT wenyewe? Au ndio...
  20. GE2025 Luhaga Mpina: CCM tutawashinda na watasaini matokeo

    Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi. Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…