luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. GE2025 Zitto: CCM inamuogopa Mpina na sababu walikuwa nae ndani ya chama chao

    "Mnajua kwamba tunapambana kwa ajili ya mgombea wetu wa urais, kesi inaendelea. Tunatarajia hivi karibuni tutapata maamuzi, na sisi tumejiandaa kesi itakapokishwa tu. Hata kama zimebaki siku kumi, tutatumia hizo hizo kuendelea kutafuta kura, na tunafahamu Chama cha Mapinduzi kinamuogopa sana...
  2. GE2025 Dorothy Semu: Mpina akigombea tutashinda, tuna imani na uwezo wake

    Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy Semu, amesema chama hicho hakina wasiwasi kuhusu muda uliosalia kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, endapo Luhaga Mpina ataruhusiwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dorothy amezungumza hayo leo, Septemba 29, 2025, katika...
  3. GE2025 Japo hajapenya kugombea na ni mara yake Luhaga Mpina anaonekana tishio kwa CCM na ACT Wazalendo

    Japo kuna dhana kuwa ACT-Wazakabwe ni CCM B, kuna kitu naona kwa mgombea wake Luhaga Mpina. Inakuwaje CCM wanamuwekea mapingamizi kila kona? Je, ana kitu kinachofanya wamgwaye isijekuwa kama yale ya Tshekedi na Kabila kule DRC ambaye aliwekwa na Kabila akidhani ni boya kumbe naye alikuwa na...
  4. GE2025 Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu

    Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu. Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
  5. GE2025 Luhaga Mpina: Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao

    "Tume na mamlaka zote za umma zifanye kazi za umma, zifanye kazi kwa mujibu wa sheria, kama katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyowataka wafanye. Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao, hivyo hakuna sababu yoyote ile ya kutumia mamlaka ya umma kuviadhibu...
  6. GE2025 Luhaga Mpina: Tunayo magari ya kutuwezesha kufanya kampeni nchi nzima, kwanini tuchukue gari la watanzania?

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) "suala la gari kama nilivyosema maelezo aliyoyatoa hapa Mwanasheria Mkuu ndio msimamo wa Chama chetu cha...
  7. N

    GE2025 Luhaga Mpina: Nitashinda Urais kwa zaidi ya asilimia 70

    Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi Septemba 13, 2025 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupitishwa rasmi na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amesema kuwa anatarajia kuibuka mshindi kwa zaidi ya asilimia 70 katika uchaguzi unaotarajiwa...
  8. GE2025 Press Luhaga Mpina anazungumza na Wanahabari, leo Septemba 13, 2025

    Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Septemba 13, 2025 anatarajiwa kuzungumza na Waandishi wa Habari baada ya kurejesha fomu zake katika Ofisi ya Tume Jijini Dar es Salaam. Mkutano unafanyika Makao Makuu ya ACT Wazalendo – Magomeni. Pia soma ~ ACT yakataa gari...
  9. GE2025 ACT yakataa gari alilopewa Mpina na INEC

    Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, Omar Issa Shaaban, amesema chama hicho kimeamua kutopokea gari na walinzi, kwa kuwa kipo vizuri, na badala yake, Tume itumie gari hilo kwa matumizi mengine. "Chama kimenielekeza nikwambie kwamba kwenye rasilimali ya gari tunashukuru tupo vizuri tunaomba...
  10. GE2025 Dar: Mpina afika INEC kurudisha fomu yake ya Urais

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi ya Septemba 13, 2025 amefika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi(INEC) zilizopo Posta, jijini Dar es Salaam Kwa ajili ya kurudisha fomu yake ya kugombea Urais. Mpina akiwa na Mgombea Mwenza Bi. Fatma Fereji wamerejesha...
  11. GE2025 Luhaga Mpina tumeshakushitukia mapema sana

    Kutoka CCM hadi ACT WAZALENDO ni maagizo kutoka juu kupitia kwa Zitto Kabwe Walianza tume wakampitisha kuwa mgombea wa kiti cha urais muda kidogo tume wakasema hana sifa wapi na wapi? Mara eti kesi yakubumba mahakamani ili tu ionekane et kwamba haibani wapinzani luhaga mpina amewekwa hapo kwa...
  12. GE2025 Zitto Kabwe: Kazi inaanza kwenda kuzitafuta kura, baada ya Mahakama Kuu kuamuru Mpina ana haki ya kurejesha fomu ya urais

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema mara baada ya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dodoma kuamuru kuwa Luhaga Mpina ana haki ya kurejesha fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, safari ya kusaka kura inaanza rasmi. Akizungumza leo Septemba 11...
  13. GE2025 Mpina ashinda kesi kuenguliwa kuwa mgombea Urais

    Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho. Kesi...
  14. N

    GE2025 Hatma ya Mpina kugombea Urais yangojewa, uamuzi kutolewa leo Septemba 11, 2025

    Kesi ya ACT Wazalendo na Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi inayohusu kuzuiliwa kwa Bwana Mpina kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia ACT Wazalendo, itatolewa hukumu leo saa 8:00 Mchana katika Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma...
  15. GE2025 Mzee Wassira kama miaka ishirini inatosha kwa Mpina mbona wewe upo kwenye uongozi zaidi ya miaka 40?

    Nimemsikia mzee Wassira akinadi kuwa CCM ni chama kikubwa hivyo wapo wanaoingia na kutoka kuachiana madaraka. Amesema kuwa Mpina kuwa Mbunge wa Kisesa kwa miaka 20 inatosha. Swali la msingi kama uongozi ni kupokezana vijiti mbona mzee Wassira hajawaachia wengine zadi ya miaka 40 ni kiongozi wa...
  16. R

    GE2025 Stephen Wasira: CCM Chama kikubwa hakiwezi kugombana na Mpina

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema CCM haina ugomvi na aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina, kwa kuwa Chama kikubwa hakiwezi kugombana na mtu binafsi. Wasira alieleza hayo jana, wilayani Kisesa Mkoa wa Simiyu, alipokutana na viongozi na...
  17. GE2025 Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa Luhaga Mpina kugombea Urais inaendelea mahakamani kwa njia ya mtandao

    Kesi ya kupinga kuondolewa kwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 inaendelea kusikilizwa kwa njia ya mtandao mbele ya Majaji watatu wa Mahakama Kuu, Masjala Kuu Dodoma. Shauri hilo limefunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa...
  18. GE2025 Nchimbi: Mwambieni Mpina arudi CCM haraka. Akirudi nitampokea mwenyewe

    Mgombea Mwenza wa Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpiga kurejea CCM haraka. Hivyo, amewaagiza wananchi wa Kisesa mkoani Simiyu kumfikishia salamu hizo Mpina, kwamba siku ya kurudi atampokea mwenyewe ( Dk. Nchimbi) na...
  19. GE2025 Hoja yenye mashiko: Ikiwa mahakama itamrejesha Mpina apewe kura za hasira dhidi ya wahuni

    Kanda ya ziwa Yoote impe Mpina kura za hasira. Hili ndio eneo kura zake hutoa mwelekeo wa nani atashinda urais. Katavi, Rukwa na Mbeya wajazie kidogo kwa wingi. Kilimanjaro na Arusha wafanye yao maana Chadema wapo wanasubiri reforms Kura za kisasi huwa zinatoa ushindi.
  20. R

    GE2025 Kesi ya ACT Wazalendo na Mpina dhidi ya Tume INEC imefanyika kwa njia ya Mtandao

    Kesi ya Luhaga Mpina wa ACT -Wazalendo dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) sasa inasikilizwa kwa njia ya mtandao. Chama cha ACT-Wazalendo kimefungua shauri la maombi kuhusiana na uteuzi wa mgombea wake wa nafasi ya urais, Luhaga Mpina, baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…