lisu

The Lisu people (Lisu: ꓡꓲ‐ꓢꓴ ꓫꓵꓽ; Burmese: လီဆူလူမျိုး, [lìsʰù]; Chinese: 傈僳族; pinyin: Lìsù zú; Thai: ลีสู่) are a Tibeto-Burman ethnic group who inhabit mountainous regions of Myanmar (Burma), southwest China, Thailand, and the Indian state of Arunachal Pradesh.
About 730,000 Lisu live in Lijiang, Baoshan, Nujiang, Diqing and Dehong prefectures in Yunnan Province and Sichuan Province, China. The Lisu form one of the 56 ethnic groups officially recognized by China. In Myanmar, the Lisu are recognized as one of 135 ethnic groups and an estimated population of 600,000. Lisu live in the north of the country; Kachin State (Putao, Myitkyina, Danai, Waingmaw, Bhamo), Shan State, (Momeik), (Namhsan, Lashio, Hopang, and Kokang) and southern Shan State (Namsang, Loilem, Mongton) and, Sagaing Division (Katha and Khamti), Mandalay Division (Mogok and Pyin Oo Lwin). Approximately 55,000 live in Thailand, where they are one of the six main hill tribes. They mainly inhabit remote mountainous areas.The Lisu tribe consists of more than 58 different clans. Each family clan has its own name or surname. The biggest family clans well known among the tribe clans are Laemae pha, Bya pha, Thorne pha, Ngwa Pha(Ngwazah), Naw pha, Seu pha, Khaw pha. Most of the family names came from their own work as hunters in the primitive time. However, later, they adopted many Chinese family names. Their culture has traits shared with the Yi people or Nuosu (Lolo) culture.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Maoni binafsi; Katika hukumu ya Lisu sio kosa la Katuga ila Ndunguru na wenzake nafsi zitawasuta milele

    Sijasoma sheria na wala sijui sheria lakini hii hainizuii kutoa maoni binafsi baada ya kufuatilia mwenendo wa kesi ya Tundu Lisu, muhaini wa 2025/2026 Bw.Katuga kama wakili msomi wa serikali alikuwa kazini kutimiza majukumu yake kama wakili na mwanasheria yoyote yule ambaye angepewa kazi hiyo...
  2. R

    Inatia hasira kubwa, masikini Lisu na makabrasha yote kujitetea kumbe hukumu ni ya mchongo! Preditermined!

    Nimelifikiria, nikatokwa na machozi! Masikini alibeba makabrasha, mabooks na madictionary kumbe hukumu ni predetermined! Mungu anawaona na atamlipia
  3. Wako wapi wale waliokuwa wanasema Lisu akifungwa au kunyongwa watakinukisha na wakaja na msemo wao wa free Tundu Lisu.

    Wabongo wengi ni wanafiki , haswa wanaokesha mitandaoni. Huku mitaani ni ngumu sana kusikia mtu anasema atakinukisha kama Lisu atafungwa au kunyongwa, ila njoo sasa mitandaoni uone hilo nyomi la watu wanaojazana ujasiri hewa , ujasiri ambao upo vidoleni tu ku type ila moyoni wamejawa na uoga...
  4. R

    Jaji Mkuu, Mh Masaju, kwanini hukumu ya Tundu Lisu haiko mtandaoni, TANZLII? Mnaficha nini?

    1. Means mnajua ukora mlioufanya,.mnaficha aibu yenu 2. Mnajua ile siyo hukumu, ni hotuba ya Ndunguru 3. Mnajua dunia inataka kuisoma maana AI will translate it in all languages 4. .....ongeza
  5. Siyo ramli chonganishi. Kufungwa kwa Lissu kuna mstaafu anapata usingizi sasa

    JK ahusiki nimeapa Namtaja mstaafu kapa Chawa we wajitapa Mitandaoni kama vipipa Alistaafishwa kwa pupa Msaliti mgegeda mifupa Utu wake kautupa Legacy ya kujipa Kitini anatamani kujitupa Code hiyo nimewapa
  6. R

    Angalieni jinsi kesi ya Lissu imefichwa kwenye mtandao bila kuandika jina lake - kesi imeandikwa maherufi tu

    Angalieni jinsi kesi ya Lissu imefichwa kwenye mtandao bila kuandika jina lake - kesi imeandikwa maherufi tu Nimepiga screenshot muone kesi zingine zinavyowekwa tanzlii.org/en/judgments/a… - ingieni hapa Huu usanii mtupu @judiciar
  7. P

    Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

    Rais Samia katika kikao na vyama vya siasa leo Julai 30, 2026 amesema hali ya kisiasa nchini inaendelea kuwa nzuri, akibainisha kuwa licha ya hali hiyo, bado kuna upande mmoja ambao unaendelea kutafakari msimamo wake kuhusu masuala ya kisiasa Kwa upande mwingine kisiasa kama mnavyoona tuko...
  8. Nani aliwaruhusu CHADEMA kutumia mazishi ya Alute kama uwanja wa kisiasa?

    Friends and Enemies, Bila Shaka tunajua kuwa CHADEMA NA KANISA KATOLIKI NI CHANDA NA KIDOLE. Siyo Mara moja au Mara mbili tumekuwa tunashuhudia KANISA KATOLIKI likishiriki hadi kwenye vikao vya ndani ya chama Tena vya maamuzi au vya usuluhishi wa migogoro ndani ya chama hiko. Kama hiyo...
  9. CCM kutoa pesa kwa ajili ya kujenga nyumba ya kisasa nyumbni kwa Marehemu ALUTE LISU MGHWAI, kumuenzi mwanaccm mwenzao

    Kwa Taarifa zilizonifikia ni kwamba Chama cha Mapinduzi kitatoa tsh million 200 kwa ajili ya kujenga nyumba, nyumbani kwao ALUTE LISU MGHWAI ili kuenzi mchango wake ndani ya CCM, pamoja na kwamba TUNDU LISSU amekuwa mbunge kwa miaka 10, na amefanya nafasi kubwa kubwa za kimataifa na hajawajengea...
  10. M

    UTATA HUKUMU YA KESI YA LISU

    Baada ya watu kujadili hukumu ya kesi ya jamuhuri dhidi Mh. Lissu, mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Mendeleo nimeona nami niiangalie kesi kwa jicho la mtu wa kawaida, ambaye si mwanasheria na namna hukumu inavyoathiri twasira ya mahakama kwa jamii. 1 .Iwapo kosa alilokutwa nalo mh. Lissu...
  11. N

    Alute Mughwai Lisu alikuwa MwanaCCM haswa, kafanyiwa kama akina Polepole na Nchimbi

    Nimeshangaa sana msiba wake kutekwa na CHADEMA. Huyu marehemu CCM walimtenga siku nyingi sana. Sema tu yeye hakuwa aggressive kama Ndugu yake, angepotezwa kabisa huyu! Bora hata anafanyiwa sherehe za mazishi hadharani!
  12. R

    Mwenye hukumu ya Lisu tunaomba atuwekee hapa.

    Jamani hukumu hii imetoka? Mwenye nayo atuwekee hapa please
  13. Huu wimbo umenigusa sana na nimeuweka maalum kwa Tundu Lissu kwa kipindi hiki kigumu anachopitia

    Nimejikuta naisikiliza kwa kujirudia the all night and asubuhi hadi sasa, nikiwa natafakari meengi ambayo yamekua yanaendelea hapa kwetu. Mungu akasimame na wale wote wanao pitia mambo magumu sio kwa kupenda kwao.
  14. Tundu Lisu na Heche anzisheni Chama chenu achaneni na CHADEMA ukiona vyaelea vimeundwa

    Heche anaitumia Chadema iliyoundwa kwa jasho na damu na Mbowe kwa lengo la kujinufaisha huku akijifanya mpambanaji kumbe ni bonge la Tapeli na mla Rushwa mkubwa
  15. Mrisho Gambo: Familia ya Lisu ilishafeli somo la unafiki

    Mwanasiasa Mrisho Gambo ameisifia familia ya marehemu Wakili Alute Simon Mughwai Lissu kwa kuwa na misimamo thabiti katika kusimamia haki na ukweli, akisema misimamo hiyo si ya kuigiza bali ni matokeo ya misingi imara ya malezi iliyoanzia ngazi ya familia. Akitoa salamu za rambirambi wakati wa...
  16. R

    Unaona kabisa kuwa hukumu ya Lisu ni ya watawala, kwanini haijawekwa kwenye TANZLII. Ushahidi tosha kuwa iliandikwa na watawala kama Mange alivyosema

    Hukumu zote zinawekwa siku hio hiyo inapokuwa pronounced! Mpaka sasa haijawekwa. Mnaogopa nini kuiweka public? Nani anazuia isiwekwe public?
  17. Naomba tueleweshane tofauti ya kesi ya Zombe vs kesi Lissu, tusifokeane

    Nitaandika kwa ufupi tu, Zombe na wenzake walifikishwa Mahakama kuu kwa tuhuma za mauwaji ya Wafanyabiashara ya madini, tume ya Jaji Kipenka ilitjwa report iliyopelea Zombe na wenzake kukamatwa. Hukumu ya Mahakama jina la Jaji simkumbuki alimwambia DPP namwachia huru Zombe kwa sababu si...
  18. Naomba ufafanuzi kuhusu hukumu yaTundu Lissu

    Kwa mjibu wa Sheria, wanasheria wameeleza kuwa mtu anapofungwa kifungo chenye ukomo, sheria ya magereza anampa msamaha wa 1/3 ya muda wake wa kukaa gerezani. Kwa kuwa Lisu alikuwa amekaa zaidi ya siku mwaka 1 na miezi 7 yaani siku 577. Ikiwa atapunguziwa 1/3 ya adhabu je ni sahihi atakuwa...
  19. R

    Mwamposa kama mahakama Kuu kesi ya Lisu

    Mwamposa hana tofauti na Mahakama Kuu katika kesi ya Lisu. Angalia utapeli Kila mahali vituko huyu sedition, huyu kapata mimba ghafula baada ya kuombewa
  20. Natamani hili suala la Lissu lifike mwisho, Watanzania tuijenge nchi yetu

    Tulifunzwa, mafahali wawili wagombanapo, zinazoumia ni nyasi. Hiki ndicho kinachoendelea nchini kwetu sasa. Kwahali ilipofikia sasa, kutafuta nani anamakosa haitatusaidia. Maana lipo wazi hakuna upande, kati ya CCM na CHADEMA ambao upo tayari kukiri na kuwajibika. Hii mivutano na vita za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…