lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Taswira iliyoonekana kwa wote waliokuwepo leo mahakamani wakati Lissu akiongea inatoa tasfiri nzito mnoo

    Leo Lissu alisimama mahakamani kuanza kujitetea, na tukio hilo lilikuwa likirushwa live kupitia mitandao. Mbali ya watu kufuatilia kile kilichokuwa kikisemwa na Lissu pia wengine tulikuwa busy kuangalia taswira (body language) ya watu wote waliokuwepo mahakamani, na hichi ndicho...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Lissu ameni inspire nirudi darasani kusoma shahada nyingine ya sheria

    Leo wakati nafuatilia videos zote za matukio ya leo kuhusu kesi ya uhaini ya Lissu, nimejikuta nahamisika sana kurudi darasani kusoma shahada ya Sheria. Ni ukweli ukiijua sheria vizuri mahakamani uwezi kuonewa onewa kizembe. Ni rasmi sasa naenda kuanza kusoma sheria. Nitawekeza kwa nguvu zote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe, Chadema imeshindwa kuwalipa mawakili ndio maana Lissu ameamua kujitetea mwenyewe

    Kuendesha kesi ni gharama, chama kimeweka mawakili 300 kikidhani ni sifa kumbe ni matumizi mabaya ya fedha za umma, tone tone imebuma, ruzuku imesitishwa mnapata wapi hela ya kuwalipa mawakili, hela hakuna kwa hiyo njia pekee ni kutangaza mawakili wamejiondoa upambane mwenyewe Sasa kama...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Samia akimuachia huru Lissu atapungua nini?

    Pamoja na kujiridhisha, Lissu anaonekana kuichachafya CCM na kuichafua Tanzania. Kama rais Samia angekuwa anasiliza ushauri wa maana, angeachana na Lissu na kutafuta namna nyingine ya kubakia madarakani bila kutengengeza mazingira ya kuweza kupelekwa the Hague siku moja. Ni ushauri tu...
  5. JamiiForums Tanzania Muachieni Tundu Lissu. Dola lazima ijue, LISSU ni Mpinzani kwelikweli yaan Mpinzani kwelikweli

    Dola lazima ijue, LISSU ni Mpinzani kwelikweli yaan Mpinzani kwelikweli , LISSU sio Dalali Mbowe , huyu jamaa ni mwingine kabisa, na jinsi navyomuona, LISSU ni MTU mwenye Nguvu Fulani ya uungu Ndani yake !!. Nilitegemea Kwa mwingine, Alie liee yaan aseme 'Sasa Mh Hakimu, nalala sehem mbaya...
  6. JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Shujaa Mtanganyika Tundu Antipas Lissu

    Shujaa wa Tanganyika 👇
  7. JamiiForums Tanzania Kosa kubwa walililofanya CHADEMA kwenye kesi ya Lissu

    CHADEMA chama kikuu cha upinzani kimefail kujua dhamira kuu ya watu waliomweka Lissu ndani. Lengo si kumnyonga kama ilivyo ada hukumu ya uhaini nchini. Lengo ni kumpunguza speed huku mhasimu wake akipewa point 2 kipindi hichi cha mshikemshike na miezi 2 ya mwisho kabla ya uchaguzi apewe point 1...
  8. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Kibatala: Tumejiandaa kushughulika na Shahidi katika mashtaka ya Lissu

    Akizungumza kwaniaba ya jopo la Mawakili wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema Taifa Tundu Lissu baada ya Kesi ya kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni kuahirishwa mpaka Julai 1, 2025, Wakili Peter Kibatala amesema kwamba walikuwa wamejipanga kwa ajili ya Shahidi ambaye ameanza kutoa ushahidi leo...
  9. JamiiForums Tanzania Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

    Mpende mchukie The guy is truly gifted. Huyu jamaa sio wa sayari hii. Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu. Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa. Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi...
  10. JamiiForums Tanzania Namuonea huruma sana Tundu Lissu kwa kutetea wajinga na masikini

    Aisee kitu ambacho Lissu anashindwa kuelewa Tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anaowatetea sasa miezi miwili imepita Lissu yupo ndani kazi yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna dhambi waliyoamua kuifanya baadhi ya waliokuwa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM kumtoa sadaka ya mateso Lissu, itaamua maisha yao badaye

    Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
  12. JamiiForums Tanzania Mzazi wako Baba/mama amewahi kukuhusia jambo gani ukiwa mdogo na hujalisahau hadi ukubwani?

    -Kwa upande wangu Baba aliwahi kuniambia kuwa Binadamu anaweza kuwa hatari kuliko mnyama mkali wa porini. (Hili halina mjadala, lipo wazi kabisa) -Vilevile mama aliwahi kuniambia nisipende kutembea nyakati za usiku hasa ikiwa hakuna ulazima wa kufanya hivyo. ( Pamoja na kuwa Baba wa familia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuleta UKOMBOZI wa kweli wa Nchi hii?

    CHADEMA ndo kinara wa harakati hizi za Ukombozi wa Nchi hii. Mwenyekiti, Tundu Lissu yupo mahabusu, chama kimefutiwa Ruzuku, kama haitoshi chama hicho hicho kimepigwa marufuku kufanya shughuli za kisiasa. Nionavyo mimi ni kwamba, kwa mtiririko huu:- 1. Lissu hawezi kuachiliwa leo labda mpaka...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Baada ya Mahakama kusitisha shughuli za chama, Tundu Lissu atoa ujumbe mzito toka gerezani kuhusu NRNE, asema Aluta continua..!

    https://youtu.be/rVoMmXxnrwc?si=3yJq9L7mgZsH9xe8 Asema: 1. MSIOGOPE. Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM. Aliwekwa ktk kesi hii kwa maslahi ya CCM. Huyu alikuwa mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) chini ya uenyekiti wa Jecha Jecha iliyofuta matokeo ya ushindi wa CUF ya Maalim Shariff Hamadi...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Lema awataka Lissu na Heche wapumzike asema ni waropokaji

  16. JamiiForums Tanzania Lissu & Gwajima mmekosa shukrani (video)

    Sheikh anatema Madini bila chenga. Wabillah Taufiq
  17. JamiiForums Tanzania Huenda Lissu ni masihi (mkombozi) wa siasa za uongo Tanzania

    Mimi siyo mdau sana wa harakati za kisiasa, lakini kwa kipindi hiki, nchi yote haswa vijana na watu wazima wamejikuta wakifuatilia siasa. Siyo kwasababu ya mwaka wa uchaguzi, bali nguvu iliyoamushwa na Tundu Lisu. Wakati anaanza kupaza sauti za no reform no election, wengi hatukujali saaana...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi Tundu Lissu alivyotabiri Kwa usahihi hiki kinachotokea sasa!

    Ukiwa na moyo safi Mungu hukupa baraka ya kuyaona yajayo hata kama kwa wakati husika utakuwa huelewi unachooneshwa ama kuelewa kitakachotokea! Hapa Lissu alitabiri kwa usahihi hiki kinachotokea sasa kwenye siasa za Tanzania. Msikilize. 👇 Mungu amewapa CHADEMA baraka ya kuyajua yasiyojulikana...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu aliliona hili mapema kabisa

    Tujiandae kwa mambo magumu sana.. - Tundu Lissu https://www.facebook.com/share/r/18xmqLs52k/?mibextid=xfxF2i Je huu ndio mwanzo wake? Nini kitafuata? Na mwisho wake ninini? Hawa wanachama wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wakiachwa pekeyao bila kiongozi bila mfariji.. Mtu wa kuwapa tumaini.. Mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu alimshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana

    Heshima sana wanajamvi. Lissu alinshinda Mbowe kwa asilimia ndogo sana. Lissu na team yake baada ya kukabidhiwa chama hawakutambua kundi la Mbowe bado lilikuwa na ushawishi mkubwa sana. Matendo ya Lissu na kundi lake la wajinga hawakuona sababu za kuunganisha makundi ya walioshinda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…