lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.
Over the years Lissu has built a reputation as a prominent lawyer, fierce opposition figure and outspoken government critic, especially with his repeated confrontations with the government in President Magufuli's tenure in the country. Lissu was responsible for the research and preparation of the document that revealed the involvement of the state's high ranking officials in plundering of public funds, famously known as the LIST OF SHAME. The fierce lawmaker has been arrested at least six times in 2017 alone, accused of insulting the president and disturbing public order, among other charges. On 23 August 2017 his home was searched by the police after he was arrested and questioned over allegations of sedition and insulting President John Magufuli, calling him a 'petty dictator'. His arrest came after he revealed to the public that a plane bought for the national carrier had been impounded in Canada over unpaid government debtsIn the afternoon of September 7 2017 during a parliamentary session break, Tundu Lissu, whilst in his car, was shot multiple times and seriously injured by unknown assailant (the so called unknown people who engaged in many kidnaping and assassinate opposers) in the parking lot of his parliamentary residence in Area D, Dodoma. This happened merely weeks after Lissu declared publicly that certain people instructed by IGP Sirro and the Head of National Intelligence unit Mr Kipilimba, had been stalking him for weeks. Tundu Lissu received emergency treatment for some hours at Dodoma General Hospital before, in fear of his safety, was air-lifted to Aga Khan Hospital in Nairobi, Kenya where he was hospitalized for months before being flown to Belgium to undergo further treatment and rehabilitation . He was hospitalized at the Leuven University Hospital in Gasthuisberg, where he has reportedly undergone nineteen (19) operations to date. Until today, it is still uncertain when Lissu will return home; his brother and family spokesman, advocate Alute Mughwai added that the family would prefer his young brother to stay in Belgium for treatment until he fully recovers.
With his preceding political stance, the recurring arrests plus the recent attack on Lissu have been condemned as 'cowardly', 'heinous' and 'an attack on democracy' by political, human rights and religious organizations. Lissu's party officials openly addressed their concerns to the public and to President Magufuli, who is also Chairman of the nation's ruling party CCM, that the attempt on Lissu's life was politically motivated and just another retaliation on the lawmaker's repeated run-ins with the government. While President Magufuli said on Twitter that he was 'shocked' and 'saddened' by the shooting and was praying for Lissu's 'quick recovery', a number of Tanzanian politicians have aired their comments on the attack, with CHADEMA Chairman Freeman Mbowe and opposition figure Zitto Kabwe hinting on the necessity of having a foreign body man the investigation on the brutal attack.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nyie CHADEMA mbona mlisema Lissu ameanza mgomo wa kula, wakati si kweli, visahani vinafutwa kama kawaida

    Sisi wanazuoni tulishaanza kufanya tafiti on How long can a person survive without food before they die? Tanzania as a case study. Huwa Kila siku nasema humu, hakuna chama cha matepeli kama chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) NI matepeli kuanzia kauli, matendo mfano kuzindua nyumba ya...
  2. JamiiForums Tanzania TUNDU LISSU HAJAGOMA KULA NA HAKUNA WAKILI WAKE ALIYEZUIWA KUINGIA GEREZANI

    Kuna taarifa inayosambaa kupitia mitandao ya kijamii iliyotolewa Oktoba 26, 2026 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Brenda Rupia ikijulisha umma kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu ameanza mgomo wa kula chakula kuanzia Oktoba 26, 2026...
  3. JamiiForums Tanzania Kuunga Mkono Mgomo Kula wa Lissu, Nimeaamua Kufunga kwa masaa 18 mpaka 21 kwa siku mpaka siku Lissu atakapoaanza tena kula.

    Leo ni siku ya pili ....
  4. JamiiForums Tanzania Lissu aanza mgomo wa kula. CHADEMA yasema mawakili wake wamezuiwa kumwona gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku chama hicho kikilalamikia kuzuiwa kwa mawakili wake kumwona gerezani. Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Dk...
  5. JamiiForums Tanzania Kutoka Tundu Lissu hadi Gandhi: Je, migomo ya kula huwa na matokeo?

    Kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, anatarajiwa kuanza mgomo wa kula leo, akipinga kile ambacho mawakili wake na chama chake wanaeleza kuwa ni ukiukwaji wa haki yake ya kuwasiliana kwa faragha na wanasheria wake akiwa mahabusu, wakati akisubiri hukumu ya kesi ya uhaini...
  6. JamiiForums Tanzania Leo Lissu ataanza kufunga.

    Rais Samia ana moyo wa jiwe. Sasa Lissu asipokula chakula leo mpaka tarehe sita November,ataweza kweli kwenda mahakamani kuisikiliza hukumu yake? Hili nadhani ndio jambo alipokuwa anaongea Askofu Gwajima; kwamba Rais Samia anashauruwa vibaya na kila mtu kuhusu kila kitu. Sasa kumnyima chakula...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mzee wa CHADEMA anena mambo mazito kuhusu kesi ya Tundu Lissu, haki itendeke!

    23 October 2026 Ikunga, Singida Tanzania MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ... Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
  8. JamiiForums Tanzania Sitakula wala kunywa kwa siku tatu mfululizo kuanzia 26/10/2026-29/10/2026 kumuunga Tundu Lissu mkono kwenye mgomo wake

    Mpendwa wetu Tundu Lissu ametangaza mgomo wa kula na kunywa kushinikiza kutimizwa haki zake kama zilivyoamriwa na mahakama. Sasa jeshi la Magereza Tanzania wameendelea kumnyima haki ya kuongea kwa faragha na mawakili wake. Hivyo basi nami kwa kutambua kwamba mtetezi wa wanyonge anapita kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Kufungwa siyo Mwisho wa Mapambano

    Nimesikia Mitandaoni Akina Rugemeleza Nshala wanasema kuwa Tundu Lissu anataka kuanza kugoma kula kuanzia Kesho. Nafahamu pia Tundu Lissu ni Mwanasheria Nguli na ameshaziona dalili za kusokotwa hiyo anapaza sauti ili asikike ni kawaida kwa mtu aliyezama kwenye maji kuhangaika kutaka kujiokoa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kiza Besige Aligoma Kula Chakula hadi kudondoka Mahakamani na kukondeana lakini aliendelea kukaa ndani hadi akaanza kula mwenyewe. Lissu asibembelezwe

    Ndugu zangu Watanzania, Lissu asibembelezwe hata kidogo Yaani tena ikiwezekana asipewe kabisa chakula kama hataki kula ili kupunguza na kuondoa usumbufu wa kutembea kumbembeleza ili ale chakula . Yeye kama hali na hataki kula basi aaachwe akae hivyo hivyo bila kubembelezwa kwa namna yoyote...
  11. JamiiForums Tanzania Kesi imesikilizwa tunasubiri hukumu. Mawakili wa Lissu wanafuata nini gerezani, kuna siri gani hawataki isikike?

    CHadema wanajaribu kila kitu ili kupata la kulalamikia na wakumlalamikia. Huu ni muda wa kusubiri hukumu kutoka kwa majaji waliosikiliza kesi ya Lissu. Inakuwaje mawakili wafunge safari kwenda kumuona Lissu kabla ya hukumu kutoka? Si wangojee huku itolewe kwanza ili waende wakiwa na kitu kamili...
  12. JamiiForums Tanzania Sisi wasomi/wanazuoni tutautumia mgomo wa kutokula wa Lissu kama Case Study ili tuone mtu anakufa baada ya siku ngapi akikaa bila kula

    Niombe watanzania asiwepo mtu wa kuingilia mgomo wa kutokula ambao anatarajia aufanye Lissu kuanzia tar. 26/10/2026. ili kutupa nafasi sisi wasomi tuweze kubaini na kuona ni siku ngapi mtu anaweza akaishi bila kula mpaka anakufa. Sisi wasomi jukumu letu litakuwa ni kuhesabu siku tu mpaka siku...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

    Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili. "Hayo ameyaeleza...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania anapaswa kuwa na huruma na Lissu. Hata mke wake hajawahi kwenda kumuona gerezani

    Ndugu zangu Watanzania, Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu. Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
  15. JamiiForums Tanzania Kila mtu angewashangaa wazungu kama Lissu angepata tuzo ya SAKHAROV

    Ndani ya EU kuna watu wajinga/corrupt/lobbists wanapenyesha hoja za kijinga kwa wajumbe wa EU ili kufanikisha agenda zao za kijinga. Sema tu wabumge wa EU wengi wao wana akili lazini, wanazipiga chini mwisho wa siku kwa kuogopa kuchekwa na dunia. Yaani Lissu amefanya nn cha maana kinachostahili...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Bunge La Ulaya Kumnyima Lissu Tuzo Ni Ishara ya Wazi Kuwa Hata Wao Wameona Wazi Kabisa Lissu Ni Mhaini na Hawawezi Kuichafua Tuzo Yao.

    Ndugu zangu Watanzania, Tulishasema sana na nilishasema wazi kabisa huku Jukwaani Ya Kuwa Lissu hapaswi kuwepo Uraiani katika Siku zake zilizo salia Hapa Duniani. Lissu anastahili Adhabu kali sana itakayo kuwa Fundisho Kwa Wavunja sheria wa hapa Nchini. Lissu anastahili Adhabu ambayo itabakia...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu yupo Sana tu mtaani ninyi andaa tu jinsi ya kumpokea, wanaharakati baadhi wanawadanganya

    The frivolous, fabricated and politically orchestrated prosecution against Lissu has become a severe albatross around the neck of Samia's illegitimate and unlawful regime! And yet, simultaneously, you eulogize and applaud activists who are being fed spurious, mendacious intelligence to obfuscate...
  18. JamiiForums Tanzania Hukumu kesi ya Lissu inashikilia hatma ya usalama wetu kama nchi. Tutajifunza nini?

    Hukumu ya kesi moja inahukumu kesi nyingine inayofanana nayo. Watanzania, wanasiasa, wazee, wanaume, wanawake, vijana, watoto, waislam, wakristo, diaspora na majirani zetu watajifunza nini kutokana na hukumu ya kessi ya Lissu kwa vyovyote vile itakavyohukumiwa?
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Walitaka Lissu afe kwa risasi Mungu akamjibu, wanapanga afe kwa kunyongwa Mungu atajibu

    Kifo ni kifo tu, kiwe kwa risasi, kiwe kwa kunyonga, kitokee kitandani ni kifo tu. Magufuli alipanga Lissu afe kwa risasi Mungu akakataa ila akajibu instantly, safari hii wamepanga Lissu afe kwa kunyongwa, naimani Mungu atakataa tena lakini atawajibu kwa kipimo kile kile pengine zaidi. Kama ni...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakati umefika wa kuamka na kumpambania Lissu na katiba mpya

    Ni dhahiri hawa wauaji wamepanga kumfunga Tundu Lissu na hawana mpango wa katiba mpya ambayo itawaondoa madarakani. Sasa kwa umoja wetu tuamke na tuingie barabarani kuhakikisha haki inapatikana Tanzania. Tundu Lissu ameonyesha dhamira ya kweli na kutupigania watanzania, tunapaswa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…