lini

Linyi (simplified Chinese: 临沂; traditional Chinese: 臨沂; pinyin: Línyí) is a prefecture-level city in the south of Shandong province, China. As of 2011, Linyi is the largest prefecture-level city in Shandong, both by area and population, Linyi borders Rizhao to the east, Weifang to the northeast, Zibo to the north, Tai'an to the northwest, Jining to the west, Zaozhuang to the southwest, and the province of Jiangsu to the south. The name of the city Linyi (临沂) literally means "close to the Yi River".
The city recently expanded along the Yi River to Nanfang, now called the Beicheng New Area, under the slogan "Grand Linyi, Beautiful Linyi, New Linyi". Multiple recreational parks were built, along with new school campuses etc. The development is a consequence of a series of governmental projects, including relocate the city government, which is expected to stimulate the economy.
The population was 11,018,365 at the 2020 census, of which 3,651,868 lived in the built-up area made up of Lanshan District, Luozhuang District and Hedong District, as well as Linyi National Hi-Tech Zone.

View More On Wikipedia.org
  1. Z

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yanatoka lini?

    Nina Imani kuwa humu jf Kuna watumishi wa Baraza la mitihani. Matokeo ya kidato Cha nne yanatoka lini?
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ujenzi wa Barabara Dar utaisha lini?

    Unajua imekua kama kero hivi, yaani miaka inaendaga inarudi ila kila siku Dar es salaam wapo kwenye ujenzi wa barabara. Hivi ni ujenzi wa miundo mbinu gani hii isiyoisha? Ujue kuna maeneo Dar ukipita unaweza dhani upo mkoani? Nauliza tu, kwamba Serikali imeshindwa kutenga hata mwaka mmoja au...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi KKKT na Serikali hii Ndoa yenu imeanza lini

    Nawasalimu kwa Jina Bwana Wetu Yesu Kristo . Hiyo ni salamu kuu ya Kanisa la Kiinjili la Kiluteri Tanzania. Nawauliza VIONGOZI WA KKKT hasa Malasusa na Serikali ndoa yenu imeanza lini ??? Tenaaa au toka Malasusa Aingie ndio mkafunga ndoa kabisaa . Mimi siungi mkono kabisa . Na nawaambia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makabila yanayofanya tohara kwa wanawake yana maendeleo duni, lini yatabailika ?

    Ukifuatilia makabila yanayoanya tohara bado yapo nyuma sana kimaendeleo
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyekosoa mchakato wa uteuzi wa Samia ndani ya CCM, Mzee Godfrey Malisa ashtakiwa kwa UHAINI

    Mchungaji Godfrey Malisa, aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro akikabiliwa na kosa la uhaini. Kesi hiyo (Namba 000028333 ya 2025) inatarajiwa kutajwa kesho, Ijumaa, Januari 2, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu...
  6. JamiiForums Tanzania Mwamficha hadi lini. Siye Tuna hamu kumwona mbele ya umma

    Tumemmisi walahi. Sio ahutubie mafichoni wala. Siye twataka ajitokeze kama afanyavyo Waziri wake. Nye nye nye tutafurahia nye. Wajua twampenda. Naye ajua. Sasa yanini kumvundika mafichoni Nye. Miye nawajuza leo. Twamhusudu kweli. Tumechoka kummisi kipenzi chetu. Atokemo hadhalani ahutubie...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wataacha lini kutumiwa na wanasiasa kufanikisha agenda zao huku wakiachwa katika umasikini?

    Nimeona hii clip ya mchekeshaji Crazy Kennar, inaakisi hali halisi ya jeshi la Polisi ambapo askari wamejikuta wakiwatumikia wanasiasa kufanikisha mambo yao huku lenyewe likiendelea kulalamikiwa na kudharauliwa.
  8. JamiiForums Tanzania “Unaoa lini?” Ni swali lililoulizwa sana jana Uchagani

    “Unaoa lini” swali lililo ulizwa zaidi juzi na jana uchagani.
  9. JamiiForums Tanzania Lini polisi wa Tanzania. Wamewahi kuwa wa kweli?

  10. JamiiForums Tanzania Askari Posho posho za Oct 29 nafikiri zimeisha?

    Manchekesha sana mapot Mnadharaulikia. Mnalipwa ili mtupe watu mnalipwa ili muue watu ,muwabambikizie kesi n.k Adi sasa nafikiri posho zishaisha zile za oct 29 mmerudi apeche alolo mnakula dei waka za kuteka teka watu ovyo. Mpo salama maana watu wengi hawana access ya silaha ,kwa sisi...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hello JF! Siku 90 za kifungo kutoka TCRA zimeisha rasmi, Karibuni wote tuendelee kuenjoy zaidi na zaidi

    Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi maridhiano ya chakwera yamefanyika lini vile ?

    maridhiano na huyo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuadimika kwa Vipepeo, Mara ya mwisho kuona kipepeo lini ?

    Sina kumbukumbu kabisa mara ya mwisho kuona kipepeo, watoto wengi sikuhizi wanamjua kwa picha na kumuimba lakini hawajawahi kumuona kwa macho yao
  14. JamiiForums Tanzania JF itatoka kifungoni lini nimechoshwa na VPN

    Jamani ee tutafunguliwa lini??
  15. JamiiForums Tanzania Upuuzi huu utaisha lini?

    Tume imeundwa kama kisingizio tu. Inapewa maagizo ya nini cha kufanya, jinsi ya kufanya, na kwa namna gani, kisha kuripoti mahali fulani na kupokelewa kwa njia fulani, halafu bado inaitwa Tume Huru? Vijana wa kitanzania ni mazombi hawawezi fikiri na kujiendesha, wanasubiri walipwe ili kudai...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ni lini Rais Samia atazunguka tena mikoani kuwashukuru wananchi kwa ushindi mzito?

    Baada ya uchaguzi ulioangaliwa kwa karibu na kukosolewa na wengi,.. ambapo "tume huru" ya uchaguzi ilimtangaza na kumrudisha madarakani Rais Samia kwa kura takribani asilimia 98, Watanzania wengi wamekuwa wakijiuliza jambo moja: Ni lini kiongozi mkuu wa nchi atarejea mikoani kuwashukuru...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye Dhambi Zake za Kuua Atahutubia Lini Bunge la 13?

    Ni ajabu, lakini si geni, kwamba dunia ya leo imejaa watu wanaotaka heshima bila toba, madaraka bila maadili, na sifa bila uhalali. Kila siku tunashuhudia wenye dhambi zao wale walioua kwa mikono yao au kwa maamuzi yao wakijitokeza mbele ya umma kama watakatifu wa kisiasa. Wamevaa suti safi...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu yatangaza Vyuo kufunguliwa 24/11/2025 kwa Wanafunzi wanaoendelea na masomo na 17/11/2025 kwa wapya (1st yr)

    Wakuu Hatimaye Wizara ya Elimu imetoa tamko rasmi kwa vijana wa vyuo kurudi masomoni Taarifa hiyo iliyotolewa Novemba 8, 2025 kupitia mitandao ya kijamii ya wizara ya elimu Tanzania inaeleza kuwa; === Wizara ya Elimu, sayansi na Teknolojia inapenda kuutarifu umma kuwa, kwa mujiu wa kalenda ya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane: kufungiwa JF kunaisha lini?

    Nilitegemea hili la uchaguzi , kufungiwa internet na kufunguliwa litainasua JF.... Hii ni mpaka lini?
  20. JamiiForums Tanzania Mali, nyumba na Ofisi za Wasafi vya Diamond vinatembelewa lini?

    Kwa watu wetu walivyouawa, machawa na. machangudoa wote waliomsaidia imla Ida Amina Mama lazima watembelewe haraka sana iwezekano.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…