lini

Linyi (simplified Chinese: 临沂; traditional Chinese: 臨沂; pinyin: Línyí) is a prefecture-level city in the south of Shandong province, China. As of 2011, Linyi is the largest prefecture-level city in Shandong, both by area and population, Linyi borders Rizhao to the east, Weifang to the northeast, Zibo to the north, Tai'an to the northwest, Jining to the west, Zaozhuang to the southwest, and the province of Jiangsu to the south. The name of the city Linyi (临沂) literally means "close to the Yi River".
The city recently expanded along the Yi River to Nanfang, now called the Beicheng New Area, under the slogan "Grand Linyi, Beautiful Linyi, New Linyi". Multiple recreational parks were built, along with new school campuses etc. The development is a consequence of a series of governmental projects, including relocate the city government, which is expected to stimulate the economy.
The population was 11,018,365 at the 2020 census, of which 3,651,868 lived in the built-up area made up of Lanshan District, Luozhuang District and Hedong District, as well as Linyi National Hi-Tech Zone.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Vijana wa Afrika wataandamana lini kutaka haki, maisha bora na uhuru kama wenzao wa Ulaya?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Vijana wa Afrika wanaumia sana kuliko mtu yeyote tokana na kuzaliwa kwenye mifumo chakavu na kifisi na kifisadi. Je, watalianzisha lini lau dunia ijue wapo? Nawasilisha. Bila vijana wa Afrika kuamua, wasitutegemee sisi wazee tuliowaangusha kwa kuogopa na kujiangalia.
  2. Asikwambie mtu, kuishi single kunaharibu sana afya ya akili

    Niwachane tu ukweli wadau.. Kuishi single ni msala, kwanza unakuwa una hasira hasira tu. Ndugu zangu mlio single, Kamwe usije kudhani una enjoy, NY friend you are just surviving.. Kama jinsi mwili wako unavyo taka chakula hata viungo vyako vya siri vinadai... I need to reshape my love life...
  3. A

    KERO Ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Mwenge – Tegeta DAWASA) utakamilika lini?

    Nimekuwa mtumiaji wa Barabara ya Bagamoyo nikiwa naelekea kwenye majukumu yangu ya kila siku. Leo imebidi niandike jambo ambalo nadhani wengi wanaotumia njia hiyo watakuwa wameliona au wanaweza kulifuatilia. Mkandarasi anayejenga barabara hiyo kuanzia Mwenge hadi Tegeta Dawasa ana wafanyakazi...
  4. R

    Wapendwa hii kesi ya Lissu ya lini tena jamani?

    Hii ni kesi mpya au ni ile ya Kisutu ya zamani
  5. F

    Lini Tanzania itaacha kuwa shamba la bibi, kichwa cha mwendawazimu, na sehemu ya majaribio?

    Ukisoma historia ya Tanzania vizuri, ukiondoa kipindi cha Mwalimu Nyerere na kidogo cha Magufuli, Tanzania imekuwa kama sehemu ya machizi kujifunzia kunyoa. Kila ajae, huja bila sera ya kuendeshea nchi. Nyerere alikuwa na ujamaa. Mwinyi alikuja na jaribio la uhujumaa. Mkapa alikuja na ubabe...
  6. Lissu alijitetea lini kwenye kesi ya uchochezi? Tupo kwenye taifa la hovyo sana

    Unajiita mahakama na unaruhusu huu uhuni? Kwanini lakini? Unaweza vipi kumfunga mtu bila kujitetea?
  7. Huu ujinga mpaka lini tujiandaeni kwenda road

    Tuachane na mambo ya Lema Tuachane na kifo Cha kaka yake Lissu Twendeni road tukamkomboe Lissu Endapo watamuukumu kumfunga tuingie barabarani Huu utakuwa ni ujuwa Kama atahukumiwa halafu tubaki ndani na wahuni waendelee kula mvinyo Leo kwake kesho kwako twendeni tukahesabiwe.
  8. Mliosoma Data Science hapo Chuo cha Takwimu, Masomo ya kozi hiyo yako vipi na lini na lini

    Mliosoma Bachelor ya Data Science hapo Chuo cha Takwimu, hiyo kozi imekaaje na je masomo ni lini na lini kwa mtu anayekimbiza mbanga zake town au anayefanya kazi
  9. R

    Tetesi: Anguko la JAMII /Taifa huanza lini?

    Mwanafalsafa aliyaona haya zaidi ya miaka 2400 iliyopita!! Udhalimu haukuanza leo Ni wa tangu enzi na enzi. Bahati mbaya Socrates haku suggest namna ya kuuondoa
  10. KERO KERO: NSSF & Dayosisi zote, tunaomba majibu kuhusu mafao ya Wachungaji na Wainjilisti wa KKKT walioko kwenye Dayosisi zao! Yanalipwa LINI na NA NANI?

    Kwanini wachungaji na wainjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kupitia DAYOSISI ZAO, wanaostaafu baada ya kulitumikia Kanisa na jamii kwa miaka mingi wanaonekana kukabiliwa na changamoto za mafao ya uzeeni? Je, viongozi hawa wanapokea mishahara? Kama wanalipwa, je, kuna...
  11. Wale wengine wanne waliofariki kwenye helkopta, wanazikwa lini?

    Hatuwasikii kabisa, au walishazikwa tayari? Wenye majibu watusaidie. Nipo hapa kwenye kijiwe cha kahawa, tumekosa majibu.
  12. M

    Je, ni lini Serikali imeanza project ya kujenga nyumba za ibada?

    Wakuu katika pita pita yangu kuna sehemu nilikutana na ujumbe wa Mh. Diwani Manara juu ya kauli ya Mh. Makonda kuhusu kujenga msikiti Arusha. Manara alitoa kauli hii naomba kunukuu:- "Mimi naheshimu sana mawazo ya Sheikh Shafii lakini naomba asiingilie serikali kwenye masuala ya ujenzi wa...
  13. K

    [OMBI KWA SERIKALI] TEMDO, CAMARTEC na SIDO: Ahadi ya Kuunganishwa Imefikia Wapi na Itakamilika Lini?

    Kwa heshima na kwa kuzingatia umuhimu wa taasisi hizi katika maendeleo ya viwanda, teknolojia na ubunifu nchini, naomba kuwasilisha hoja hii kwa Serikali kuhusu mpango wa kuunganisha TEMDO, CAMARTEC na SIDO. Mpango huu si jambo jipya. Umekuwa ukijadiliwa na Serikali kwa miaka kadhaa...
  14. Hivi vitimbi vya mama kijacho huisha lini?

    Kwema wakuu.. Kununa, kususa, hasira na mengine ya kufanana na hayo ni hadi kujifungua? Kadri siku zinavyosogea ndio vinazidi kuongezeka. Wenye uzoefu tupeane mbinu ili mambo yaende sawa. Kipi cha kufanya/kutokufanya.
  15. R

    Tangu lini watawala wa ccm wakawa na uchungu na wananchi! EL NINO kwao ni fursa kubwa ya kupiga hela na most likely "zimeshapigwa".

    Bilioni 700 ni pesa zimeshagawanywa ...ni fursa...vikao nadhani vimeshakula robo! ☺️ ☺️:CarltonPls: Time will tell!
  16. O

    Kilio cha Wakazi wa Mathare 4A: Majitaka (Sewerage) yatatuumiza Wananchi hadi lini?

    Hali ya usafi na mazingira katika eneo la Mathare 4A, jijini Nairobi, imezua hofu miongoni mwa wakazi baada ya maji ya majitaka (sewage) kuvuja na kumwagika moja kwa moja karibu na mlango wa nyumba ya mkazi. Video inaonesha maji hayo machafu yakibubujika kutoka kwenye mfereji au bomba la...
  17. Mama anatoka lini heda?

    Nijuzeni nina yangu ambayo itakuwa double heda kwake je lini anatoka? Pole Mama ila lini watoka heda?
  18. Bi Fatma Karume aliyefariki dunia, Septemba 21, 2026 anazikwa lini?

    Huku tuko Eda! Na shughuli za kiserikali kila mtu ni msemaji wa serikali, Ila ninauliza tu?
  19. S

    Unawezaje kuiambia Mahakama shahidi yuko nje ya nchi bila kutaja yuko nchi gani na lini atarudi nchini?

    Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini? Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote...
  20. Yesu Kristo atarudi lini ?

    Ni miaka 2000 sasa Yesu Kristo anasuburiwa kurudi kama alivyohaidi katika Mathayo 24. Mbona hakuna dalili ya kurudi kwake kabisa kuja kuwachukua watu wake (kanisa) au kufa ? Dunia haina muelekeo na mahesabu kabisa ya Yesu kurudi!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…