Mjumbe wa kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM wilaya ya mbogwe mkoani Geita, Pius Lukaga amesema mjumbe wa kamati kuu ya chama cha demokrsiaa na manedeleo (CHADEMA), Godbless Lema amekuwa muwazi kwa kukiri jinsi ccm ilivyoumizwa na chama hicho.
Lukaga amesema ukweli wa lema umetoa picha...