laana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakuu hii ya bibi iwapite hili kuepusha laana kwa taifa.

    Japokuwa ni kali lakini wakuu hii naomba iwapite hili kulinda maadili ya nchi na kuepusha laana kwa taifa. Natanguliza shukrani wakuu
  2. Kuwa highly sensitive ni baraka na laana pia

    Imenifanya kutumika kihisia, hasa kipindi nakuwa.. Imenifanya kuwa mtumwa wa maumivu ya watu. Highly sensitive tunabeba hisia sana, ndo maana hata maumivu ya mapenzi huwa ya nachelewa sana kuishia. Tukipenda, tumependa kweli, yaani upendo shatashata, ila tukisense usaliti tu, ndo huwa...
  3. Laana ya Dk Magufuli yamzamisha Zitto Kabwe kisiasa

    Moja ya pingapinga mkubwa wa serikali ya awamu ya tano iliyoongozwa na hayati Magufuli na mtu aliyeshangilia sana kifo cha Magufuli kwa akili yake alidhani atakula maisha na kutamba sana kisiasa, sasa ametangaza kutupa taulo chini.! Mwanasiasa huyu ni Zitto Kabwe alipinga ununuzi wa ndege...
  4. Mange Kimambi anatutukana matusi ya nguoni sisi Watanzania, hii laana hataikwepa.

    Kwakweli Mange Kimambi anatutukana sana ss watanzania, niseme tu kuwa Hii laana haitamuacha salama. nawaasa chadema watamke kutofungamana na kauli za matusi za Mange kimambi otherwise hii laana itaendelea kuwatafuna chadema kwenye maisha Yao yote ya Siasa. Tunachotakiwa kujua kwamba hakuna...
  5. Godbless Lema: Mtoto wangu hawezi kuendesha bodaboda, ni laana

    Ni muda sasa CCM iingilie kati kwa kuwapa semina hawa wanufaika wa michango ya tonetone huko CHADEMA ili waweze kujenga hoja wanapokuwa jukwaani. Ukisikiliza maneno ya Lema utagundua yeye ndo laana hapa nchini. Kaongea maneno ya kijinga sana kwa hadhi yake. Hii CHADEMA ya sasa inapaswa...
  6. Nchi ya pili kwa uchumi mkubwa africa inashindwa kupambana na wanajihad wanaojificha vichakani na kuua wananchi wake kila siku. Uafrika ni laana!

    Haya mambo yapo connected huko nigeria na deep state inacheza mchezo wa draft na maisha ya watu huku wakitembelea ma range rover na kuishi nyumba zenye fensi ndefu za ukuta na watoto wao wakiwasomesha nje ya nchi.
  7. Hakuna baraka, hakuna laana, hakuna karma

    Watu wa Imani huwa wana mambo mengi sana ya kufikirika ikiwemo baraka, laana na karma. Kiuhalisia; Hakuna baraka, Hakuna laana, Hakuna karma, Hakuna ushahidi au uthibitisho wowote wa haya mambo, ni nadharia tu zisizo na mantiki wala mashiko.
  8. Video: Ukimsikiliza Lissu alipokuwa bungeni halafu ukisoma nyuzi za machawa humu JF utagundua, Machawa kuna namna fulani wana laana

    https://www.tiktok.com/@emmanoeli3/video/7681738572277288210?_r=1&u_code=e0hkf9aj984902&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=dmbi6bhhk236d0&share_item_id=7681738572277288210&source=h5_m&timestamp=1791747785&user_id=7073563122229298182&sec_user_id=MS4wLjABAAAAUJa_GofDENFj0b3t4zylnDgbbtbouvSMjso0y1zh...
  9. R

    Majaji msikubali laana ya milele. Tendeni haki, muda wa kuishi ni mdogo uliobaki, mtumikie Mungu

    6.11.2026 Bold Judges vs Shyster/Timorous Judges Bold Judges 1. Mwalusanya 2. Lugakingira. 3. Katiti 4. Mlay 5. Kalegeya 6................. Shyster Judges 1. 2. A bold judge is a progressive, principled jurist who interprets the constitution as a living document to protect human rights and...
  10. F

    Kwa waislam msalaba ni alama ya laana tuangalie namna unavyotugusa

    Ukisimama au kulala chali na kunyosha mikono yako, unatengeneza msalaba. Ndege zinazotumika kwenda hija ni alama ya msalaba Mitaa tunayokazita kadhilika Nyumba tuishimo mapaa yake yamejaa alama hii Makutano yote yana alama hii Ongeza alama yako ya msalaba halafu tuangalie kweli kama imani hii...
  11. Siasa za chadema zimekaa ki laana laana sana

    Wafuasi wa chadema wanafanya mambo ambayo hata ambaye hakwenda shule hawezi kufanya ni siasa za kipumbavu na za hovyo kuwahi kutokea nchini zilifanywa na Hilda newton ambaye ni kiongozi wa chadema....huwezi kupata kura kwa kuwatukana na kuwadhalilisha wengine ni utahira tupu. Nawashauri wafuasi...
  12. L

    Mambo yanayoleta laana

    Laana ni nguvu ya kiroho inayoandama maisha ya mtu asifanikiwe kwenye maisha na kuwa na maisha magumu kupititiza.Kuna vyanzo mbali mbali vinavyoleta laana kwenyeaisha ya watu duniani,nitaorodhesha hapa chini kama ifuatavyo. 1.Kumwasi Mungu.Na kutumikia miungu mingine kwenye maisha yako ili...
  13. UKAME vs EL NINO;Je ni mabadiliko ya tabianchi au laana...?

    Kuna watu wanajiita (watabiri wa hali ya hewa) ukishajua maana ya utabiri/mtabiri basi utajua wale ni watu wa aina gani. Dunia ya leo,ukiwa na makaratasi yaliyoandikwa (certificate) unaonekana ni msomi sana hata kama bado ujinga flan kichwani. Kuna taarifa kuhusu el Nino kila kona ya dunia .na...
  14. Uwezo Wako: Baraka au Laana?

    Dunia ina idadi kubwa ya watu wasio na shida na wewe, na wala hawana mpango wa kugombana na wewe, ikiwa utawahakikishia kuwa wewe ni wa kawaida, mnyonge, huna mbele wala nyuma na mwenendo wa mambo unaonesha kuwa utaendelea kuwa chini. Katika biblia, kwa mfano, tunasoma habari za Yusufu mwana wa...
  15. Wafuasi wa chadema badilikeni utu ni muhimu kuliko siasa kwahiyo watu wasishiriki misiba nyie ni watu wa ajabu sana

    Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana, Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
  16. Karma ingekuwa ipo na inafanya kazi ingewapata wanasiasa ila hakuna kitu kinatokea

    Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
  17. Hapa duniani hakuna laana au baraka mambo yote yapo kama yalivyo.

    Hapa Duniani hakuna baraka wala laana mambo yote hayana maana ni wewe ndo unayapa maana. Jambo unaloliita laana kwa mwingine ni baraka na jambo unaloona kama baraka kwa mwingine ni laana So , mambo yapo kama hivyo
  18. Laana ya shamba

    LAANA YA SHAMBA Palikuwa na shamba moja kubwa, zuri na lenye rutuba ya ajabu. 🌿 Shamba lile lilikuwa na kila aina ya mazao ya thamani. Udongo wake ulikuwa wenye nguvu, na kila aliyelima ndani yake alijua kuwa alikuwa sehemu ya shamba lenye uwezo mkubwa wa kutoa mavuno. Kulikuwa na wafanyakazi...
  19. Nimejiridhisha laana ya damu ya Humphrey Polepole na Mdude Nyagali ni kali

    Kwa yanayoukuta utawala wa awamu ya pili wa Rais Samia ni balaa . 1. Rais Samia alijigamba kuifungua nchi lakini amekuja kuifunga kuliko Rais yoyote tangu uhuru. 2. Serikali ya Samia imetengwa kutoka ndani ya nchi hadi nje ya nchi, Rais Samia amepigwa marufuku ziara za Ulaya na America 3...
  20. CHADEMA kuandamwa na mikosi ya kisiasa na kiuchumi isiyokoma ni ishara ya wazi kua huenda kuna laana ndani ya chama hicho cha siasa nchini

    Kwa mfano we cheki, mwenyekiti wake taifa kukutwa ana kesi ya kujibu tofauti na walivyotarajia kwa kujiiga kifua sana tu kwamba hakuna lolote n.k, na kwahivyo wameumbuka hadharani na hiyo maana yake mwenyekiti huyo ataendelea kusota korokoroni. Huenda mkosi huu unatokana na utamaduni wa kiburi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…