kwenda

Kwenda Mission High School is an 'O' and 'A' Level boarding school in Mashonaland East Province in Zimbabwe.
The school is situated about 150 km south of the capital city Harare. Located in the Chikomba Area, Kwenda Mission High School offers "O" and "A" Level education for both girls and boys. The mission was opened in 1892 by Methodist (Wesley) Missionaries. Mr Manhera is the current headmaster and Rev Dr Muwanzi is the current principal as well as chief administrator of the institution.
It is one of the seven mission schools run by the Methodist Church in Zimbabwe. Its sister schools are Waddilove High School in Marondera, Chemhanza High School in Wedza, Tekwane Mission in Matebeleland, which was among the first mission stations opened by the missionaries in the 19th century, Sandringham High School in Norton, Pakame High School in Shurugwi and Moleli High School in Makwiro.

View More On Wikipedia.org
  1. Je Sheria za Kimataifa (Nelson Mandela Rules), Rule 70 inaruhusu Mahabusu kwenda kuzika ndugu?

    Salaam Wakuu, Naomba kuuliza, Sheria za kimataifa za matibabu ya wafungwa, Nelson Mandela Rules, Rule 70, zinatoa haki kwa mfungwa, Mahabusu kuweza kuruhusiwa kwenda, akiwa chini ya ulinzi au peke yake, kumwona ndugu wa karibu aliye katika hali mbaya sana au kuhudhuria mazishi ya ndugu wa...
  2. James Kanyotu: Mkuu wa idara ya ujasusi wa Kenya aliyeamua kwenda kaburini na Siri za Jomo Kenyatta na Daniel Arap Moi.

    Huyu bwana Kwa miaka 27, alihudumu chini ya marais wawili, na alifanikiwa kuvuka misukosuko ya kisiasa, alijua siri za watu wenye nguvu na akajenga himaya ya kibiashara iliyokuwa na thamani ya mabilioni ya shilingi. Hata hivyo, kwa sehemu kubwa ya kipindi hicho chote , Wakenya wengi hawakujua...
  3. D

    Naomba kujua jina la kampuni ya usafirishaji mizigo toka Dar es laam kwenda Songea

    Ndugu wapendwa! Nataka kusafirisha mizigo yangu toka Dar kuja songea lakini sijui ni kampuni zipi za usafirishaji zinahusika. Mzigo ninaotaka kusafirisha ni freezer na sofa. Hivyo naomba mwenye kujua jina la kampuni inayotoa huduma hiyo pia na sehemu inapopatikana hiyo kampuni. Nawasilisha...
  4. Car4Sale 2022 land cruiser Prado tx ya kwenda iko sokoni

    Bei/Price๐Ÿท๏ธ๐Ÿ‘‰๐ŸพTSH 159.9M Call๐Ÿ“ž+255 747 999 927 LAND CRUISER PRADO TX Year: 2022 Engine: 2TR-FE Mileage: 45,800+ Transmission: AUTOMATIC ๐Ÿ’ซSunroof ๐Ÿ’ซFog Lights ๐Ÿ’ซCruise Control โœ…100% Duty Paid โœ…Swap Deals Available โœ…Zero Registration Cost
  5. Tujikumbushe kidogo Mwaipaya alivyotoa mbinu za kuepuka kutekwa

    Jana ilitoka taarifa ya Kutekwa Twaha Mwaipaya na watu wasiojulikana Nairobi Kenya, baada ya tukio hilo kuna kipindi Mwaipaya aliwahi kutoa mbinu kadhaa za kuepuka kutekwa. Kipi kimemkuta maana alitoa mbinu nzuri sana za kuepuka na adhaa kama hii ya matukio haya ya utekaji. Ambayo si matukio...
  6. M

    Timu 4 za Tanzania zimefuzu kwenda hatua ya Makundi CAF, hongereni sana

    Ligi ya Tanzania imeendelea kuonesha kuwa inazidi kukua kwa timu zake 4 kufuzu kwenda hatua ya Makundi, Simba, Yanga zimefuzu klabu bingwa kwa kutoa kichapo kizito kwa timu walizokuwa wanacheza nazo Huku, Azam na Singida black stars wakiipeperusha bendera ya Nchi kwenye kombe la shirikisho.
  7. KERO Serikali ilipe hela za likizo kwa wakati kuwezesha watumishi wakati wa likizo

    Serikali tunaomba ihakikishe Watumishi wa umma tunalipwa fedha zetu za likizo kabla ya kuanza likizo, ili kutuwezesha kusafiri kwenda nyumbani na kutumia likizo zetu kwa utulivu. Hatua hii itawasaidia watumishi kukidhi gharama za usafiri na mahitaji mengine muhimu tunapojiandaa kwenda kuungana...
  8. Car4Sale 2025 MERCEDES BENZ G450d YA KWENDA IKO SOKONI

    Bei/Price๐Ÿท๏ธ๐Ÿ‘‰๐ŸพTSH 680M Call๐Ÿ“ž+255 747 999 927 MERCEDES BENZ G450d Year: 2025 Engine: 3.0L Mileage: 8,000+ Transmission: AUTO ๐Ÿ’ซSunroof ๐Ÿ’ซSport Rims ๐Ÿ’ซ3-Diff Locks Fuel Usedโ›ฝ๏ธ๐Ÿ‘‰๐ŸพDIESEL โœ…100% Duty Paid โœ…Swap Deals Available โœ…Zero Registration Cost
  9. Mtoto akitaka kwenda kusoma nje anapimwa Reading, Listening, Speaking and Writing. ila necta wanapima tuu writing

    Tutafika kweli? Kuna haja ya english language kuwa na speaking, listening and reading Practical test Yaani una division one lakini bado lugha.
  10. L

    Hakuna Mtanzania anapaswa kuwa na huruma na Lissu. Hata mke wake hajawahi kwenda kumuona gerezani

    Ndugu zangu Watanzania, Kama wewe ni Mzalendo wa kweli wa Taifa hili na unayependa Amani na usalama wa Taifa hili kwa Tanzania bora ya leo na kesho basi hupaswi hata kidogo hata chembe kuwa na huruma na Lissu. Hakuna Mtanzania Anapaswa hata kupoteza muda kumuombea Lissu. Hii ni Kwa kuwa mtu...
  11. Kwa nini Watanzania wengi huwa wanalazimsha watu waende kwenda kwenye misiba?

    Nimeona mwanafunzi mmoja wa chuo anaitwa Kiriba analalamika CHADEMA hawakwenda kwenye msiba wa Samia. Huwa naona pia Steve Mengele akilalamikia kwa uchungu sana wasanii wakikosa kwenda kwenye msiba. Ni Watanzania wengi huwa naona wana hii tabia ya kulalamikia au kulazimisha watu kwenda kwenye...
  12. H

    Usafiri kutoka Mbagala mgeninani kwenda kariakoo/steshen ni tatizo

    N lini LATRA watafuatilia suala la daladala za vikunai - gerezani /steshen kukatisha route? Nu miaka mingi sasa magari yakanatisha route na kuishia mbagala kuu ilihali yanapaswa kufika mgeninani had vikunai
  13. Morogoro: Serikali yatuma Wataalamu kwenda kumhoji Kakakuona kama kuna mvua ya El nino yenye Maafa

    Kakakuona aloonekana Kilosa kasema kwamba mvua zitanyesha za Kilimo. Hivyo Watanzania Mumehimizwa kumzingatia Kakakuona. Mnyama aina ya Kakakuona ameonekana katika kata ya Kimamba,Kilosa ,mkoani Morogoro. Wazee wa wilaya hiyo wamefanya mila ya kumuwekea vitu mbali mbali ambapo atakachochagua...
  14. Kwa Nurses wenye guts na wanaotamani kwenda Canada, British Columbia inakuita

    Haya malink hayo jilipue ila consistence ya kufuatilia na kufuata maelekezo inahitajika sio narenare ya kusubiri ulishwe kwa kijiko kibongobongo, mambo ya spoon feeding yale yetu. Ukiweza kuruka viunzi vyote wanakupa bursary kabisa ukaanzie maisha...
  15. ๐…๐ž๐ฆ๐š๐ญ๐š: Wachimbaji Madini waliokwama kwenda Canada watarejeshewa fedha zao Oktoba 23, 2026

    ๐“๐€๐๐†๐€๐™๐Ž ๐Œ๐€๐€๐‹๐”๐Œ๐” ๐Š๐–๐€ ๐–๐€๐’๐€๐…๐ˆ๐‘๐ˆ ๐–๐€ ๐’๐€๐…๐€๐‘๐ˆ ๐˜๐€ ๐‚๐€๐๐€๐ƒ๐€ ๐–๐€๐๐€๐Ž ๐ƒ๐€๐ˆ ๐…๐„๐ƒ๐‡๐€ ๐™๐€๐Ž ๐Š๐ฎ๐ฉ๐ข๐ญ๐ข๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ ๐œ๐จ๐ง๐Ÿ๐ž๐ซ๐ž๐ง๐œ๐ž ๐ข๐ฅ๐ข๐ฒ๐จ ๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐ฐ๐š ๐’๐ก๐ข๐ซ๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐จ ๐ฅ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ฆ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š ๐ฐ๐š๐œ๐ก๐ข๐ฆ๐›๐š๐ฃ๐ข ๐Œ๐š๐๐ข๐ง๐ข ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐๐๐ฎ๐ ๐ฎ ๐‰๐จ๐ก๐ง ๐–๐š๐ฆ๐›๐ฎ๐ซ๐š ๐๐ข๐ง๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ฒ๐š๐ค๐ž, ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ž๐ค๐ฎ๐ฐ๐ž๐ฉ๐จ ๐ง๐š ๐ฎ๐ญ๐ž๐ค๐ž๐ฅ๐ž๐ณ๐ฐ๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ž๐ฅ๐ž๐ค๐ž๐ณ๐จ ๐ก๐š๐ฒ๐จ ๐ค๐ฐ๐š ๐ค๐ข๐ฐ๐š๐ง๐ ๐จ ๐ค๐ข๐ค๐ฎ๐›๐ฐ๐š ๐›๐š๐š๐๐š ๐ฒ๐š ๐๐ซ๐ž๐ฌ๐ฌ...
  16. Toka niache kwenda kanisani, maisha yangu yamekuwa bora sana

    Naamini kuwa dini ni kama mtego tu, Ni mtego wa kukuzaa dhiki, watu wanakwenda kulia, na kutaka neema ziwadondokee kama mvua. Hawajui kuwa ulimwengu huu, una mifumo ya utendaji kazi. Kama ni hivyo wangekuwa wanasali jua lisizame na kweli likaacha. Watu wako so brainwashed mpaka...
  17. Mnashangaa John Pambalu kukamatwa, kwanini hamjiulizi aliondokaje Tanzania kwenda Kenya kwa Maria Sarungi

    Tuviache vyombo vyetu vya Dola vifanye KAZI yake. Bila shaka. Pambalu anayajua makosa yake na anajua kipi kilimfanya akimbilie Kenya, anajua kwanini alikuwa analelewa na Maria Sarungi, anajua kwanini sasa imempasa arudi Tanzania, anajua mahusiano kati yake na Maria Sarungi yapoje. Mimi binafsi...
  18. R

    KERO Angalia Barabara toka Dodoma kwenda Iringa. Serikali ijitafakari

    Clip inatosha bila maelezo
  19. Mkumbo wa Vijana Kwenda Kulelewa na Vibibi vya Kizungu: Vijana Wakumbushwe Pesa Usiyoitolea Jasho Haina Thamani.

    Vijana wa sasa wanaamini sana kwenye shortcut, lakini wajue kabisa shortcut huwa ni kwa ajili ya dharura tu, ukiifanya kama ndiyo normal life yako hakika nawe hautatoboa.
  20. J

    Uislam unazidi kwenda kuitawala Dunia, Binti wa Kisomali achaguliwa Bunge la Uingereza

    Sagal Abdi-Wali aliapishwa Jumatatu kama mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza, huku akiweka mkono wake juu ya Quran wakati wa kula kiapo. Anatajwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Somalia katika historia ya Uingereza. Abdi-Wali, ambaye aliwasili Uingereza akiwa mtoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ