kwao

The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.

View More On Wikipedia.org
  1. Naomi Osaka kuja na Kampuni yake ya Mawasiliano ya HanaKuma

    Sijui vijana wetu wa Kitanzania wanafeli wapi. What Is 'HanaKuma' And Why Are KoT Losing Their Heads Over It? Tennis superstar Naomi Osaka during a past tournament. PHOTO | COURTESY HanaKuma, according to Osaka, means “flower bear” in Japanese; and while that sounds cute and all, it has a...
  2. Sandio Mane ni mchezaji wa kuigwa anatoa huduma zote mhimu kijijini kwao Mbambaly, analipa watu wake kila mwezi

    Sadio Mane ni mmoja ya wachezaji wachache wanaojali familia zao, Mane sio mzaliwa wa jiji kuu la Senegal Dakar wala Kaolack ambayo ni majiji makubwa katika taifa hilo bali Sadio Mane ni mzaliwa wa mbambaly anabadilisha kijiji chake kuwa mji. Mane katika kijiji chao ambapo inakadiriwa wanaishi...
  3. M

    Shaka ashuhudia mtanange wa Yanga na Costal Union Kwa Mkapa

    Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka ameipongeza timu Yanga kwa kutwaa ubingwa wa soka wa Tanzania msimu huu. Ameyasema hayo leo usiku katika uwanja wa Benjamini Mkapa Jijini Dar Es Saalam mara baada ya mchezo ligi Kuu (NBC) ambapo ameyataja mafanikio hayo...
  4. Jirani: Kabla ya tukio la mauaji ya wanandoa, kulitokea mauzauza nyumbani kwao

    Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza. Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao. Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika...
  5. Wanaccm wenzangu tambueni takwa la katiba Sio la CHADEMA ni la wananchi na wenye nchi ambao hata Mwenyekiti anawajibika kwao

    Makomredi Tusipoteze muda kwa kupiga sarakasi na kufanya uharamia kwa vyama vya siasa vya upinzani nchini. Tutambue takwa la katiba ni la wananchi na wenye nchi ambao Mwenyekiti wetu anawajibika kwao. Tumshauri aachane na sarakasi za kuzuia mchakato huo kwa visingizio visivyo na mashiko...
  6. NIMR yaanza utafiti wa chanjo ya COVID-19, kongole kwao

    Katika hili sitakuwa mnafiki kama nitapongeza sekta ya afya.Sitakuwa mnafiki kama nitampongeza mama kwa kuupiga mwingi. Leo kuna taarifa inasambaa mitandaoni kuwa Taasisi ya utafiti ya maswala ya tiba yaani NIMR wanaendelea na utafiti wa chanjo ya covid 19.hili ni jambo jema sana na linapaswa...
  7. Somali Bantus walikataliwa Somalia, UN waliomba warudishwe kwao Tanzania

    Somalia kuna Wabantu ambao walifika huko wengi kwa Utumwa, maisha yao yalikuwa magumu kuanzia mwanzo Wasomali hawakuwahi kuwakubali na wamekataliwa kata kata na Msomali yoyote aliyejaribu ku-intermarry na Mbantu alitengwa na jamii ya Wasomali. Hali ilikuwa mbaya kwa Wabantu Somalia hadi UN...
  8. S

    Wakati huu ambapo Rais Samia anayasaka maridhiano na CHADEMA, Mdee na wenzake imekula kwao

    Samia hataki uhuni kwenye serikali yake. Anataka haki bin haki itendeke kwa watu, taasisi na vyama vya siasa. Sitegemei kuona sarakasi za kihuni za akina Mdee zikilelewa na kukumbatiwa na mahakama iliyojibebea umaarufu kwa kutenda haki ktk kesi ya aliyekuwa DC wa Hai Sabaya. Kwahiyo wale...
  9. Za ndani kabisa; Chama na simba kimenuka, arudi kwao

    Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba. Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco, Ukiachana na wao wawili kupigana majuzi baada ya derby dhidi ya yanga. Pia inaelezwa kwamba simba...
  10. Nini kilisababisha Mtanzania aende kuteseka kwenye migodi ya Burkina Faso?

    Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka. =========== Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which...
  11. M

    Wanaipenda Siku ya Jumamosi wakiamini huwa na bahati Kwao, ila wakasahau kuwa tarehe 30 huwa si nzuri Kwao

    Na Waganga wenye Akili huwa hawachezi na bahati ya Siku bali hucheza sana na bahati ya tarehe na bahati nzuri tarehe 30 huwa inaipendelea Timu isiyo Mwenyeji Kuiumiza Timu inayoiamini na kuipenda Siku ya Jumamosi.
  12. Tatizo lipo kwetu Waafrika, si kwa Mataifa ya Magharibi

    TATIZO LIPO KWETU SI KWAO Madhara na unyonge unaotukumba Waafrika, sababu kuu ni sisi wenyewe. Ni kweli wazungu wanaendelea kutubana kwa kutumia mbinu tofauti lakini uhusika wetu katika kufika hapa tulipo bado unabaki kwetu. Huwa najiuliza na kukosa jibu nikiangalia mifano michache ifuatayo...
  13. N

    Msaada tafadhali; huyu mke kila akienda kwao basi hurudi kichwa kinamuuma!

    1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone 2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi
  14. M

    ORLANDO PYRATES: Walivyochezewa nusu uwanja hata nyumbani kwao Afrika ya kusini waliona. Porojo za hujuma hazina nafasi.

    Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo. Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa goli moja tu kwa jinsi walivyokuwa wamezidiwa! Hiyo penati ilikuwa ya wazi Sana, BM alipigwa ngwala...
  15. Avunjwa miguu baada ya kukutwa kwao na binti akitafuta watoto

    Benard Mkolwe wa kata ya Madilu Mkoani Njombe amepigwa na kuvunjwa mikono na miguu baada ya kukutwa akiwa na Sarah Mgohole (18) nyumbani kwao ambako alimfuata kwa lengo la kufanya mapenzi ikiwa ni siku yao ya kwanza tangu waanze uhusiano wiki 2 zilizopita. Chanzo Millard Ayo
  16. Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
  17. "Kwao pesa zipo" Msemo unaoshamiri kwa kasi kwa vijana wa kiume

    Kama mwanamke ukiskia boyfriend wako sifa ya kwanza anayoitoa kwa washkaji wenzake kwamba kwenu pesa zipo unajiskiaje? Maana ndiyo trend kwa sasa au kuhudumia kumehamia kwa wanawake! Mkienda date ya kwanza unamwonyesha ni jinsi gani kwenu pesa ipo! Miaka ya nyuma kidogo ukiwasimulia rafiki zako...
  18. Hataki niishi naye kwanza mpaka nijitambulishe kwao

    Habari zenu wanajf..kuna mambo yananitatiza kidogo. Kuna Binti niko nae kwenye Mahusiano takribani mwezi mmoja na nusu hivi..kiukweli nampenda sana,,,sina hata mpango wa kumsaliti. Huyu binti anaishi mbali kidogo na wazazi wake ana group la Mabinti wengine anaoishi nao....wanapanga kwa kushare...
  19. IGP Sirro kichuguu kinatema soon mchuma janga hula na wa kwao na waliomtuma

    Amang'ana, habari ja muhi, msinda vihi wana JF! Nimtazamo wangu ya kwamba Sirro amefika mwisho wa cheo chake, hata mwezi june hafiki, anaebisha tukutane june mosi. Maisha ni haya haya lichuguu limekwaa tobo
  20. Kuna Watu Waziri wa Utalii Dk. Ndumbaro alipovaa Jezi yao 'mbovu' Walifurahi na Kumsifu, leo kapiga 'Dongo' Kwao anaonekana 'Adui' yao

    Vumilieni tu kama ambavyo nasi pia mara kwa mara Mwenzenu Waziri wa Fedha Dk. Nchemba akiwa anatuchamba mpaka Kutudhihaki huwa tunavumilia na wala hatumfanyi kuwa ni Adui yetu kwani tunajua kuwa huo ni Utani wetu akina Kulwa na Doto wa Kariakoo Mmoja akiwa Mafurikoni na mwingine akiwa Sokoni kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…