kwao

The following is a list of radio stations and translators in the United States broadcasting Air1 programming, which can be sorted by their call signs, frequencies, state, city of license and broadcast area.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzungu aomba msaada wa kurudi kwao baada ya kufulia akitanua na mdada wa Kenya

    Sasa sijui huyu jamaa ni tapeli au ni mkweli. Anasema alikuja Kenya november mwaka jana kukutana na huyo mdada wa Kenya Eti wamespend nae pesa sana hadi zimekata na mdada nae amemkimbia baada ya kufulia. Anaomba msaada ili aweze kurudi kwao Ireland...
  2. Mzungu ataka uraia wa Tanzania, agoma kurudi kwao

    Hakuna binadamu anaependa Vita wala kubebeshwa silaha, huyu kijana toka Uingereza ameamua kuukana Uraia wake na kumuomba Rais Samia ampatie Uraia wa Tanzania. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  3. Nawaonea sana huruma dada zangu. Kipindi wapo umri 25, uzazi upo rahisi kwao, hawapati wanaume wa kuwaoa. Wakifika 30s wakiwa na vihela ndio wanaolewa

    Habari wadau. Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote. Wanawake wana biological age tofauti na wanaume. Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s tu wameshamaliza masomo. Hapo wapo hot. Sura nzuri. Mayai ya uzazi yapo vizuri ukigusa tu mimba...
  4. Israel siku zote wanaichukia UNRWA. Haina uhusiano wowote na Hamas, wanaona ni kikwazo kwao kuwafadhili Palestina

    Wanaukumbi. Msikilize Craig Mokhiber, afisa wa zamani wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi wa NY Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) na mwanasheria wa Kimataifa wa haki za binadamu. Wafuatao 𝐬𝐞𝐯𝐞𝐧 𝐜𝐨𝐮𝐧𝐭𝐫𝐢𝐞𝐬 wamesitisha ufadhili wa Unrwa kulingana na madai ya...
  5. G

    Kijana kamkimbia mchumba wake alietaka kumuoa baada ya kujua kwao kuna walemavu ni sawa?

    Binafsi mimi naona kijana kakosea, huenda alikuwa sahihi kumuacha ila namna alivyomuacha alikosea, ilibidi amuache kivingine, mkasa huu hapa nawapeni. Kuna kijana mdogo wa kiume miaka 26 tupo nae kazini alikuwa kwenye uchumba na binti wa miaka 22, wote ni wasomi binti kamaliza degree mwaka...
  6. Biashara ya familia mpaka sasa kizazi cha nne ipo hai hawa watu weupe wametengeneza standard ya kwao kivyao.

    "Hii ni biashara ya familia walianza babu zetu ambao mpaka sasa wameshafariki na sisi ni uzao wa tatu na huyo tunaemuona ni kizazi cha nne anaweza akachukua akaendeleza. Matumaini yetu amemaliza chuo juzi lakini ataanzia ngazi za chini atafanya kinachotakiwa halafu akifanikiwa atachukua kazi...
  7. Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

    Salute NB. Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili ya vijana wanaotafuta mwanamke wa kufanya nae maisha yaani Kutunza na kulea familia wakati mume akiwa katika harakati zake za kutafuta kipato cha kutunza familia na sio kwa wale wanaotafuta wanawake ambao watasaidizana kiuchumi. Ningependa kuongea na...
  8. Wenye kwao wanajenga kwao, wakimaliza kwetu wataenda kwao!

    Hawa ni watu wawili waliotokea familia Moja na kupata kazi, mmoja kwao na mwingine alibahatika kupata kazi ugenini mbali na kwao, aliyepata mbali na kwao, akamwambia wa kwao nitahakikisha naibaidili kwetu iwe oslo au new Zealand au Paris, wewe kaa hapo Mimi nitaleta Kila kitu. Hawa tutawazuga...
  9. Sadio Mane amejenga uwanja kijijini kwao. Utopolo na makolo wanashindwa nini kuwa na viwanja?

  10. Mwambieni Augustine kuwa Ghana haijaweza Kushindana Kindumba na Kwao Max huko Gongo DR

    Yaani utoke tu huko Kwenu Ghana ghafla utake kuja Kuvunja Ufalme wa Mtoto wa Kikongo ambaye Mganga wake wa Kienyeji kamwambia mpaka Boksa na Chupi yake ikiwezekana nazo awe Anazichomekea vile vile. Na wa upande wa Pili nasi tumemsaidia Mkongo kupiga huo Msumari wa Moto na hapo bado hadi arejee...
  11. CHADEMA hawawezi kumuelewa Paskali Mayalla. Ruzuku kwao ni baishara kuendesha maisha yao

    Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema; “Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
  12. Mmegombana Akasema anaenda kwao Mpe nauli, na usimfuate wala kumtumia nauli ya kurudia.

    Bila shaka mpo kwema! Vijana, ukiona upo na mpenzi, mchumba au mke ambaye mkigombana kidogo analeta vitisho vya kitoto. Wakati mtu mzima hatishiwi Nyaya. Mmegombana alafu ati anajikusanyisha mabegi yake na kutaka kuondoka, au anapenda kujisemesha kuwa naondoka! Naondoka! Sijafukuzwa kwetu...
  13. Mtu Kwao: Zanzibar inaenda kuwa na maendeleo kwenye michezo kuliko TZ Bara

    Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu? Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
  14. Nawaonea wivu wachaga, kwetu hatukutani pamoja nje ya misiba, mjini tuna maendeleo ila kijijini hali mbaya, watoto hawakujui kwao watapoteza asili yao

    Kijijini kwetu huwa tunarudi wote kwa pamoja kukiwa na msiba tu, nje ya hapo kila mtu huwa anarudi kimpango wake, kuna ambao hawarudigi kabisa. Tunaoishi mijini hatujawazoesha watoto warudi kwao, wakiwa wakubwa wanashindwa hata kurudi kwao kwasababu hawajapazoea, Nina marafiki wengi waliokulia...
  15. Usimrudishe kwao, yamalizeni ndani

    Salaam wakuu. Binafsi sijaoa ila inaeleweka kuwa ndoa zina changamoto nyingi sana zinazowesha kusababisha kupishana kauli, kupigana (sometymz), kunyamaziana n.k.... Nawapa kisa kimoja Miaka miwili ilopita, nilikuwa nikimtongoza manzi flan hv (hapa tumwite mary) alokuwa na kila sifa ya kuitwa...
  16. Kiukweli watu wa Kaskazini nawaonea wivu usioumiza, ni wivu wa kupenda kwao!

    Huu ni utamaduni ni mzuri kuigwa Utamaduni wa kukumbuka nyumbani walau maramoja kwa kila mwaka, kipengele hiki kwangu hunivutia sana, kwanza ni kama kihochea cha maendeleo ya kaya na kaya Kile kitendo cha mtu wa familia fulani kurudi na kitu nyumbani na mtu wa familia fulani kutokuwa nacho...
  17. Mkoa wa Kilimanjaro pekee ndio wanarudi kwao mwisho wa mwaka,mikoa mingine wanaogopa kurogwa

    Ni kilimanjaro pekee, mkoa ambao machief walianza kuvaa suti miaka ya 1900 wakati mikoa mingine wakivaa magome ya miti au kutembea uchi. Disemba hii wanaenda makwao wakiwa hawaogopi kurogwa na waliowaacha huko. Fatma Mwassa amegundua wahaya hawarudi kwao kwa kuogopa uchawi(bulogo),wameacha ma...
  18. Hii ndio nafasi ya Medeama kwenye ligi ya kwao, kumbe ni vibonde!

    Habari ndio kama mlivyosikia .
  19. Serikali waambieni vijana kilimo ni uti wa mgongo wa Taifa na kwao kama wananchi

    Tabu laaaa tabu leeeee!!!! Bandiko langu litakuwa fupi lenye lengo na madhumuni ya kuikumbusha serikali faida na umuhimu wa kilimo katika taifa na hivyo kutilia mkazo wa nguvu kwa vijana kuacha kushinda kwenye mitandao na kwenye majumba ya kamari kama mbadala wa ajira kwao. Mwanzo nianze kwa...
  20. Israel ikikubali kuuliwa askari 10 leo ujue hali imekuwa mbaya kwao

    Zadi ya miezi 2 tangu vita vianze kwa mara ya mwanzo jeshi la IDF limekiri kuuliwa kwa askari wake 10 kwa pamoja tena ndani ya kaskazini ya Gaza siku ya jana Jumanne.Eneo ambalo awali walitangaza kuliteka lote. Miongoni mwa askari waliouliwa na Hamas ni mwenye cheo cha colonel aliyekuwa kamanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…