Mbunge wa Mtera Livingston Lusinde almaarufu kama Kibajaji, amewashukia kama mwewe Wabunge na Viongozi wa Serikali 'wanaomsema Vibaya Magufuli'. Akiongea kwa jazba huku na kutokwa povu, alijikita kwenye hoja hizi:
1). Amani na utulivu haviwezi kuwepo kama kuna baadhi ya Watanzania na Wabunge...
Makelele ya kwamba wanaonewa sio kweli, serikali ipo makini sana na inajua inachokifanya na kwa faida yao hao wanaojulikana kama wamachinga.
Ukweli mchungu na unauma, wafanya biashara hawa kwanza ni wakwepa tozo wakubwa, japo wana vibali lukuki, vingi ni feki na wanapobanwa hutoa chochote ili...