kuwepo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt Slaa na wenzake wanashindwa kuelewa IGA ya DPW haiwezi kuwepo bila mabadiliko ya sheria yetu ya Natural Wealth and Resources Permanent Sovereignty

    Mikataba ya hadhi ya IGA (Intergovernmental Agreement) au BIT (Bilateral International Treaties) au MIT (Multilateral international Treaties) ni lazima ziendane na sheria za nchi husika vinginevyo ni null and void de novo. Hivyo kwa kuwa mkataba kati ya Dubai Emirate na Jamhuri ya Muungano wa...
  2. JamiiForums Tanzania Kimataifa takwimu zinambeba sana Rais Samia. Awe makini ili kuwepo na consistence

    Ukisoma vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi hali inaonekana nzuri sana kwa Tanzania chini ya Rais Samia. Wawekezaji wanaonekana kuwa na imani nae sana na hadi wanapohojiwa na makampuni makubwa wanasema wazi wako tayari kuwekeza Tanzania zaidi ya maeneo mengine. Kwenye utalii nako si...
  3. V

    JamiiForums Tanzania Wanaoishi karibu na bahari kuchukua tahadhari kutokana na uwezekano wa kutokea Tsunami katika Bahari ya Hindi leo jioni

    Habari zenu ndugu zangu tunaomba tuchukue tahadhari ikiwa habari hii ni ya kweli, kwani Tsunami maafa yake ni makubwa.
  4. JamiiForums Tanzania Je, nini sababu ya kuwepo kwa makosa makubwa kama haya kwenye kitabu cha physics kidato 4 na 1 cha TIE?

    Mimi ni muhitumu wa Phy kutoka chuo Y, nimeweza notice some very serious errors katika kitabu cha physics form one na form four TIE na kujaribu kuwatumia email lakini sikupata any response. On my personal thought ni kuwa, watoto wanajifunza makosa ya wahariri and not all teachers can notice...
  5. JamiiForums Tanzania Uongozi wa UDOM wajibu madai ya kuwepo kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi

    Baada ya memba wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto ya Wadudu aina ya Kunguni kwenye mabweni ya Wanafunzi wa Chuo Kukuu cha Dodoma (UDOM), ufafanuzi umetolewa kutoka kwenye mamlaka ya chuo hicho. Taarifa ya awali ya Kunguni hii hapa - Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania Migogoro inayoendelea duniani inathibitisha kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye aminiwa kuwepo

    Kwa hii migogoro mbalimbali inayo endelea kuwepo duniani inathibitisha bila shaka kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye amini kuwepo. Kauli ya Karl Marx kuhusu dini mpaka sasa bado inasimama wima. Kiranga na kundi kubwa la atheists mpaka sasa hoja zao zina simama wima kwa haya yanayo endelea duniani...
  7. JamiiForums Tanzania Ushahidi waanza Kutolewa kuhusu madai ya kuwepo Kwa Alliens na UFO

    Kwa muda Sasa kumekuwa na mijadara hisia mingi kuhusu kuwepo Kwa viumbe wa ajabu kutoka sayari za mbali "Aliens", pamoja na technolojia yao ya usafiri almaarufu kama UFO(unidentified flying object). Dhana hii imekuwepo sana uko Marekani Kwa muda na wakeleketwa wa hii hoja wamekwenda mbali...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuwepo na juhudi endelevu za usimamizi wa maafa ili kutekeleza mkakati wa taifa wa usimamizi wa maafa

    UTANGULIZI. Maafa ni madhara yanayotokana na janga ambayo yanajumuisha uharibifu wa mfumo wa kawaida katika jamii ambao husababisha vifo, majeraha, madhara ya kisaikolojia,, upotevu au uharibifu wa mali, mifumo mbalimbali ya kiteknolojia na huduma za kiuchumi na kijamii au mazingira, ambapo...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia ameuza bandari zetu zote zilizopo na zitakazokuwepo

    MKUTANO WA TUNDU LISSU, MBOPO, KAWE. "Samia ameuza bandari zote zilizopo na zitakazokuwepo, ametukosea sana" "Nimeshuhudia vitu vingi vya hovyo lakini sijawahi kushuhudia, mkataba wa hovyo kama huu, sijui huyu Mama anashauriwa na nani" "Mkataba huu haurekebishiki, ni wa kuufuta tu hakuna...
  11. JamiiForums Tanzania Heche: Chadema Mwenyekiti wake ni Mbowe, akanusha kuwepo kambi ya Lissu na Mwenyekiti

    John Heche Akiwa kwenye mjadala wasafi fm, John Heche amekanusha uvumi aliolizwa na mwandishi kuhusu kuwepo kambi mbili ndani ya Chadema huku yeye Heche akiwa kambi ya Tundu Lissu. Heche amesema mara ya kwanza kuingia kikao cha kamati kuu ilikuwa 2011 na alikuta mjadala wa fedha unajadiliwa...
  12. JamiiForums Tanzania Licha ya kuwepo kwa madini ya kutosha, bado mwamko wa Watanzania kuijua JamiiForums ni mdogo

    Tangu nijiunge rasmi JamiiForums kiukweli sijawahi jutia, lakini bado watu wengi hawaijui. Yaani unaweza pita mtaani kati ya watu kumi utaowauliza ni mmoja tu ndo anayeijua, mwingine anakwambia "ndo nini hiyo". Mpaka sasa, hata posts tu hazifikii idadi ya watanzania maana posts zipo 43 million...
  13. JamiiForums Tanzania Tuzo za TFF - kiungo bora bila Khalid Aucho kuwepo ni kichekesho

    Sijajua vigezo wanavyotumia TFF lakini hata kwa kipofu asiyetazama mpira na kusikiliza kwa Radio anajua kazi kubwa aliyoifanya Khalid Aucho, TFF inathubutuje kutomtaja katika orodha ya viungo bora? Ushauri kwa TFF isilazimishe kubalance hizi tuzo ili kuweka usawa, Bali watumie uhalisia wa mambo...
  14. JamiiForums Tanzania Mti wa mitunda ndiyo hupigwa mawe, uislamu utakuwepo na utazidi kuwepo! Allah akbar

    Imam Mwanamke' Amina Wadud: Kutoka kufasiri Quran hadi kuongoza sala ya Ijumaa Mmarekani mwenye asili ya Afrika, Amina Wadud - ambaye alichagua kuandika jina lake kwa herufi ndogo, kulingana na herufi za Kiarabu ambazo hazitambui herufi kubwa - alikuwa mwanamke wa kwanza kuongoza sala ya Ijumaa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji katika maeneo muhimu na ya kimkakati ya biashara yawe chini ya udhibiti wa Serikali. Ya Kariakoo yanaweza kujirudia kwingineko.

    Nianze kwa kusema kwamba kama Serikali ingekuwa na umiliki wa moja kwa moja wa eneo la Kariakoo ,hakika tusishuhudia mgomo wenye kuumiza walaji kama inavyoshuhudiwa. Huu ndio ushauri wangu kwa serikali yangu sikivu, sekta binafsi zinasaidia kwa kiasi kusaidia kukua kwa uchumi lakini sekta...
  16. JamiiForums Tanzania Hadi sasa sijutii kuwepo tigo postpaid, sioni dalili yoyote ya kuhama labda tu voda supakasi waje na vifurushi vya ziada kwa bei nafuu

    Ni tangu nwezi wa saba nafaidi mema ya internet ya Tigo postpaid. sina haja ya kujibana ama mambo ya kuzima data, natwanga tu. Offcourse kulikuwa na kash kash za speed kushuka usiku ila nilikuja kutatua tatizo kwa kutafuta wifi router naitega sehem yenye network internet speed saf tu. GB 80...
  17. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli ilikuwa Lazima yamkute. Tsh bilioni 8.26 za washtakiwa alibeba Biswalo bila kuwepo na 'Plea bargaining’

    Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa kisheria wa makubaliano ya kukiri kosa (plea bargaining). CAG amesema mchakato huo ulikuwa na matumizi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kuwepo kwa gape za uchumi Kati ya taifa moja na jingine au ndani ya jamii ni sababu moja ya muhimu ya maisha kuwezekana au Kuwepo na amani

    Uchumi unapolingana Kati ya mataifa mengi au Kati ya watu wengi Katika jamii huibua mashindano ambayo Mara nyingi matumizi ya nguvu huonekana na kusababisha machafuko na vifo
  19. JamiiForums Tanzania THRDC: Licha ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza Nchini, bado Serikali haijabadili baadhi ya Sheria kandamizi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC) umesema hali ya Uhuru wa Kujieleza nchini imebadilika na kuongezeka kwa Uhuru tofauti na miaka 6 ya utalawa wa Hayati Rais Magufuli. Lakini pamoja kuwepo kwa Uhuru huo bado Serikali haijazifanyia marekebisho Sheria zinazokinzana na Uhuru wa...
  20. JamiiForums Tanzania Hakujawahi kuwepo kitu kinachoitwa COVID duniani. Ni uongo wa mabeberu

    Wakuu wakati wa Corona sikuamini uwepo wa hiyo kitu wala habari zake nilikuwa sisikilizi na Barakoa nilikuwa sivai. Naamini hata Hayati JPM alikuwa na msimamo kama wangu. Ulikuwa ni ugonjwa unaosambazwa kwa njia ya taarifa ya habari na sio vimelea. Ushahidi: Habari za kimataifa na kidunia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…