kuuza

  1. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza soda, naomba ushauri

    Wapendwa sana wanaJF, habari za asubuhi... Siku chache zijazo nimefikiria kuanzisha biashara ya kuuza soda za chupa na za kopo (take away) kwa bei ya jumla na rejareja. Mwenye uzoefu na biashara hii naomba anijuze kuhusu mtaji, faida na changamoto za biashara hii. Aidha kama kuna maujanja...
  2. Kuna umuhimu wowote wa mabucha yetu Tanzania kuuza nyama pamoja na mifupa?

    Wanabodi, imekuwa kawaida kwa Bucha zetu nchini kuuza nyama na mifupa yake. Awali walitumia mashoka kupasua mifupa hiyo na sasa misumeno inayoendeshwa na umeme imetamalaki. Kwa hali ilivyo sasa katika Bucha nyingi, mifupa ni muhimu katika kutengeneza faida kwao na karaha kwa walaji. Uwa...
  3. M

    Serikali ijitafakari, mawazo ya kuuza umeme nje ya nchi wakati hali ni mbaya ndani hayakubaliki

    Thread was deleted
  4. Njaa inanukia, mvua zimegoma. Serikali zuieni kuuza chakula nje ya Nchi

    Habari za mida.. Kuna dalili za njaa mwaka ujao kutokana na Hali ya ukame inayoendelea Nchini kwa sasa. Sio jambo la kawaida kwa mwezi huu wa disemba mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kutokuwa na mvua.Sehemu nilipo wananchi bado hawajaotesha Mazao kwa sababu mvua hazipo. Hali ya hewa ni...
  5. Napinga RC wa Dar es Salaam Makalla 'Kuwafurumusha' Makahaba katika 'Vilinge' vyao bali waachwe tu waendelee Kuuza 'Nyama' zao tamu

    Siku zingine kabla hamjakurupuka Kuwaondoa ( Kuwafurumusha ) muwe mnaitisha Kwanza Kura za Maoni kutoka Kwetu Wadau na Wadaawa wakuu wa hizo 'Nyama' zao tamu na tukuka. Kwahiyo mnavyowaondoa mnataka sasa tubake Wanafunzi ili mtufunge vizuri Miaka yenu 30 au tuanze kuwapa Mimba 'House Girls'...
  6. Serikali ingeruhusu/Ingerahisisha sekta binafsi kuwekeza kwenye microhydropower dams na kuuza umeme locally

    Tanzania ina potential kubwa sana ya uzalishaji mdogo wa umeme wa maji. Hizi ni zile zinazoweza zalisha 5KW hadi 10MW. Utafiti uliofanyika unaonyesha mikoa kama Ruvuma, Rukwa, Njombe, Mbeya, Songwe, Kagera na zingine kwa kiasi zina potential kubwa sana za micro hydro dam, ni kama inafika 500MW...
  7. 2013 mlisema tunaanza kuuza umeme nje ya nchi. Je, tumeshafanikisha?

    Pia, soma https://www.jamiiforums.com/threads/tanzania-kuuza-umeme-nje-ya-nchi-kuanzia-mwakani.488637/ https://www.jamiiforums.com/threads/maajabu-tanzania-kutoka-kuuza-umeme-nje-ya-nchi-hadi-kununua-umeme-cheap-toka-ethiopia.1228928/
  8. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua magugu (nyasi), naombeni uzoefu

    Jamani wapendwa nataka kuanzisha biashara ya kuuza dawa za kuua nyasi kama vile round up kalachi nk. Naombeni mwenye uzoefu anipe faida na hasara za biashara hii. Asanteni sana
  9. V

    Natafuta kazi, nimesoma Bachelor of Finance na uzoefu mwingi

    Hello wanaforum naitwa richard nimegraduate degree ya finance university of dsm natafuta nafasi ya kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote nipate uzoefu Napatikana Dar Es Salaam Tanzania namba zangu 0657710078
  10. T

    Elimu ya Tanzania haiishi changamoto, NBAA sasa wameamua kuuza mitihani ya CPA

    Jana nilikuwa naongea na bwana mdogo anafanya mitihani ya wahasibu ya CPA mbayo inaanza jumanne. Bwana mdogo amefanya hii mitihani muda mrefu sasa jana namuuliza unamaliza lini mbona kila mara unarudia rudia, dogo akajitetea kwamba kutokana na shughuli zake huwa anakosa muda wa maandalizi vizuri...
  11. IRAN: Ni nchi pekee duniani watu wanaruhusiwa kuuza figo zao kihalali

    Unaambiwa! Ikiwa biashara ya viungo vya ndani vya binadamu bado ni haramu katika nchi karibia zote duniani, Iran ndio nchi pekee duniani inayotoa vibali na ruhusa kwa watu kuuza figo zao kihalali. Serikali huandikisha wanunuzi na wauzaji, kuwalinganisha na kuweka kiwango cha bei elekezi kwa...
  12. C

    Yatambue mafaza ya Simba SC yasiyogusika hata yakivurunda au kuuza mechi

    *manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni *Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana miaka 32 kama anavyosema *Wawa .... Hili ndilo kubwa la magodfather huwa halipendi kuruka kama goli...
  13. Lindi: Wakulima wa korosho wagoma kuuza bei ya hasara, Mkuu wa mkoa wasaidie Hawa wakulima

    LEOO NIMEANGALIA WAKULIMA WANAVYOLIA LINDI KUSA M ADA KUJA NA BEI ZA HASARA KABISA KAKUMBUKA .MENGI SANA WANANCHI WA LINDI MMENUFURAHISHA SANA WALIPOFIKA MNADAN WAKAKUTA BEI ZA AJABU WALICHO FANYA N KUGOMA NA KUAIRISHA . MNADA DC NA MKUU WA MKOA NAJUA UNALIJUA HILI NAMANI KUONA UKITOA NENO...
  14. CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  15. Tanzania nchi ya umeme wa bei chee zaidi EAC

    Tanzania yatajwa kuwa ndio nchi yenye umeme wa bei chee zaidi Africa mashariki || Rwanda yatajwa kuuza umeme bei ya ghali zaidi nchi za maziwa makuu, " Hakuna kama Samaia " Tanzania baada kutajwa kama nchi yenye gharama ndogo ya mafuta ya taa, Petroli na dizeli ukiilinganisha na nchi zingine...
  16. B

    Je, unatafuta Investors au Masoko Kuuza Bidhaa nje?

    Kama wewe ni mjasiriamali au mfanyabiashara na unatafuta wawekezaji wa ndani au nje ya nchi, karibu tukupatie ushauri na fursa ya kuuza wazo lako kwa wawekezaji. Pia ikiwa unatafuta masoko ya nje kwa bidhaa zako, pia tutakupa ushauri, muongozo na kukutafutia wanunuzi wa nje kwa bidhaa...
  17. SoC01 Biashara ya kuuza Matumaini

    HITAJI LA MATUMAINI LINAMEA Mwaka 2010 aliyekuwa Askofu mstaafu wa kanisa la kilutheri Tanzania (ELCT), marehemu Ambilikile Mwasapile alitangaza kuwepo kwa dawa inayotibu magonjwa yote ikiwamo magonjwa sugu kama Ukimwi, Kisukari, Kansa na Kifua kikuu dawa ambayo kwa mujibu wa maelezo yake...
  18. Mbeya: Watatu wakamatwa kwa kufanya Biashara ya kusafirisha Watoto wakafanye kazi za Majumbani

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwasafirisha watoto wenye umri wa miaka 10 na kuwapeleka kutumikishwa kazi majumbani, kilimo na ufugaji katika maeneo mbalimbali. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Urlich Matei amesema leo Septemba 7, 2021 wakati akizungumza...
  19. Tanzania tuna magenge ya kuuza Nyanya Somaliland wana magenge ya kuuza pesa za kigeni nyingi bila ulinzi wowote

    Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland
  20. Kenya yaendelea kuuza majani chai huko Afghanistan kwa Mataliban, mtajua wenyewe na maugomvi yenu

    Kunatisha lakini, ila binadamu walioko huko wanahitaji majani chai yetu, kikubwa sisi tutie ndani mkwanja...... ==================================== The Taliban takeover of Afghanistan is yet to hit the export of tea to that country as most of the commodity is still accessing Kabul through the...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…