kuu

Kullu–Manali Airport (IATA: KUU, ICAO: VIBR) (informally also called Bhuntar Airport) is an airport located in Bhuntar, Kullu in the Indian state of Himachal Pradesh. The airport is located 11 km from Kullu and 52 km from Manali.
Bhuntar is considered a challenging airport for pilots because of its single runway set in a deep valley whose peaks rise several thousand feet higher than the runway. Also, the airport is located on the banks of the river Beas, and in 1995, its flash floods posed a threat to the runway. The new air terminal at Bhuntar was inaugurated in 2008, and the airport apron enlarged to park two aircraft at a time. Kingfisher Airlines ceased operations in September 2012 while Air India Regional resumed its operations to Kullu in May 2013. Himalayan Bulls in collaboration with Deccan Charters has commenced Kullu-Chandigarh-Kullu flights thrice a day from 2 April 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Ushauri na maombi yangu kwa uongozi wa CHADEMA: ikiwezekana mkutano wa 'Baraza la Wananchi' Mbpwe asihudhurie

    Ni ushauri wangu na mawazo na maombi yangu. Kama itawezekana hiyo Septemba Mbowe asiwepo kwenye hicho kikao muhimu sana kwa mustakabali wa taifa letu. Ni naamini Mbowe bado ana chuki kubwa na viongozi wa CHADEMA wa sasa. Huyo mzee nawambia hashindwi kufanya figisufigisu kuvunja chama. Mkae nae...
  2. Tuhuma za ufisadi wa makamu mwenyekiti wa Chadema taifa, zazorotesha hali na mwenendo wa uchangiaji fedha kwaajili ya baraza kuu taifa Sept.15,2026.

    Wana chama wengi wa chadema, pamoja na wafadhili wa chadema wa ndani na nje ya nchi hawana tena imani na uongozi uliopo wa chadema kuhusu masuala ya pesa, na wala hawana uhakika wa ikiwa pesa watakazoichangia chadema zitatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa. Na, kwa mvurugano wa chini kwa chini...
  3. SI KWELI Kikwete atoa tamko kuu kwa TCRA kuifungia BBC swahili

    Ikiwa ni siku chache tangu chombo cha habari cha kimataifa cha BBC News kuchapisha makala iliyomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, zimeendelea kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa kauli ya kutaka...
  4. Huenda pakatokea mivutano ya kikatiba itakayopelekea fujo na vurugu katika mkutano wa Baraza kuu la CHADEMA taifa Septemba 15,2026

    Kuna kila dalili na uwezekano mkubwa sana wa kutokea mivutano ya kikatiba na kupelekea timbwili baya sana litakalo vuruga na kuchochea mkutano wa Baraza kuu la chadema taifa kuvunjika bila muafaka ikiwa sintofahamu ya ufujaji wa pesa za chama isipowekwa sawa mapema hasa kwa wenye dukuduku hilo...
  5. Padri Dkt Vicent Mpwaji Ateuliwa Kuwa Askofu Msaidizi Jimbo Kuu La Dar Es Salaam

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026. Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
  6. Maazimio ya kikao cha Kamati Kuu kilichoketi tarehe 30 Juni 2026 Sunset Vista Hotel, Kigoma Mjini

  7. Q

    Sijamwelewa Lema, anasema anasubiri maazimio ya Kamati Kuu, iwapo hayataeleweka atalazimika kujitetea binafsi

    Lema ni mjumbe wa Kamati Kuu Chadema, kwanini aseme atajitetea mwenyewe, kwani hakuwepo kwenye kikao, kwani maazimio ya KK ni ya kumtetea yeye au chama. Ina maana akijitetea atakuwa anajitetea kupinga maazimio au watu watakaomdharau. Kama kila mjumbe ataamua kujitetea kivyake haoni kwamba...
  8. Hizi tetesi kuwa wajumbe wa Kamati kuu Chadema wamehongwa ili kukisariti chama na kumeuka Heche na Lissu zina ukweli?

    Tetesi zimezagaa mitaani kuwa wapo wajumbe wa kamati kuu ya Cdm wamekula mlungula ili kumsaliti Lissu na Heche. Hii yote wanatala Chadema imeguke na msimamo wa Lissu na Heche uyeyuke Kama.ni kweli hatufiki mbali.
  9. A

    KERO Responded Daladala za Igawilo – Soko Kuu (Mbeya) zinaishia Kabwe badala ya kufika Soko Kuu, hiyo ni kero kubwa

    Kila siku asubuhi natumia usafiri wa daladala kutoka Igawilo kwenda katikati ya mji, jijini Mbeya. Kero kubwa tunayokumbana nayo ni baadhi ya daladala kutokufuata njia zilizoandikwa kwenye vibao vyao. Kwa mfano, gari lenye route ya Igawilo – Soko Kuu mara nyingi huishia Kabwe badala ya kufika...
  10. A

    KERO Madalali na wasambaza nyaraka wa mahakama kuu wengi kutokuwa na ofisi na maghara

    Habari, Hili limekuwa tatizo kubwa hasa kwa mikoa ya pembezoni kwa madalali wa mahakama kuu kutokuwa ma ofisi na maghara ya kuhifadhia mali wanazokamata. Hii ni changamoto kubwa kwani mahakimu wafawidhi wa mikoa wanapitisha watu wao wanaowapenda wao kwa maslahi yao kitu kinachopelekea madalali...
  11. TPA: Ada ya Uendelezaji wa Miundombinu ya Bandari kuanza kutekelezwa leo Julai 1, 2026 katika bandari zote za Bahari Kuu

    UTEKELEZAJI WA ADA YA UENDELEZAJI WA MIUNDOMBINU YA BANDARI Jumatano, 01 Julai 2026 DAR ES SALAAM Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inapenda kuujulisha Umma kuwa mnamo tarehe 1 Julai 2026, ada ya Uendelezaji wa Miundombinu ya Bandari (Port Infrustructure Development Fee -PID)...
  12. Ninaliona tatizo kubwa kwa kamati ya kuu ya ulinzi na usalama wa Taifa letu, HAYA matamko ya wanasiasa ni ushauri wao kweli? 29/10 mlikuwa wapi?

    Sijui ninayo yaona ndiyo mnayoyaona, ILA kiukweli simwamini Katambi, Wala simwamini mwiguru kama kweli Taifa lipo hatarini kuchafuka, km ni kweli kwanini hawakuona hatari ya 29/10/2025?
  13. SERIKALI KUU YA STRUGLE KULIPA WAZABUNI PESA HAITOSHI YAHAHA ISHIKE LIPI

    Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao...
  14. R

    Mbunge wa Upinzani Sigrada Mligo apiga kura ya hapana Bajeti kuu ya Serikali 2026/2027

    Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Mligo amepiga kura ya hapana kwa Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka 2026/2027 ambapo Idadi ya wabunge waliokuepo bungeni ni 393 ambao hawakuepo ni 8 , waliopiga kura ya ndiyo ni 385 na waliopiga kura ya...
  15. Car4Sale 2024 Land Cruiser LC300 ZX a.k.a Bajeti Kuu iko sokoni

    Bei/Price🏷️👉🏾 TSH 360M Call📞+255 747 999 927 LAND CRUISER LC300 ZX Year: 2024 Engine: 3.5L Mileage: 13,742Km Fuel Used: PETROL Transmission: AUTOMATIC ✅100% Duty Paid ✅Swap Deals Available ✅Zero Registration Cost ✨Adaptive Suspension ✨Twin-Turbo V6 Engine ✨Advanced Four Wheels Drive
  16. Tengeneza Mwili Imara: Faida Kuu. za Collagen Kwenye Ngozi, Viungo na Nywele Zako.

    Sababu Kuu za Kutumia Collagen Kila Siku Kurudisha Ustahimilivu wa Ngozi: Collagen hufanya kazi kama "gundi" inayoshikilia ngozi. Inasaidia kupunguza mikunjo, kuzuia ngozi kulegea, na kuifanya ionekane nyororo, yenye unyevu na ya ujana zaidi. Kuimarisha Viungo na Mifupa: Inasaidia kulinda na...
  17. Hivi kwa bajeti ya laki 7 naweza pata gari gani hata kama kuu kuu

    Naombeni mawazo nataka kumiliki ndinga nina laki 7.
  18. Changamoto kuu uwanjani

    Raha za pwani zinapokolea Hakuna dari na hawajafungulia mziki kumeza sauti..!
  19. DOKEZO Ukosefu wa Vifaa kwa Wapima ARDHI (land surveyors) ni sababu Kuu ya kuwa na gharama kubwa katika Upimaji Ardhi

    Mimi ni mmoja ya watu wanao amini katika ARDHI hasa zile ambazo hazijaendelea wengi hupenda kuita mapori au bush huko ndio mahali huwa napenda kutupia visent vyangu. sina tofauti na mtu anae bet kwa muhind maana unaweza nunua pori leo baada ya miaka kadhaa unakuja unaambiwa nusu ya eneo lako...
  20. A

    Mheshimiwa Shabiby Aifagilia Bajeti Kuu, ampa tano Waziri wa Fedha, Akiwatetea Bodaboda

    Wakati akiritirisha maoni, ushauri kwenye kuchangia Bajeti Kuu ya Serikali ya Mwaka 2025-2030, Mbunge wa Gairo kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby amesema kuwa, kwa mara ya kwanza mwaka huu (2026) ameona bajeti iliyo bora sana katika bajeti nyingi alizowahi kushuhudia. Mbunge huyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…