kutumika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vijana ,umasikini usiwafanye Mkatumiwa na CCM kwenye Maovu yao, Kwa CCM ukikubali Kutumika, ni kusaini Kifo chako Kwa siku zijazo !!

    Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃 Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
  2. PostGE2025 Kwa hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vilikubali kutumika CCM ibaki madarakani licha kuhatarisha raia na uchumi wa nchi?

    Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa. Jambo la pili...
  3. Tuorodheshe taasisi na watu wanaoungana kutumika kuhujumu nchi

    Hapa tunaweka kumbukumbu zote sawa . Tuwataje watu binafsi na taasisi zinazotumika kuihujumu Tanzania ili vizazi vijavyo viwakumbuke na kuwashughulikia
  4. M

    PostGE2025 Mababa Askofu msiwajibu Masheikh wanaotumikia mfumo, waoneeni huruma maana kula yao inatokana na wao kutumika

    Mababa Askofu. Nakuandikieni barua hii kuwaombeni kuwa msihadaike, msishawishike na wala msiingie msukumo wa kujibishana na masheikh wanaotoa matamko ya kuwashambulia. Hao masheikh wengi wanaowashambulia ni masheikh wa mfumo, wapo kimkakati, wapo kazini. 1. Kazi ya Masheikh hao ni kutumika...
  5. GE2025 BAKWATA yakana kutumika na Serikali

    Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Abubakar Zubeir amesema Baraza Kuu ya Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) itaendelea kusimamia maslahi ya Nchi ambapo ametoa wito kwa watanzania kuendelea kuwa wazalendo na Taifa lao pamoja na kuilinda amani. Mufti ameeleza hayo leo wakati akizungumza na baadhi ya...
  6. Jinsi ya kuwatawala Watu, Dini na Serikali kutumika vibaya

    Mifumo ya kidini inaingiliana sana na serikali, Kwa vile serikali inalipa wafanyakazi pesa mwisho wa mwezi basi na Makanisa yakaona kutoza fungu la Kumi kila mwezi huwenda ni tamaduni tumeiga kutoka kwa watu fulani, nafikiri fungu la kumi kutoa nikwa waajiliwa tu, kwa wafugaji sijajua inakuaje...
  7. Kwa anayefahamu naomba anifahamishe jinsi e sim inavyowekwa na kutumika kwenye simu

    Watu wengi wanaosafiri nchi za nje huwa wanashauri kutumia e sim unapokuwa a broad inarahisisha mawasiliano , mimi sifahamu lolote namna ya ku install na kuitumia , na je inafaida kweli ?
  8. Alianza Magufuli kufungia mitandao sasa ametuachia a beautiful playbook ambayo mpaka leo inatumika na itaendelea kutumika sana

    Katika mambo ambayo Magufuli alikuwa hayapendi ni uhuru wa vyombo vya habari mara zote alivichukia Alishawahi kutamka kwamba ingependeza malaika waje wafunge mitandao Tanzania na aliongea waziwazi usiniambie ni mtandao kwa sababu alitamka kwa kinywa chake Mwaka 2018 aliifungia jamiiforums kwa...
  9. P

    Kesi ya Lisu; naiona mianya ya kutumika na watawala

    Napata mashaka sana juu ya hii movie ,kwa muonekano na muda alioshikiliwa Lissu afya yake haisadifu mazingira anayosema yupo kwa wakati huu. Nikirudi nyuma maneno yaliyopelekea kukamatwa ni wazi hutegemei mtu wa level za ujuzi wa sheria kama Lissu ayatamke kwenye hadhara. Katika moja ya kesi...
  10. Artificial intelligence inaweza kutumika kutunza lugha,mila na destuli zinazotoweka Tanzania na kuzihifadhi

    Kuna baadhi ya mila, desturi na mila zinapotea kwa kasi, hasa makabila madogo. Mfano wachaga walikuwa na utamaduni wa kuchinja mnyama kisha zile nyama wakaziweka eneo la makaburi, asubuhi pakikucha wanaamini wazee wamekula kumbe mbwa wamepita nazo. Nashauri artificial intelligence itumike...
  11. Walimu acheni kutumika vinginevyo laana itawatafuna maisha yote

    Nasema na nyinyi walimu ambao kula Wali samaki kwenu ni anasa, mna maisha magumu ya kutupwa jalalani ila mnabaki kuiba kura za wananchi kwenye uchaguzi mkuu Tubuni kwa Mungu na naomba mwaka huu msijishirikishe kabisa na mambo ya uchaguzi vinginevyo laana itawatafuna. Ndio mana wengi wenu mna...
  12. Aliyesemwa kuwa amechanganyikiwa ni Mgombea wa CCM si Rais, Polisi acheni kutumika kisiasa

    Kama mgombea ameamua kugombea lazima awe tayari kukumbana na kila aina ya upinzani, Kujivua na kujivika kofia ya mgombea urais na hapo hapo Rais wa nchi, kisha unajivua na kujivika uamiri jeshi mkuu, Sidhani kama ni ushindani wenye usawa. Hii ni dalili ya uoga na hofu, kutumia nguvu kubwa dhidi...
  13. TFF: Uwanja wa Mkapa kutumika ufunguzi wa Fainali CHAN 2024, Uwanja wa Amani kutumiwa na kundi D

    Salaam Members! Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeutangaza uwanja wa Benjamin Mkapa uliopo Dar es Salaam, Tanzania kuwa mwenyeji wa mchezo wa ufunguzi wa Fainali za Mataifa Bingwa Afrika (CHAN2024) itakayofanyika Kenya, Tanzania na Uganda kuanzia Agosti 2, 2025, uwanja huo utatumika...
  14. PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  15. M

    Kwa nini wanaoondoka CHADEMA ni kwa staili moja na sababu zilezile. Ni usaliti au hujuma au ni kutumika?

    Nimekuwa nikifuatilia kuondoka kwa wanachama CHADEMA wote wasema sababu ya ubaguzi, uongozi wa kiimla au kunyanyaswa na hatimaye wakiondoka hawasemi waendako eti wote wanapumzika tu. Je mtu akisema wanatumika utasemaje? au u kaskazini au walizoea kutafuna tulitegemea kila mmoja na staili yake...
  16. S

    Ujumbe wa Mwabukusi kwenye mtandao wa X unaweza kutumika kuhakikisha aende Mbeya kwa kumfungulia kesi na kumuweka ndani

    Ule ujumbe wa vitisho wenye matusi ndani yake alioundika kwenye mtandao wa X, unaweza kutimika kama sababu ya kumkamata na kisha kumshitaki lengo ni kuhakikisha harudi mbeya. Kwa jinsi hawa watu walivyowaoga, wataona ni bora wamalizane nae mapema kabla hajafika Mbeya na njia mojawapo inaweza...
  17. K

    NINAISHAURI SERIKALI KWAMBA DARAJA LA KIGONGO -BUSISI LITAKAPOANZA KUTUMIKA KUWEPO NA TOZO

    Tumetangaziwa kuwa siyo muda mrefu Daraja JPM (Kigongo - Busisi) karibuni litafunguliwa na Mhe. RaIs wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Daraja hili limejengwa kwa gharama kubwa takriban Tshs.680bn. Watumiaji wa vivuko kwa hivi sasa wanalipa (1) Mtu mmoja Tshs.400 (1) Pikipiki Tshs.1,000 (3)...
  18. Nikiwa Rais kutakua na mradi wa kupunguza half-life ya nuclear waste

    Moja ya mambo yanayofanya inakuwa ni ngumu sana kutumia nuclear energy ni namna ya kuhandle waste zake, nikiwa Rais ntahakikisha tunakuja na solution yake kabla ya kuanza mradi wa kutumia nuclear energy Mfano wa nuclear waste na half life Plutonium-239 Caesium-137 Strontium-90
  19. Manyara: Bilioni 3 Kutumika Kuboresha Miundombinu ya Hospitali ya Manyara kwa Mwaka 2024/2025

    MANYARA: BILIONI 3 KUTUMIKA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA HOSPITALI YA MANYARA KWA MWAKA 2024/2025 Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amesema Serikali imejipanga kuboresha huduma za afya katika mkoa wa Manyara kwa kutenga Shilingi Bilioni 3 katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya...
  20. Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. Paskali
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…