kutawala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lengo la Serikali ni kuongoza Broken Families, kwani ni rahisi kutawala watu chokoraa wasio na familia.

    LENGO LA SERIKALI NI KUONGOZA BROKEN FAMILIES, KWANI ni RAHISI KUTAWALA WATU CHOKORAA WASIO NA FAMILIA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watibeli tunajua moja ya mbinu ya kimedani katika kutawala watu na Dunia kwa ujumla ni kanuni inayosema Wagawe uwatawale( Divide and Rules). Siasa za...
  2. R

    Mahakama Kuu Somali yatangaza kuwa Rais wa Somalia ni haramu, hana uhalali wa kutawala

    Habari ndiyo hiyo! Malawi vipi? Linawezekana? Hata Somalia wameizidi Malawi ambayo ni kama non existent State ===== Mahakama Kuu ya Somalia imetoa uamuzi kwa Rais Hassan Sheikh Mohamud kuongeza muhula wake kinyume cha sheria, na kuzidisha mgogoro wa kisiasa na mzozo kati ya urais na mahakama...
  3. W

    Je, Nairobi Inaanza Kugeuka Kampala? Boda boda Zinazidi Kutawala Taswira Ya Jiji

    Ukiwa katikati ya Jiji la Nairobi, hasa katika maeneo yenye shughuli nyingi za kibiashara, ni vigumu kukosa kuona makundi ya boda boda yakisubiri abiria, yakipita katikati ya magari au yakichukua nafasi kando ya barabara. Hali hiyo inazidi kuibua swali kuhusu mwelekeo wa usafiri katika jiji...
  4. J

    Watu Weusi na Waislam tunaenda kutawala Dunia, Wazungu na Wachina hawazaliani tena, wamechoka

    Hii ndio Hali ya Dunia inakoekekea. Japo ndio wavumbuzi wa teknolojia za kisasa zilizorahisosha maisha hapa duniani lakini kwa sasa hawazaliani tena. China, Korea na Japan ni karibia wazee tupu, baada ya vizazi viwili watakuwa wamepungua kwa zaidi ya nusu China wapo bilioni 1.4 sasa hivi ila...
  5. M

    Je Samia kutawala kama Mojtaba

    Kuna namna mambo hayako sawa, au kakikundi kadogo ndio kanashika nchi kama Iran
  6. C

    Hii timu licha ya kutawala soka la bongo,ina watu dhaifu na waoga sana.

    Timu iliyojaa mashabiki wanaotegemea uchawi na nguvu za serikali ni dalili za woga na kutojiamini katika mpira. Mashabiki wanamtukana mchezaji mmoja kwa ushirikiano na wadangaji wa kwenye mitandao huku wakimtisha eti timu yao ina watu na mkono mrefu hadi serikalini?!! Huku ni kuonesha udhaifu...
  7. Dada yangu kipenzi Rais Samia, bila kuwa sawa na CHADEMA utaendelea kutawala kwa tabu mno

    Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki Binafsi, kwa nia njema...
  8. E

    Muungano Huu Shaghalabaghala: Mzanzibari ni Mtanzania, ila si kila Mtanzania ni Mzanzibari

    Kumekuwa na kauli tata kutoka kwa viongozi wa Zanzibar kuhusu Muungano, wakionyesha ubaguzi wa wananchi kutoka Bara kupata huduma au kushiriki fursa za kiuchumi, hali inayozua maswali. Kauli hizo zimekuja wakati kukiwa na mjadala wa kwa nini raia wa upande mmoja (Tanzania Bara/Tanganyika)...
  9. Je dini ya shetani(satanism) inakaribia kutawala dunia?

    Maslahi ya mada: Mimi ni Mkristo mlokole lakini niliyebahatika kuisoma dini ya shetani na kuhudhuria ibada zao walau mara moja Dini zinazomwamini Mungu mmoja bado zina nguvu sana, mitandao mikubwa na wafuasi wengi duniani Hivyo basi hakuna ushahidi wa kisayansi, kisiasa, au kijamii...
  10. M

    Nawafundisha wanafunzi ukweli kuwa mamlaka ya kutawala yapo kwa Wananchi kwa mujibu ya Katiba yetu

    Samia amewekwa na wananchi? Ibara ya 8 ya katiba ya JMT inawapa wananchi mamlaka ya kuweka watWala. Rais Samia alishakataliwa na Wananchi. Yupo madarakani kwa nguvu za jeshi na polisi.
  11. Bora angeendelea kutawala Malkia tu sasa hivi nchi ingekuwa na maendeleo makubwa sana

    Wakuu Habari zenu? Bora angeendelea kutawala malikia maana waliochukua nchi na kuona wanaweza kujiongoza mpaka sasa wako kwenye kuangaika na vyoo vya kujisaidia baada ya miaka 64 ya uhuru kwa maana ya kwamba walikuwa hawajui haya mambo yalitakiwa ya fanywe miaka ya 90 huko? Au ndio wanaangaika...
  12. M

    Waafrika nimewakatia tamaa kwenye uongozi na maendeleo ya umma, Bado tuna damu za kutawala kichifu

    Muafrika ni mwanaharakati mzuri sana anapokuwa chini lakini akishapewa mamlaka ghafla mizimu ya kichofu humpanda. Mara ya mwisho kuona kunweza kuwa na matumaini ni kwa Raisi wa Zambia Hichilema nikasema hapa kuna matumaini ila kwa yanayoendelea nae kaanza kusulubu wanaompnga, Hapa kwetu siwezi...
  13. Samia katangaza kutawala kwa upanga, karipio kwaa TEC maana yake uhai wa Watanzania hauna maana kwake

    GT Hali ya sasa nchini tanganyika kwa ukatili samia inasikitisha hata Magufuli hakuwa na moyo mbaya kiasi hiki juu ya uhai na maisha ya watu. Sasa tunajiuliza anaongoza ili iweje kama hata uhai wa wale anaowaongoza haudhamini. Yupo pale kwa ajii ya nini? Kifupi katangaza vita upya na raia...
  14. Wanaoshabikia uchawa wajue uchawa ni ukosefu wa falsafa ya kutawala

    Kichwa cha habari kiko wazi. Unapokabidhiwa dhamana ya kuongoza, si kutawala wenzako, lazima uwe na falsafa ili ikuongoze katika kuongoza. Ukiondoa Mwalimu Nyerere, pamoja na mapungufu yake, alikuwa na falsafa ya uongozi tofauti na waliomfuata wakatawala bila falsafa. Ili kuongoza, lazima...
  15. kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza

    kuna mtu anajaribu kutawala kwa mwelekeo wa kikoloni yani mitutu ya bunduki utekaji na mauwaji kama wakoloni walikimbia wenyewe hatotuweza. Haya mauza uza mnayo yaona ni majaribio ya utawala wa kipumbavu, sasa sisi hatutokubali na hatuto tawalika na wapumbavu. tukutane #D9 tukinukishe
  16. JWTZ msiendekeze mazungumzo na Samia wala CCM. Tume ikimtangaza Jeshi la Uganda linaingia full force kumsaidia kutawala

    Nasema kwa mara ya mwisho. JWTZ msiendeleze mazungumzo na Samia wala CCM. Msikubali Nchimbi ndo awe Rais. Nchi hii haihitaji tena CCM kwa sababu wao ndo wametufikisha hapa. Wananchi hawawataki CCM wote sio Samia tu. Chukueni uongozi wa hii nchi kwa kipindi cha Mpito. Simamieni mchakato wa...
  17. CCM inaweza kuendelea kutawala?

    Kama Kuna wakati ccm imebanwa kutoka ndani ukiacha upinzani ni wakati huu. Mimi najiuliza kama wakiendelea namna hii na sioni kama wanaona hatari inakuja mbele yao. Je wakichukua Dola kama walivyokaza watatawala nchi ya aina Gani? Maana wamekataliwa kabisa na watanganyika na wanaforce kabisa...
  18. Usajili mpya Yanga baada ya kuwaona wachezaji uwanjani

    Rais wa Yanga Eng Hersi Said ni genius katika uongozi wa football Ni kiongozi Bora Taifa limepata Ameitengeneza Yanga imara sana Leo tazama wachezaji maingizo mapya 1. Mohamed Doumbia Huyu jamaa ni kama Pacome au zaidi ana akili ya mpira ameziba vyema pengo la Aziz ki 2. Andy Boyeli Striker...
  19. K

    Rais Samia anadanganywa, kutawala nchi kuanzia 2026 ni mzigo

    Hii nchi ya mitandao na Watanzania pamoja na kwamba wapo slow wamesha anza kugawanyika hasa vijana. Haitakuwa rahisi kama mnavyofikiria na tatizo sio chadema bali watanzania wamenadilika. Askari pekee hawatatosha
  20. Ccm inadumu kutawala kwa kukandamiza upinzani

    Ni miaka yote ila imejidhihirisha sana awamu hii kwamba tegemeo kubwa la ccm kuendelea kutawala ni kukandamiza upinzani. Suruhu ya hilo ni moja , nguvu ya Umma. Umma utakapokua tayari CCM ndipo wataondoka kwa nguvu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…