kutambua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Wadau wa tasnia ya teknolojia na viongozi nchini mnapaswa kutambua tunataka teknolojia zaidi sio mikutano zaidi ya kuzungumzia teknolojia

    Wakuu kwema, Nilikuwa LinkedIn huku na marafiki zangu kutoka india wa teknolojia, india ni nchi yenye talent wengi sana ila nilisikia billionaire wengi wanawekeza kwenye biskuti, na pipi badala ya teknolojia ikilinganishwa na china wao ni robotics ukija marekani wao ni Ai chips na artificial...
  2. L

    Kifungo Cha Lissu Kiwe Funzo kwa Vijana Wa CHADEMA na kutambua Hakuna Aliye juu Ya Sheria . Leo Lissu Yupo Gerezani Mwenyewe Na Maisha Yanaendelea.

    Ndugu zangu Watanzania, Nafikiri Kifungo cha Tundu Lissu Kitawaamsha Usingizini Vijana wa CHADEMA waliokuwa wanapenda sana Uropokaji mihemko kutukana Matusi na kutoa lugha chafu mbaya na hatari kwa Usalama wa Taifa letu. Walikuwa wanahisi pengine Sheria inaangalia sura ama cheo cha mtu kisiasa...
  3. M

    Haihitaji kuwa genius kutambua Lema hayuko sawa

    Lema hamna kitu mle. Jamaa ni mtupu sana kichwani. Maneno anayoongea aibu utaona mwenyewe. Jamaa anajisifia ujinga sana. Anamwambia Mange eti anahamasisha maandamano na haji kuwazika wanaouawa. Yaani yeye badala ailaumu serikali kwa mauaji anamlaumu anayehamasisha maandamo. Kwa hiyo Lema hajui...
  4. Sister Sarah ashinda Tuzo ya Kimaitaifa kutambua mchango wake katika sekta ya Afya

    Sr. Dkt. Sarah Kahumbya Deogratius, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kardinali Rugambwa nchini Tanzania, ametajwa kuwa mpokeaji wa Tuzo ya Else Kröner Fresenius ya Ushirikiano wa Maendeleo katika Tiba kwa kutambua kazi yake ya kuimarisha utambuzi wa kifafa na utunzaji wa watoto wenye ulemavu. Tuzo...
  5. Kisheria imekaaje serikali inapokataa kutambua kifo cha mtu?

    Tanzania tuna taasisi ya kiserikali ya RITA ambayo moja ya majukumu yake ni kutambua na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa na vifo. Kwa Tanzania na dunia ya leo, cheti cha kuzaliwa ni muhimu maana ndiyo msingi wa kwanza wa utambulisho wako kabla haujafika huko kwenye NIDA, leseni za udereva...
  6. Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA

    Jamii inapaswa kutambua kuwa, Kumshambulia Askari akiwa katika majukumu yake ikithibitika, Mahakama inaweza kukufunga MIAKA 5 JELA
  7. U

    Jamani hapa Vipi! Kutambua Cheupe(DAR) Vs Rainbow Gril(DOM), wapi Bomba

    Wale walevi , Leo tupo tena kwenye mchuano Kati ya maeneo haya mawili yanayowika dar es salaam na Dodoma, katika Nyanja za burudani, je Nani ni zaidi, hakuna maelezo mengi, chukua bia yako zimua utoe comment
  8. S

    Watanzania bara, ni lini mtaamka na kutambua kwamba mgogoro wa CCM dhidi ya CHADEMA ni wa kutengenezwa kuwagawa Watanzania bara?

    Nimetafakari sana matukio yanayoendelea Tanzania hivi karibuni. Kuna jambo moja la kutisha sana nimegundua. Ni kwamba haya mambo yanayoendela Tanzania, hususa kinachoonekana kama ni mgogoro wa CCM dhidi ya Chadema na suala la Katiba, ni mambo yalipangwa na yanaratibiwa ili kuwagawa Watanzania...
  9. Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe

    Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo. Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au...
  10. G

    Kitendo Cha mpina kuteuliwa kuwa majibu Waziri mkuu kivuli ni Ishara ya ACT kutambua serikali ambayo walisema haijacjaguliwa kihalali , tuwaeleweje ?

    Mijadala ya Act wengi walikiri uchaguzi haikuwa huru na haki Hadi Walifikia hatua ya kusema tume ilipodadilisha JINA ilipoteza uhalali kikatiba Sasa wanapoteua mawaziri vivuli Ili wasimamie serikali ipi Mpina amekuaje siku hizi
  11. M

    Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
  12. A

    Njia ya Kwanza ya Kutambua uwezo wa Kiongozi ni watu walio Mzunguka-Machiavelli

    This quote, often attributed to Niccolò Machiavelli in his work The Prince, argues that a leader’s wisdom is directly reflected in their choice of advisors and companions. A capable, honest circle indicates a smart leader, while sycophants suggest a weak one. Key insights from this perspective...
  13. Q

    Voice identifier Apps: Ni program zinazotumika kutambua sauti halisi na mtoa sauti hata kama haonekani.

    Sikutegemea kabisa kwa zama hizi kama serikali ingekuja na aina hii ya kuficha shahidi kwenye kiboksi cha plywood. Teknologia imekua sana huwezi kutumia kisanduku cha maboksi kumficha mtu, sauti yake ikirekodiwa inatosha kabisa kumtambua mtu anayeongea. Kuna programu nyingi za kutambua sauti...
  14. Kutambua Kama mtoto ni wako kwa kutumia Blood Group

    Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying. Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group. Iko hivi. Blood group ziko 4. A au AO B au BO AB (au A na B) O Zinaweza zikawa positives au rare case negative blood group. (Rhesus factor) Kila mtu anabeba...
  15. Gerson Msigwa anatakiwa kutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM

    Leo nimemsikia Gerson Msigwa akiwa kwenye chombo Cha habari kimoja wapo anadai Mh RAIS Samia ameishatoa bilioni 200 kwenda kwa vijana Anachotakiwakutambua kuwa Serikali za awamu zote zimekuwa zikitoa fedha kwa vijana ila zinaliwa na UVCCM na vibaka wengine ndugu wa madiwani na wabunge feki wa...
  16. Oktoba 29 inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini

    Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini. Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa hali zote, nime mwaga machozi kwa kutambua kuwa watanzania walikufa kwa kunipigania mimi na wewe...
  17. Ungependa kujua namna ya kujikinga au kutambua kama kuna uchawi dhidi yako?

    Placebo Effect: Mtu anaweza kupata matokeo kwa sababu anaamini yatatokea, si kwa sababu ya uchawi wenyewe. Self-Fulfilling Prophecy: Imani kwamba umelogwa inaweza kukufanya uwe mgonjwa au mkosa amani—siyo kwa sababu umeathiriwa moja kwa moja, bali kwa msongo wa mawazo. b) Ushawishi wa...
  18. Wakuu kuna ambae anaweza kutambua aina ya mti huu.

  19. SHIDA KUU YA WANAWAKE SIO KUSIKIA N KUTAMBUA

    SHIDA KUU YA WANAWAKE SIYO KUSIKIA — NI KUTOKUJUA KUTAMBUA SAUTI SAHIHI. Wanawake wengi wana sikio la kipekee la kiroho — wanaweza kusikia. Lakini changamoto yao kubwa ni kutotofautisha nani anayeongea. Sauti ya mwanaume ikija kwa upole, kwa maneno matamu na ahadi nyingi, anasikia — lakini...
  20. Urusi imekuwa nchi ya kwanza kutambua serikali ya Taliban ya Afghanistan

    Urusi imekuwa nchi ya kwanza kuutambua rasmi utawala wa Taliban, huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan Amir Khan Muttaqi akiuita uamuzi wa "ujasiri". Alikutana na balozi wa Urusi nchini Afghanistan, Dmitry Zhirnov, mjini Kabul siku ya Alhamisi, ambapo Bw Zhirnov aliwasilisha rasmi uamuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…