kurudisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    PostGE2025 Serikali inapambana kupita KIASI kurudisha nchi kwenye ukawaida

    Ni kama mambo mengine yote yamesimama Serikali imefocus Katika kupambana na Gen Z na wanaowatuma Wasiwasi wangu ni kwamba endapo tulikuwa salama na tunakopesheka lakini tupo duni kiuchumi. Je hivi Sasa ambapo hatukopesheki na tunatumia fedha nyingi kutuliza fujo tutakuwa na Hali...
  2. PostGE2025 Je, hatuhitaji kurudisha utaratibu wa Rais kuhutubia Taifa kila Mwezi? Muunganiko Kati ya Serikali Kuu na Wananchi Umekatika

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia pengo linalozidi kupanuka kati ya Serikali Kuu na wananchi wa kawaida. Pengo hili halijatokea kwa bahati mbaya—limejengwa taratibu kutokana na kukosekana kwa majukwaa ya wazi ambayo yanamwezesha kiongozi mkuu wa nchi kuwasiliana moja kwa moja na watu...
  3. PostGE2025 Uteuzi wa Mawaziri na Viongozi wengine utakavyopunguza hasira za Watanzania na kurudisha imani hata robo kwa Rais Samia

    Inafahamika wazi kabisa watu wengi hawaitaki hata kuisikia Serikali iliyopatikana baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 na kumsimika Rais Samia hali iliyopelekea maandamano yaliyosababisha maumivu makubwa. Kama Rais Samia anataka utulivu hata wa asilimia 10 tu basi wafuatao asijaribu hata kwa...
  4. M

    Asanteni kwa kurudisha huduma za Internet

    tulipata tabu sana kupata taarifa. RIP waliopoteza maisha katika maandamano ya amani
  5. Jana nilianzisha vurugu nikapigwa. Nifanyeje kurudisha heshima? Leo sijatoka ndani

    Jana ilikua siku yangu ya tatu Kupiga Pombe, mara mbili zilizopita nilijaribu nyumbani... Nikatoka na mshkaji, mda wa kurudi nikawakuta jamaa flani kijiweni ndio nikaanza kuwachokoza (mashuhuda wanadai nilikua nawapiga piga mateke huku nikiwaambi nina mda sijapiga mtu), niliyekua naye anasema...
  6. J

    GE2025 Kurudisha fomu kwa Samia bado kitendawili

    Kwa muda sasa Watanzania wameshuhudia wagombea mbalimbali wakichukua na hata kurudisha fomu zao za kugombea urais kupitia vyama vyao. Lakini jambo la kushangaza ni ukimya mzito ndani ya CCM kuhusu lini Mwenyekiti wao na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atarudisha...
  7. GE2025 CHADEMA imeaminisha watu kuwa Act-Wazalendo ni CCM 'B'

    Akizungumza na kituo cha redio cha East Afrika leo Agosti 18, 2025, Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana katika kujaribu kuuaminisha umma kuwa ACT ni CCM ‘B’ jambo analosema si la kweli bali ni propaganda ya kisiasa. Chanzo...
  8. Trump asema atajaribu kurudisha eneo la Ukraine katika mazungumzo na Putin

    kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo. "Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari...
  9. Kazi anayoifanya Malisa Gj ya kurudisha tabasamu kwa jamii , ni kazi kubwa sana ambayo hakuna waziri wala Mbunge ambaye ameweza kuifanya.!.

    Vijana Kama hawa ni hazina kwa TAIFA , kwakuwa ukihesabu watu waliosaidiwa kupitia kwa Malisa GJ hawahesabiki. Huyu ni zaidi ya Mbunge na waziri
  10. Wakili Mashaka Ngole aibwaga ACT Wazalendo Mahakamani, akiwakilisha Chama cha Cuf katika kurudisha jengo la ofisi lililoporwa huko Kilwa.

    THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi-Cuf CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE). Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na...
  11. No reforms no election ni mkakati wa kurudisha mamlaka, maamuzi, heshima kwa wananchi

    1. Wananchi ndio waamue kiongozi wanaye mtaka, tofauti na sasa ambapo kura ya raia haina thamani 2. Wananchi ndio wawe sauti ya mwisho kwenye maamuzi 3. Lipatikane bunge lan wananchi litakalo isimamia serkalo na siyo bunge serikali 4. Chaguzi zetu ziwe na mashiko na sio za bora lipite...
  12. CCM kurudisha Imani vizazi vya namna hii ni kazi kubwa

    Ilikiwa video na mabaya zaid nipiga kura mahiri wakinamama Hawa wanawake wameamua kutoa kama tangano sasa hapa ni ngumu kuwapa Imani na chama tena. https://www.instagram.com/reel/DILfS7shYyA/?igsh=MXV1dnQyc2FtbWR6cA==...
  13. L

    Maombolezo ya Jamii Iliyopotea: Wito wa Kurudisha Haki na Utu kwa watanzania

    Ni kweli kwamba tumepoteza wengi—marafiki, ndugu, na binadamu wenzetu—kwa mateso, mauaji, na kupotezwa bila haki. Ni picha ngumu sana kuona jamii ikizidi kuangalia mambo ya msingi kama burudani na mapenzi, huku haki, utu, na thamani ya maisha zikidharauliwa. ni kama tumelala usingizi wa pono...
  14. H

    Jinsi ukristo ulivyochangia kurudisha nyuma maendeleo ya Afrika?

    Kwa hivyo hii ina uhusiano gani na Ukristo barani Afrika? Wamishonari wa kwanza wa Kikristo barani Afrika walikuwa na silaha na vitu vitatu BUNDUKI yenye nguvu ya mabwana wa wakoloni ,muujiza wa DAWA za kisasa (wakati huo) na BIBLIA. Wamishonari wengi wa kwanza walikuja kama madaktari na...
  15. Baada ya CHADEMA kususia uchaguzi, Luhaga Mpina ameanza kurudisha utii kwa CCM

    Luhaga Mpina alikuwa na mpango kuhamia chadema akagombee Ubunge huko. Hata hivyo kitendo cha chadema kugomea uchaguzi kimemvuruga. Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Sasa amerudisha majeshi CCM na kuanza...
  16. Tumefanikiwa kurudisha tabasamu Lililopotea toka 2012!

    Wakubwa habari Leo tulipata Ugeni offisini kwetu Kutoka kwa Mtu Wa JF akisema Ameona tangazo la huduma zetu humu Hivyo Tukampokea alieleza shida yake aweze kutatuliwa ( Mapengo Kinywani kwa kukosa meno ) Hivyo Faida za kuweka Meno bandia .Utaweza Kutafuna chakula Vizuri . Utaweza Kujiamini...
  17. Naomba msaada wa kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba yake ilipotea

    Wakuu naomba mnijulishe jinsi ya kurudisha akaunti ya watsApp ambayo namba ya simu iliyotumika kutengenezea kwa mara ya kwanza ilishapotea hivyo wakati wa kufufua akaunti codes zinaingia kwenye namba iliyopotea. Najua huku Kuna IT's mahiri ambao ni watundu kwelikweli, basi naomba wafanye huo...
  18. Najua ni suicide mission, ila nimeamua kurudisha mbegu za asili shambani

    Imekuwa ni agenda na mpango wa siri ili kuepuka vikwazo vya kimamlaka at early stage ila mpango unaenda sawa na hapa ulipo no turning back. Ni muda sasa tangu mbegu zetu za asili kupotea katika mzunguko baada ya mamlaka kuchezewa akili kwa kujua au kutokujua na kuruhusu wazungu kuteletea mbegu...
  19. Nimekubali kurudisha muamala wa mpesa kiasi cha shillingi 1.4M uliotumwa kwenye namba yangu kimakosa

    Habari wana jamvi Jana jioni mida ya saa 12 katika mtaa mmoja ninaoishi nilikuwa nimekaa na washikaji zangu tukibishana kuhusu kanuni za mpira baada ya bodi ya ligi kuahirisha mechi ya watani wa jadi simba na yanga Simu yangu mfukoni ika,vibrate kuashiria kwamba kuna sms imeingia, sikuifungua...
  20. R

    ikitokea ukapata nafasi ya kurudisha nyuma muda ukiwa na miaka 20, ni vitu gani usingerudia kuvifanya

    Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa shida kama ningepata mkopo ila nikizifikiria milioni 12 za wazazi naumiaga, nimejipata nje kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…