kurudisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. China wanataka kurudisha teknolojia ya CD, VHS na Kanda za mziki

    Sijaelewa wanataka kurudisha kwa mtindo gani. Ila kwa teknolojia ilipo sasa naona kuna kitu wameshaona mbali haki kazi(copy right) zina potea kwa mtindo wa internet. Wajuzi wa habari za huko hii imekaaje.
  2. K

    Nawezaje kurudisha images, Videos and Documents Zilizofutika !?

    Wakuu Habari za Uzima, Dogo Amemaliza Form 4 Nikampatia Simu yangu ya zamani aitumie kwa Muda wakati Tunasubiri apate Simu Yake, Sasaa Yeye akaenda kui'frash Simu Yote Akafuta Picha na Documents Zangu Zote , Kiukweli Nimeumia Sana ila Nitafanyaje sasa na ndo Mdogo Wangu....!!! Sasaa Wakuu...
  3. Wanasayansi wa Harvard wagundua kemikali zinazoweza kurudisha nyuma uzee wa seli za binadamu – Je, siku moja tutakuwa na kidonge cha kurejesha ujana?

    Sasa watafiti wanachunguza uwezekano wa kutumia kemikali badala ya kuingiza jeni kwa njia ya tiba ya vinasaba (Gene Therapy). Sababu ni kwamba kemikali zinaweza kuwa rahisi zaidi kutengeneza na kutoa kama dawa kuliko tiba inayohitaji kuingiza jeni mwilini. Maana ya kisayansi: Je, kweli uzee...
  4. Niffer, Dada mwenye ushawishi mkubwa; je, ataweza washawishi vijana kurudisha mahaba kwa CCM?

    Huyu dada wanasema ana influence kuliko kiumbe yoyote kwa Tanzania currently. Japo sina hakika na ili. Kwa sasa anafanya kazi ya Samia na CCM. Yupo kwenye kandarasi ya kusaaaulisha mauaji ya October 29. Je ataweza shawishi hao gen zero wawe na mahaba na CCM? Au kazi hii inaweza kumgharimu...
  5. Rais anayekuja kazi yake kubwa iwe kurudisha nchi kwenye uchumi wa kati

    Benki ya dunia na IMF mwaka 2019 viliitangaza Tanzania kuingia uchumi wa kati baada ya maboresho makubwa ya kiuchumi yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano iliyokuwa ikiongozwa na hayati Magufuli na Makamu wake Samia. Serikali ya awamu ya tano ilifikia hayo mafanikio ya kuingiza nchi uchumi...
  6. Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Nimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza. Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha nywele? Je, kuna natural remedies (tiba au vyakula vya asili yenye kusaidia kurudisha nywele...
  7. Afghanistan: Taliban yaomba kurudisha uhusiano na Marekani.

    Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imezialika kampuni za Marekani kuwekeza katika rasilimali kubwa za madini za nchi hiyo, huku ikitaka Marekani kupunguza vikwazo vya kiuchumi na kuachilia fedha za Afghanistan zilizogandishwa. Waziri wa Mambo ya Nje wa Taliban, Amir Khan Muttaqi, amesema...
  8. G

    Upasuaji wa Tezi Dume Ukisaidiwa na AI Unavyowasaidia Wanaume Kurudisha Hali Yao ya Kawaida ya Maisha

    Mkisukumo wa maji wa kiroboti ukisaidiwa na AI (Akili Mbandia) unawasaidia wanaume waliovimba tezi dume kurejesha ubora wa maisha yao, huku mgonjwa mmoja akisema matibabu hayo yamempa "maisha ya kawaida tena." Hospitali ya General ya Cheltenham imekuwa kituo cha umahiri katika eneo la kusini...
  9. V

    Jinsi ya kufuta qualifications ajira portal

    KWENYE mfumo kwa upande wa elimu ya chuo NK hasa kuna sehemu imeandkwa REQUEST REMOVAL use it kama uliweka qualifications wrongly
  10. Nakupongeza RC Chalamila kurudisha mabasi ya mkoani Mbezi Magufuli, bado hili la malori!

    1. Nianze hii sledi pendwa kwa kukupongeza RC Chalamila kwa hatua ya kurejesha mabasi ya mikoani katika eneo la Mbezi Magufuli. Ni hatua nzuri katika kupunguza msongamano na usumbufu kwa wakazi wa Dar es Salaam. 2. Sasa tuangalie tatizo jingine kubwa: malori na ICDs zilizo ndani ya jiji. 3...
  11. Kuna kisa cha ajabu sana; Baada ya kunikopesha na kurudisha kwa wakati niripo rudi tena kukopa kagoma kabisa na kunipa sababu.

    Kuna jamaa yangu kanisumilia kisa ambacho nimeanza kufikiria hizi tabia za watu wa mikopo. Jamaa alipata changamoto kwenye biashara zake. Muda wa kupata pesa kuziba changamoto ulikuwa mdogo sana ikabidi kwenda kwa hawa wenye kukopesha haraka ukiweka mali. Jamaa akaweka nyumba bond na kupewa...
  12. M

    Kamwe, usijaribu kubet ili kurudisha fedha uliyopoteza, tulia kwanza, vinginevyo Muhindi atakufurahisha

    Kamwe, usijaribu kubet ili kufidia hasara uliyopata kwenye beti ya kwanza Moja ya makosa makubwa ambayo bettors wengi hufanya ni kujaribu kurudisha pesa waliopoteza kwa kubet tena haraka. Hali hii, inayojulikana kama kufukuza hasara (chasing losses), mara nyingi huanza kama wazo la kufidia...
  13. Matumizi ya zaburi Dr. Dogoli Kinyamkela 💀 ☠️ 1. Kwa kurudisha mabaya kwa aliyetuma (“Back to sender”)

    MATUMIZI YA ZABURI Dr. Dogoli kinyamkela 💀 ☠️ 1. KWA KURUDISHA MABAYA KWA ALIYETUMA (“Back to Sender”) Soma Zaburi 51 mara moja na Zaburi 35 mara tatu kwenye maji. Kata kijiti kimoja cha ufagio vipande vitatu na uviweke ndani ya maji hayo. Kisha kunywa kiasi kidogo na uoge kwa maji hayo kwa...
  14. Kurudisha Aliyekuacha Wakati wa Shida: Kujisaliti?

    Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka. Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe. Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi kigumu cha mwanaume. Kipindi cha kujijenga. Kipindi cha uncertainty. Kipindi ambacho maisha bado...
  15. Shout out kwa Seran, Masai Dada, shesRise, Marry Diana na Win-one kwa kurudisha girl power jukwaani na kuchangamsha kijiwe. Feminime ilikuwa poa sana

    Mara ya kwanza nilijuwa ni mtu mwingine anatuchezea but hey kumbe warembo wamerudi kwa kasi baada ya kupoa muda mrefu. Tulisongeshe.
  16. Napinga pendekezo la tume ya Jaji Chande la kurudisha na kurasimisha mfumo wa nyumba kumi, haufai

    Jaji Chande katika mapendekezo yake ya kuimarisha usalama na uzalendo alikuwa anaongea mambo ya ajabu ajabu sana ikiwemo kuhakikisha vijana wote wanaenda JKT na kurudisha na kuimarisha mfumo wa nyumba kumi. Sababu alizozitoa ni za ajabu sana , zisizo na mashiko kama sio za uongo, kwamba eti...
  17. K

    Hatuwezi kurudisha Tanzania moja kwa uchawa! Ukweli pekee ndiyo njia

    Ukweli pekee ndiyo njia ya kutoka kwenye hili shimo. Hawa machawa, walioko masarakani msiwalaumu ni shetani anawatumia na tutashinda tu. Hawawezi kuwa watu wa kawaida wakafanya madudu kwa kiasi hiki ni mashetani tu. Sasa tuweke imani mbele na tuwndelee kukaza hivi hivi
  18. Mh.Rais Samia nakushauri utekeleze yafuatayo kurudisha Imani ya watanzania katika Serikali yako

    1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
  19. Mwanamke wa kiislamu alivyorudisha mamilioni aliyookota

    Kuna Taarifa kuhusu mwanamke Muislam kutoka Lapai, Jimbo la Niger, Nchini Nigeria anaeitwa Hajiya Aisha Isah Yelwa ambaye alirudisha Naira milioni 330 zilizo ingizwa kimakosa kwenye akaunti yake ya benki Kwa Ufupi ni kwamba Aligundua kiasi hicho kilichopokelewa bila sababu ya dhahiri kwenye...
  20. Mtibeli na Haya Land , acheni kurudisha harakati Nyuma za kupambani haki

    Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini. Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha . Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa. Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika kirahisi Hayaland na Mtibeli mjitafakari sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…