Rúben de Almeida Barbeiro (born August 21, 1987 in Leiria), better known by his stage name KURA, is a Portuguese electro house DJ and record producer. Kura has released tracks through labels such as Hardwell's Revealed Recordings, Flashover Recordings, Musical Freedom, and Spinnin' Records, among others.
https://youtu.be/KuUO1ItbOUU
Habari zenu Wana-JF.
Mara nyingi kukiwa na mjadala wa kiuchumi Afrika Mashariki, ubishi unakuwa kati ya Tanzania na Kenya. Lakini vipi tukiziweka nchi tano za Afrika Mashariki (Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, na Burundi) kwenye mizani moja kwa kutumia takwimu za...
Uchaguzi mkuu wa Israel uliofanyika mnamo Oktoba 27, 2026, umeacha taifa hilo katika sintofahamu kubwa ya kisiasa baada ya matokeo ya mwisho ya Kamati Kuu ya Uchaguzi (CEC) kuthibitisha kuwa hakuna upande uliopata ushindi wa wengi. Uchaguzi huu, ambao ulikuwa wa kwanza tangu mashambulizi ya...
CCM wanadhani watu wanaopiga kelele kudai mfumo mpya wa uchaguzi wanafanya hivyo tu kwa ajili ya madaraka ila hawatambui kuwa mfumo wa sasa wa uchaguzi na hata muungano wenyewe upo hatarini sana.
Kesho anaweza kutokea mtu mwenye ushawishi mkubwa kisiasa akagombea nafasi ya Urais. Mtu huyo...
Wakili Peter Madereka, kuna swali ambalo kifungo cha Tundu Lissu hakiwezi kulijibu. Jamhuri iliiambia Mahakama Kuu kwamba kauli za Lissu ziliwashawishi baadhi ya watu kuvuruga uchaguzi. Sasa wananchi wana haki ya kuuliza jambo la msingi.
Ni vituo gani viliathirika, wapiga kura gani walipoteza...
Dunia nzima inalipia gharama ya vita walivyovianzisha Trump na Netanyahu dhidi ya Iran. Gharama za maisha zimepanda duniani kote kwaajili ya Trump kumlinda Netanyahu na bahati nziri watote wamepata pigo kwenye chaguzi zao za hivi karibuni; wameshindwa kupata wingi wa wabunge na masenata.
Mungu...
Uchaguzi ulipokuwa unakaribia, joto la kisiasa lilizidi kupanda mitaani. Wanasiasa walikuwa tayari kufanya mambo ya kushangaza na yasiyowazika ili kujipatia kura za wananchi.
Katika video hii, mwanasiasa mmoja mwenye hamu kubwa ya ushindi alifika mtaani akiwa amejipamba kwa mavazi ya chama chake...
Picha mbali mbali zikimuonyesha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, Leo tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino.
Uchaguzi huo...
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipiga kura kwenye Kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 04 Novemba, 2026 katika Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Chamwino. Uchaguzi huo unafanyika kufuatia aliyekuwa Mbunge...
Kweli tume yetu ya uchaguzi hamna la kujifunza?
Within hrs. Matokeo yote yametoka!
Hawajaiba maboksi ya kura wala kuua watu.
Njooni hapa mtutawale mpaka tutakapokuwa WATU. SISI BADO MANYANI
Wanaukumbi.
🚨🇺🇸 WADEMOKRASIA WANAONGOZA KATIKA MAENEO YOTE 7 YENYE USHINDANI MKALI KWA AJILI YA SENETI YALIYOONESHWA HAPA
Michigan: D+11
Texas: D+7
Maine: D+6
Ohio: D+6
Kansas: D+5
Alaska: D+1
Iowa: D+1
Grafu hiyo inaonesha uwezekano wa Wademokrasia kuongeza idadi ya viti vyao vya Seneti...
Mambo yamekuwa moto katika Kaunti ya Kisii, haswa baada ya video kuibuka ikimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Nyaribari Chache, Hon. Zaheer Jhanda, akiwa katikati ya vumbi akifanya mambo yake mtaani. Kwenye video hiyo iliyosambaa kwa kasi, Mbunge huyo anaonekana akigawa pesa taslimuhasa noti za...
Mwanzoni mwa mwezi huu Ballon d'Or walitangaza kuja na tuzo za B.O.A.Y (Ballon d'Or of all time)
Hii ilikuwa inawahusu wachezaji ambao walichukua tuzo za Ballon d'Or kwa zaidi ya mara mbili.
Ballon d'Or wakaweka mfumo huru kwa kila mtu kuweza kumpigia kura mchezaji ambaye alikuwa na msimu...
Huyu jamaa alikuwa anafanya real estate, kuuza viwanja ametapeli watu wengi sana hapa Daressalaam.
Na pia ana chuo cha udereva kinaitwa Essence Driving School amekuwa akikitumia kutapeli watu kuanzia wafanyakazi wake , Wanafunzi n.k
Mpaka Sasa hapa NIT sisi Wanafunzi ametutapeli pesa za...
Piga kura kwa usalama! 👑✨
Unapomuunga mkono mshiriki wetu wa Miss Grand International, hakikisha unatumia viunganishi (links) rasmi pekee ili kupiga kura, na usitoe taarifa zako binafsi kama vile nywila au OTP
=====
Najiuliza hivi hii ndio kazi ya mamlaka hii? Nilidhani Wizara ya habari...
Wakuu hiki kitu naona kinatrend mtandaoni ila mimi nimeshindwa kuelewa kabisa kwanini tulipie kura Tsh 2800. Sijui ni ubahili wangu au vipi ila akili yangu imegoma kabisa kukubaliana na hili. Naona kampeni ni kubwa ikiwa na baraka zote za serikali kulipia hizi kura ili miss wetu ashinde Miss...