kupoteza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni Wendawazimu kujificha kwenye Kichaka Cha Dini. Ni kupoteza Uelekeo na kufunika Kichwa Ardhini Ukidhani wenye akili Hatukuoni

    assalaam alaikum wa rahmatullahi wabalakatuh... huu naandika nikiwa nimekasirishwa na matukio ya watu kadhaa kuamua kujificha katika dini ili kudendeleza tabia cao chafu za njaa, unafiki na chuki. ni aibu kuwa sasa hivi kama Mtu atamkosoa Rais Samia itadaiwa ni sababu ya Dini yake. Huu ni...
  2. N

    Selfom Ya TAMISEMI haina maana yoyote ni kupoteza muda tu

    Binti angu machaguo yote alijaza CBG chakushangaza amechaguliwa HGL kombi ambayo hakuchagua kabisa wala kuijaza sasa nini maana ya kujaza selfom?
  3. UK na US waanza kupoteza askari Ukraine wakati Urusi ikikazia kutumia Nyuklia

    Msemaji mkuu wa chombo cha habari cha Urusi RT bi Margarita Simonyan, amesema wakati mataifa ya Nato yakitafuta kuishinda Urusi katika vita lakini wajue kuwa Urusi haitakuwa na njia nyengine isipokuwa kuangamiza sehemu iliyobaki ya Ukraine kwa sialaha za nyuklia. Wakati huo huo Marekani na...
  4. T

    Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda na Gharama

    Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Marekani ni sahihi kabisa ila kuzindua Filamu Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam ni kupoteza muda. Kama serikali ilikua serious ilipaswa filamu hiyo baada ya kuzinduliwa Marekani, ikazinduliwe Ulaya na Kisha Asia kama Japan, China, South Korea, Malaysia...
  5. Kuendelea kujipa matumaini kwa historia kwamba tuna akili kuliko wazungu ni kupoteza muda.

    Pichani ni Eiffel Tower huko Paris, Ufaransa kwa picha ya mwaka 1900 na 2017. Picha inajieleza jinsi gani wazungu walikuwa mbele sana kimaendeleo. Kama unabisha tafuta picha ya Dar es Salaam ya mwaka 1900. Mimi nadhani tuachane na historia za kusema tuna akili kuwazidi wazungu. Huko ni...
  6. Watu 200,000 hatarini kupoteza ajira Urusi kutokana na vikwazo

    Meya wa Jiji la Moscow Nchini Urusi, Sergei Sobyanin amesema kuwa takriban wafanyakazi 200,000 wa makampuni ya kigeni wanakabiliwa na hatari ya kupoteza ajira zao kutokana na vikwazo ilivyowekewa Urusi kufuatia uvamizi wake kwa Ukraine. Sobyanin amesema wiki iliyopita, mamlaka iliidhinisha...
  7. Ushawahi kupoteza kitu cha muhimu wakati ulipokuwa unakihitaji sana?

    Salaam wakuu, Je, ulishawahi kupoteza kitu cha muhimu sana wakati ulipokuwa unakihitaji sana? Mimi ilinitokea 2013, nilisafiri kwa mara ya kwanza kwenda Mwanza, nilikuwa na mwenyeji wangu aliyekuwa ananisubiria, yeye alikuwa eneo linaloitwa Magu. Tuliwasiliana hadi nafika nyegezi, huku...
  8. Wanajeshi wanane wa kulinda amani wa UN wathibitishwa kupoteza maisha DRC

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limesema waasi wameiangusha helikopta ya Umoja wa Mataifa mashariki mwa nchi hiyo. Takriban watu wanane walikuwa kwenye ndege hiyo iliyodunguliwa wilayani Rutshuru katika jimbo la Kivu Kaskazini. Sita kati ya waliofariki walikuwa wanajeshi kutoka...
  9. Kimara Suka, Dar: Watu wawili wamefariki na nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha magari matatu

    Picha: Sehemu ambayo ajali imetokea Watu kadhaa wahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia ajali ya lori lililovamia kituo cha daladala cha Kimara Suca jijini Dar es Salaam leo Januari 28, 2022. Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Polisi Usalama wa Barabarani Taifa, ACP Abdi Isango ndiye aliyefika...
  10. Ngorongoro hatarini kupoteza uhai na umaarufu wake kutokana na kukithiri kwa shughuli za binadamu

    Mtandao wa DarMpya Media umeripoti makala fupi inayoonyesha hali ya Hatari ya kutoweka kwa hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro kutokana na kuingiliana kwa kasi kubwa baina ya binaadamu, mifugo, uhifadhi na wanyama pori. Katika Makala hiyo fupi Dar mpya ambao wamerejea andiko la Gazeti la...
  11. E

    Kuweka anwani za makazi kwenye makazi holela ni kupoteza fedha

    Ukienda jijini Mwanza ukipita kwenye makazi holela unakuta vibao vimewekwa eti anwani za makazi, huku ni kupoteza pesa yetu bure. Unapita kwenye njia zilizochangamana mara umeibuka junction moja kimewekwa kibao cha anwani ya makazi. Ushauri Anzeni kwa kutuwekea mitaa inayoeleweka tumieni hizo...
  12. Huyu Jamaa Kabakiza Siku Chache Kupoteza Uhai. Hatari Sana...!

  13. Ripoti: Kuna uwezekano wa Serikali kupoteza Mapato ya TZS 265.85 Bilioni

    Kutokana na udhaifu katika mifumo ya ukusanyaji wa mapato, kuna uwezekano mkubwa wa Serikali kupoteza TZS 265.85 bilioni kutokana na vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu. Katika Serikali Kuu, kumekuwa na ongezeko la upotevu wa mapato kutoka TZS 7.70 bilioni kwa mwaka...
  14. S

    Kwa viongozi wa nchi hii, kuomba mvua ni kupoteza muda tu

    Wananchi wanalia kila kona nchi hii kuhusu KUKOSEKANA KWA HAKI. Hii maana yake viongozi walioko mamlakani ama wamebariki au wameasisi udhalimu huu. Tulitegemea viongozi wa dini wawe wakali na wakemee udhalimu huu, lkn wamekaa kimya. Maana yake ni kwamba viongozi hawa wa dini pia wamebariki...
  15. Kagera kupoteza Billion 53. 4 kwa mwaka mauzo ya dhahabu kama itamegwa na kutengeneza Mkoa wa Chato

    Wana Jf, Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii...
  16. Siku zinavyozidi kwenda ndivyo Watanzania wanavyozidi kupoteza ari ya mapambano

    Nini kimetokea? Ni mfumo wa elimu au vyakula? Kwenye shule za sekondari watoto wamekuwa kama vikundi vya walokole, hakuna migomo, hakuna vurugu, wanasukumwa kama kundi la kondoo! UDSM hakuna tena 'kunji', sijui hata kama 'revo square' bado ipo. Vijana wanakwenda tu kama kondoo. Wamachinga...
  17. Wivu wa mapenzi wasababisha mwanamke kupoteza meno

    Mwanaume mmoja kutona nchini Ivory Coastal amng’owa meno mchumba wake kwa kosa la kuvunja televisheni yake aliyonunua bei ghali. Mwanamke huyo alivunja vitu ikiwemo TV kwa kugundua kua mpenzi wake ana mwanamke mwengine . Wawili hao walikua kwenye mahusiano muda Wa wiki 3. Baada ya kutambua kua...
  18. J

    SoC01 Pwani: Wakazi Kijiji cha Mdimni hatarini kupoteza makazi kwa athari za mabadiliko ya tabianchi

    Nyumba iliyo karibu kusombwa na Bahari, kijiji cha Mdimni wilayani Mkuranga. Na Mwandishi Wetu Maisha ya wakazi wa Kijiji cha Mdimni kilichopo wilayani Mkuranga katika Mkoa wa Pwani, yapo shakani kufuatia sehemu kubwa ya ardhi yake kughubikwa na athari zilizokithiri za mabadiliko ya...
  19. R

    Vyuo vyetu vya Kilimo ni kupoteza muda tu, there is no learning taking place with regard to Kilimo na ufugaji

    Vijana wanamaliza hivi vyuo wakiwa hawajui lolote kwa miaka mitatu ya certifcate na diploma. Nimemhoji kijana amemaliza certificate kutoka MATI Mtwara, Mtoto amesoma certificate in Kilimo na Mifugo, unamuuliza ECF ni nini hajui! Kupiga sindano ng'ombe hajui! Hakuna ugonjwa wowote wa mimea...
  20. Hatua za kuchukua kumsaidia mtu aliyeanza kupoteza uwezo wa kusikia na kupata ukiziwi

    Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia. Matumizi ya Mashine ya masikio: Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…